Tena inapaswa kufanyika Arusha na sio huko Dar kwenye hali mbaya ya hewa, joto na msongamano wa magari na watu.Kwa nini mikutano mikubwa ya kimataifa inayofanyikia Tanzania haifanyikii mikoa tofauti kama Dodoma au Mwanza bali mara zote ni Dar es Salaam na Arusha tu?
Uwanja wa ndege wa kimataifa,kumbi za mikutano na hotel za kutosha za nyota tano utapata wapi kwingine?Kwa nini mikutano mikubwa ya kimataifa inayofanyikia Tanzania haifanyikii mikoa tofauti kama Dodoma au Mwanza bali mara zote ni Dar es Salaam na Arusha tu?
Watu wa wanyama pori ndiyo wamegoma? Sikulijua hiliWanyama ni bora kuliko sisi mkuu
Waje wafanyie mikutano yao na huku kwetu kizimkazi maana kwa sasa tuna kila kituKwa nini mikutano mikubwa ya kimataifa inayofanyikia Tanzania haifanyikii mikoa tofauti kama Dodoma au Mwanza bali mara zote ni Dar es Salaam na Arusha tu?
Mara ijayo pendekeza kijiji unachotoka alafu wasikilizie wafanya maamuzi,unaweza ukaokota dodo kijiji chenu kikageuka kama Chato au KizimkaziKwa nini mikutano mikubwa ya kimataifa inayofanyikia Tanzania haifanyikii mikoa tofauti kama Dodoma au Mwanza bali mara zote ni Dar es Salaam na Arusha tu?
Arusha huwezi kuifananisha na Mwanza.Mwanza na mbeya hazijafikia hadhi ya kuitwa jiji.arusha tu inajikongoja.mwanza ni manispaa
Mwanza imekaa kishamba sana. Uwanja ndege uko sawa na wa Singida. Hotel za maana hakuna, watu wachafuwachafuuuArusha huwezi kuifananisha na Mwanza.
Kila kilichopo Arusha Mwanza pia kipo na zaidi.
Mikutano hupelekwa Arusha kwa sababu ya hali ya hewa, ukumbi mkubwa wa mikutano wenye hadhi ya kimataifa AICC na pia kupromoti utalii.
Lakini kwa ukubwa na hadhi, jiji la Mwanza liko mbali zaidi ya Arusha.
Kuna protocoll. Huwezi kuwalaza Wakuu wa Nchi kwenye hoteli za nyota 3.Mwanza Airport ni sawa KIA,
Marais wa nchi masikini za Africa hawawezi kulala hotel za nyota 3 ?
Wachafu kivipi? Wewe una dhana ya Ukabila na ujinga!Mwanza imekaa kishamba sana. Uwanja ndege uko sawa na wa Singida. Hotel za maana hakuna, watu wachafuwachafuuu
Sijawahi ona upuuzi kama huu.kwamba watu wa mikutano unawajua wakoje?? Wanamuda na utalii wamekuja kusuluhisha majanga ya vita? Mwanza bado sana hata hotel za kubeba watu 5000 wazungu hakuna ,arusha kuna hotel kama grand meria kuna hadi vyumba vya mil 10 kwa siku ,vyumba vya mil 2 hadi 5 mwanza nzima ukihesabu havifiki 40 ,ila arusha huwa zinashuka ndege za marais hata 50 na wote wanalala 5star hotel ,level hiyo ya hotel mwanza ziko nne tuu.au unadhani mtu wa kimataifa anaweza kulala pake malaika pachafu.mwanza nzima viwanja vya golf vinazidi vinne??? Eti hali ya hewa si wangeenda iringa??kwanza mwanza ina hali ya hewa mbaya???Arusha huwezi kuifananisha na Mwanza.
Kila kilichopo Arusha Mwanza pia kipo na zaidi.
Mikutano hupelekwa Arusha kwa sababu ya hali ya hewa, ukumbi mkubwa wa mikutano wenye hadhi ya kimataifa AICC na pia kupromoti utalii.
Lakini kwa ukubwa na hadhi, jiji la Mwanza liko mbali zaidi ya Arusha.
naunga mkono siku ingine walete kikao huku halmashauri mpya mpimbwe.Tuipeleke Kibaoni Katavi? Upo tayari?
ChoiceVariable jibuKwa nini mikutano mikubwa ya kimataifa inayofanyikia Tanzania haifanyikii mikoa tofauti kama Dodoma au Mwanza bali mara zote ni Dar es Salaam na Arusha tu?
