Mikutano mikubwa ya kimataifa Tanzania lazima ifanyikie Arusha na Dar tu?

Kwa nini mikutano mikubwa ya kimataifa inayofanyikia Tanzania haifanyikii mikoa tofauti kama Dodoma au Mwanza bali mara zote ni Dar es Salaam na Arusha tu?
Jengeni nyumba za kulala nzuri, five stars hotels and many more for
entertainment
 
Hakuna hoteli za kulala wageni, Mwanza shida ni uwanja wa ndege ni mdogo
Moshi ni mji umekaa kindezi sana., haufai hata kwa mkutano wa wachawi. Mji toka alipoondoka mkoloni uko vile vile. Barabara ni zile zile mbili tu zenye lami.
Wanawake wao sasa wala hawavutuii mwafrika wala mzungu-wanene kama mifuruanje
 
Moshi ni mji umekaa kindezi sana., haufai hata kwa mkutano wa wachawi. Mji toka alipoondoka mkoloni uko vile vile. Barabara ni zile zile mbili tu zenye lami.
Wanawake wao sasa wala hawavutuii mwafrika wala mzungu-wanene kama mifuruanje
Wewe utakuwa ulifika Moshi ya Iramba
 
Mwanza ambayo airport leo sijui mwaka wa ngapi haijaisha..

Naamini kabisa mwanza bado ina potential kubwa kama akipatika kiongozi wa kuiwekea jicho la karibu
Yah ni sahihi.
 
Kwa nini mikutano mikubwa ya kimataifa inayofanyikia Tanzania haifanyikii miko Bora za kimataifaa tofauti kama Dodoma au Mwanza bali mara zote ni Dar es Salaam na Arusha tu?
Ndio kwenye kumbi Bora za kimataifa zenye kukidhi vigezo vinavyohitajika
 
Sema watu wa Arusha wanapasifia sana kwao, fika sasa ukajionee 😃
Ni kweli, hatà mimi kabla sijafika Mwanza nilihisi labda ni kamji furani ka ovyo, lakini nilipofika na kujionea kwa macho kwakweli nimepongeza jitihada za wana Mwanza.
Katika majiji ya Tanzania Mwanza wanacho cha kujivunia.
Wawekezajì wakajenge hotel nyingi za nyota 5 ili kuongeza mvuto wa jiji hilo la miamba
 
Nikutakie ufugaji mwema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…