Miundo mbinu sio Hoteli tu, pia Barabara ni finyu saana na wabunge wa huko wameshindwa kusimamia mipango miji, wawe na mabarabara, sio barabara. Na waanze sasa . Na maegesho ya magari ya wageni na wenyejiMwanza ni porini??
Mwanza hakuna mahoteli makubwa ya kutosha hata mkutano wa SADC?
ChoiceVariable akiona hii atalia sanaMwanza na mbeya hazijafikia hadhi ya kuitwa jiji.arusha tu inajikongoja.mwanza ni manispaa
Dar ndio Kuna facilities zote ambazo zinaendana na hadhi ya Marais.Kwa nini mikutano mikubwa ya kimataifa inayofanyikia Tanzania haifanyikii mikoa tofauti kama Dodoma au Mwanza bali mara zote ni Dar es Salaam na Arusha tu?
Kwa nini mikutano mikubwa ya kimataifa inayofanyikia Tanzania haifanyikii mikoa tofauti kama Dodoma au Mwanza bali mara zote ni Dar es Salaam na Arusha tu?
NdioUlitaka wakafanyie Lindi au Mtwara!?
Ndio
huijui mwanza acha kuropoka ropokaMwanza? Huko porini marais utawalazs wapi. Arusha na Dsm ni miji ya kimataifa. Mwanza ni mji wa washamba. Unawezaje kulinganisha Arusha na Mwanza? Arusha in mahoteli makubwa ya kimataifa ht kuliko Dar. Labda uzungumzie Zanzibar
Usisahau Jiji la Mbeya Tena kuna Hali ya baridi kama Njombe!Ambayo inaendana na Ulaya.Kwa nini mikutano mikubwa ya kimataifa inayofanyikia Tanzania haifanyikii mikoa tofauti kama Dodoma au Mwanza bali mara zote ni Dar es Salaam na Arusha tu?
Usisahau Jiji la Mbeya Tena kuna Hali ya baridi kama Njombe!Ambayo inaendana na Ulaya.
Shida nini kama kutakuwa na miundombinu Safi na ya Kisasa!Hivi kweli kabisa mkutano wa kimataifa ukafanyikie Mbeya au Songea?
Tumekusikia, summit ijayo tutakuja LindiKwa nini mikutano mikubwa ya kimataifa inayofanyikia Tanzania haifanyikii mikoa tofauti kama Dodoma au Mwanza bali mara zote ni Dar es Salaam na Arusha tu?
Ndivyo mlivyoamua!Nyie huko endeleeni kulima viazi tu, mtakuwa mnaangalia mikutano kwenye TV tu.
Unataka ifanyike wapiKwa nini mikutano mikubwa ya kimataifa inayofanyikia Tanzania haifanyikii mikoa tofauti kama Dodoma au Mwanza bali mara zote ni Dar es Salaam na Arusha tu?