Umechelewa tafuta jibu langu lipo humu
Wewe hata kuwasilisha mawazo yako kwa kuandika tu changamoto utaweza kujua mambo mazito kama hayo!.Sijawahi ona upuuzi kama huu.kwamba watu wa mikutano unawajua wakoje?? Wanamuda na utalii wamekuja kusuluhisha majanga ya vita? Mwanza bado sana hata hotel za kubeba watu 5000 wazungu hakuna ,arusha kuna hotel kama grand meria kuna hadi vyumba vya mil 10 kwa siku ,vyumba vya mil 2 hadi 5 mwanza nzima ukihesabu havifiki 40 ,ila arusha huwa zinashuka ndege za marais hata 50 na wote wanalala 5star hotel ,level hiyo ya hotel mwanza ziko nne tuu.au unadhani mtu wa kimataifa anaweza kulala pake malaika pachafu.mwanza nzima viwanja vya golf vinazidi vinne??? Eti hali ya hewa si wangeenda iringa??kwanza mwanza ina hali ya hewa mbaya???
Mm nakuja sana mwanza nakaa hata mwezi huwa bado ni kijijin hata moro imechangamka zaidi afu mwanza mjini padogo unaimaliza skuiyo iyo.mwanza migahawa ya kahawa ya maana inazidi 40 kweli?.
Utoto mwingine et ili kusapot utalii yaani uache kusaport utalii mwanza kwenye vivutio vya kutosha watalii hawavijui upeleke ambako wazungu wanapajua na wazungu ni wakazi wa arusha tunaishi nao njiro.
Kingine mwanza wakazi hawajasoma wengi wao mpaka leo mwanza mjini wanaongea kisukuma .wakati arusha vijana wanaongea kifaransa,kijerumani skuizi wanabidii wanajifunza kichina.
Niliwahi kuwa casky show ya rayvan asee nilikuwa nashangaa watu wanamuona rickross.wakati arusha tuko nae baa na kina mafidoo kila siku
Kaka nakiri mwanza ina rasilimali na ardhi ya kutosha kuipiku hata dar ila nakuhakikishia kwa sasa bado sana sana sisi huwa tukijanhuko tunaona tuko kijijini
Jiji lina watu milioni 3 na ushee utasemaje la kishamba!!Mwanza imekaa kishamba sana. Uwanja ndege uko sawa na wa Singida. Hotel za maana hakuna, watu wachafuwachafuuu
We ndiyo mpuuzi zaidi,Sijawahi ona upuuzi kama huu.kwamba watu wa mikutano unawajua wakoje?? Wanamuda na utalii wamekuja kusuluhisha majanga ya vita?
Nyie watu wa Arusha inaonyesha ni washamba sana.Mwanza bado sana hata hotel za kubeba watu 5000 wazungu hakuna
Wewe ni mshamba mpaka unatia kinyaa.Kingine mwanza wakazi hawajasoma wengi wao mpaka leo mwanza mjini wanaongea kisukuma .wakati arusha vijana wanaongea kifaransa,kijerumani skuizi wanabidii wanajifunza kichina
Kwa kumalizia, mimi nimezaliwa Dar, naishi Dar, lakini nimefika Arusha na pia nimefika Mwanza.Kaka nakiri mwanza ina rasilimali na ardhi ya kutosha kuipiku hata dar ila nakuhakikishia kwa sasa bado sana sana sisi huwa tukijanhuko tunaona tuko kijijini
Dodoma hakuna hoteli, Mwanza changamoto ni uwanja wa ndege, na Mbeya hakuna hoteli kubwa, Tanga ni kwa waswahili tupu huwezi kupeleka wageni wataanza kuwalogaKwa nini mikutano mikubwa ya kimataifa inayofanyikia Tanzania haifanyikii mikoa tofauti kama Dodoma au Mwanza bali mara zote ni Dar es Salaam na Arusha tu?
Hakuna hoteli za kulala wageni, Mwanza shida ni uwanja wa ndege ni mdogoSiku nyingine wafanyie dodoma, mwanza, mbeya, tanga, moshi, musoma, tabora
Sema watu wa Arusha wanapasifia sana kwao, fika sasa ukajionee 😃Mwanza? Huko porini marais utawalazs wapi. Arusha na Dsm ni miji ya kimataifa. Mwanza ni mji wa washamba. Unawezaje kulinganisha Arusha na Mwanza? Arusha ina mahoteli makubwa ya kimataifa ht kuliko Dar. Labda uzungumzie Zanzibar