Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gentleman,Kwa nini mikutano mikubwa ya kimataifa inayofanyikia Tanzania haifanyikii mikoa tofauti kama Dodoma au Mwanza bali mara zote ni Dar es Salaam na Arusha tu?
Maybe for logistical reasons. Kwa upande mmoja, wakifanyia Mwanza au Dodoma, inabidi wageni wakamate tena domestic flights. Kwa upande mwingine, wakishatua Dar na mkutano unafanyikia pale, no domestic flight needed. Vile vile, wakitua KIA, a car ride to Arusha is short. Halafu sijui kama kuna 5- or 4-star hotels jijini Dodoma au Mwanza!Kwa nini mikutano mikubwa ya kimataifa inayofanyikia Tanzania haifanyikii mikoa tofauti kama Dodoma au Mwanza bali mara zote ni Dar es Salaam na Arusha tu?
Mwanza? Huko porini marais utawalazs wapi. Arusha na Dsm ni miji ya kimataifa. Mwanza ni mji wa washamba. Unawezaje kulinganisha Arusha na Mwanza? Arusha ina mahoteli makubwa ya kimataifa ht kuliko Dar. Labda uzungumzie ZanzibarKwa nini mikutano mikubwa ya kimataifa inayofanyikia Tanzania haifanyikii mikoa tofauti kama Dodoma au Mwanza bali mara zote ni Dar es Salaam na Arusha tu?
Unataka ifanyike Kigoma auKwa nini mikutano mikubwa ya kimataifa inayofanyikia Tanzania haifanyikii mikoa tofauti kama Dodoma au Mwanza bali mara zote ni Dar es Salaam na Arusha tu?
Mkutano kama huu unaohusu DRC na mgogoro wa maziwa makuu ungefanyikia Kigoma au Mwanza ingekuwa na maana zaidi.Unataka ifanyike Kigoma au
Mkuu ,
Any way ngoja nikuelimishe kidogo Mkuuu.
Mikutano kama hiyo inafanyika huko kwa sababu ya miundomindu ya kuweza kuwaacomodate hawa wageni mkuu.
Miundo Mindu iko Dar kwa wingi na ziko standard
Na Arusha Mkuuu soo kuwa mpolee nduguu
Huku kwingine ndio wanajitafuta Tajiri yanguuu.
Kwa ufupi Hospitability industry huko unakotka haipo mkuu
Mwanza ni porini??Mwanza? Huko porini marais utawalazs wapi. Arusha na Dsm ni miji ya kimataifa. Mwanza ni mji wa washamba. Unawezaje kulinganisha Arusha na Mwanza? Arusha in mahoteli makubwa ya kimataifa ht kuliko Dar. Labda uzungumzie Zanzibar
Mwanza Airport ni sawa KIA,Maybe for logistical reasons. Kwa upande mmoja, wakifanyia Mwanza au Dodoma, inabidi wageni wakamate tena domestic flights. Kwa upande mwingine, wakishatua Dar na mkutano unafanyikia pale, no domestic flight needed. Vile vile, wakitua KIA, a car ride to Arusha is short. Halafu sijui kama kuna 5- or 4-star hotels jijini Dodoma au Mwanza!
Mkuu ndio ukwelii kabisaaMwanza ni porini??
Mwanza hakuna mahoteli makubwa ya kutosha hata mkutano wa SADC?
Kwani hujui kuwa extravagance ni moja ya tabia za masikini? Kwanini usianze kwa kushangaa entourages zao kwanza?Mwanza Airport ni sawa KIA,
Marais wa nchi masikini za Africa hawawezi kulala hotel za nyota 3 ?
Wewe ulitaka ifanyike Ikungi kwa Lissu?Kwa nini mikutano mikubwa ya kimataifa inayofanyikia Tanzania haifanyikii mikoa tofauti kama Dodoma au Mwanza bali mara zote ni Dar es Salaam na Arusha tu?
Asee huko nyumbani kwetu tumewakosea niniTuipeleke Kibaoni Katavi? Upo tayari?
Mmekataa kujenga barabara kwa kiwango cha lami kuunganishampanda na Kibaoni kupitia mbugani.Asee huko nyumbani kwetu tumewakosea nini