Mila za Kabila la Waluguru zina kasoro, chukua tahadhari kabla hujaoa huko

Exactly alichosema ni kama tamaduni za kibantu in general ingawa watu kutokana na dunia kuwa ya kibepari waafrika wengi wameshatoka huko sasa hivi hata kijijini pesa ndio inaheshimika kila mtu anahangaika na mali tu
 
Inabidi uangalie mtu mwenyewe sio kabila.Mke mzuri huwezi mpata kwa kuangalia kabila lake.Unamtizama yeye kama yeye Full stop

Mambo ya kuangalia sijui kabila gani ni ushirikina mtupu
Watu ni wa ajabu sana.
Elimu, Dini, Mazingira, exposure, mapito, kazi hivyo vyote vina nguvu kubwa sana kwenye kum transform mtu, lakini watu hawavizingatii wanadhani once ukiwa descendant wa kabila fulani basi wewe ni memavu wa tabia za kabila hilo na kamwe hazitakaa zitoke.
Hawajui nguvu ya utamaduni ipo kwenye kui exercise kupitia mfumo wa maisha ya kila siku, nje ya hapo haina nguvu.
 
Kwa kuongezea tuuu

Wanawake wa kilugulu huwa hawapendi ndugu wa mwanaume

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Mila karibu zote za makabila ya Bongo zinalingana, kuna makabila vijana utakiwa kurithi mama zao wadogo(Mama wadogo wa kambo) hasa wale wenye watoto wadogo kwa kisingizio cha kutunza familia,kuna wengine kaka akiwa na mke basi akisafiri mdogo wake analala na shemeji yake bila tatizo hata siku kaka akirudi anagonga anafunguliwa mlango dogo anatoka kaka anaingia bila ugomvi wala nini ndio maana mkaona baadhi ya maeneo ya nchi yetu ukimwi uliwachakaza sana.
Msiniulize ni wapi.
 
Kwa hisani ya nguvu ya penzi
 
Hio point ya mwisho ni nzito sana na nimeiona ni noma. Hujadanganya chochote kile yote ni kweli.

Ongezea mwanamke wa kiluguru sharti amtawale mume kwa kuroga na kama sio mluguru na uko vema kiuchumi wanakupandisha mgomba dadekie hapo ndio imeisha. Nawapenda wanajua kulea watoto
 
Ulichoongea 100% ni uongo,kila kabila lina madhaifu yake,jirani yangu kaoa Mluguru,wanaishi vzr na sijawahi ona hayo uliyosema,nimeishi Morogoro kwa miaka mingi,nayafahamu makabila mengi ya huu mkoa...waluguru ni watu wenye upendo na hawana majivuni,...Wapogoro,wandewe,Wandamba,Wakaguru ni makabila nayoyafahamu vzr maana nimezunguka huu mkoa wote...acha kuchafua makabila ya watu,...Zungumzia kuhusu Wapare yako mengi yanayosemwa kuhusu Wapare swali ni je? Wapare wote wako hivyo?umalaya yaweza kua ni hulka ya mtu lkn huwez unganisha kabila...tumesoma,nimefanya kazi na wapare wapo wenye roho nzuri na wabaya tena walikua wanachonganisha na kufitinisha sana ofisini, lkn sio wote.
 
Wapare kabila la hovyo sana acha kujifanya balozi wao wana roho ya umaskini, uchoyo, ubahili, umimi, jinsia zote Malaya mbwa, wachawi sanaa, wapare ni nyoka
 
Hii sijaelewa kurithi mama zao wadogo unamaanisha mdogo wa mama yako mzazi wa tumbo moja?
 
Ngoja niwachunguzee maana Niko kwao kabisa ila kwa asilimia kubwa ni ukwelii
 
Hii sijaelewa kurithi mama zao wadogo unamaanisha mdogo wa mama yako mzazi wa tumbo moja?
Mama zao wa kambo,ujue kuna jamii wanaume tena wazee wanakuwa na wake hata kumi wakiwemo mabinti wadogo sasa wazee wakifariki vijana hasa wale wa mwisho kuzaliwa hutakiwa kurudi nyumbani kuendeleza mji wa mzee wao na kulea familia.
 
point
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…