Mila za Kabila la Waluguru zina kasoro, chukua tahadhari kabla hujaoa huko

Na ukizaa watoto wa kike tupu, wataitwa kina mwenda na watoto wako wakiolewa na wapare tena ukoo utakuwa umekufa
 
Kwenye kurudi kwa sababu ya ngoma ni kweli ila inategemea mwanaume unaamuaje. Mimi Mlugulu ila nimeoa mkoa wa mbali kabisa, huko nilipo oa nimekutana na tamaduni za kila ifikapo mwezi wa 8 basi ndugu husafiri kwenda kwenye DUA.

Unaona jinsi tofauti zinavyokuja??? Mlugulu kwenye ngoma huyu ambae sio Mlugulu kwenye Dua. Lakini nimemueleza ukweli nimemwambia watakao kwenda watawakirisha japo ilichukua ngumu kuelewa lakini somo limemuingia na amenielewa.

Nina rafiki yangu fundi computer pale Machinga yeye anakaa na shemeji zake na amewatafuna, Mwingine jamaa yangu nimesoma nae tena mtu Rombo Uchagani anakaa na shemeji zake wa mwanamke anajisifia kuwatafuna.

Hivyo tabia zinafanana kwa sisi wa Afrika tofauti inakuwa muundo tu wa jambo. Mwanaume ukisimama ipasavyo basi utambadirisha atakuwa sawa kabisa.

NB:KILA KABILA LINA CHANGAMOTO YAKE.
 
Mimi naona ukipenda oa hata mhehe ukale mbwa shida ipo wapi ila waluguru nyota hawana
 
Mbona huko upareni baba kumla mtotowe nasikia sio ajabu mkuu?
 
"Kali kuliko zote waluguru wana utamaduni mbaya wa kugegedana ndugu kwa ndugu tena wa damu. Hivyo ni jambo jepesi sana mke wako kugegedwa na ndugu zake wa damu tena wa karibu nawewe hutajuta kamwe kwasababu utaaminishwa na utaamini kuwa hao ni ndugu."

[emoji3516] Naweza nkaamini hilo, maana kuna KaBinti Niko nacho jiran hp ninapoishi kananipaga uroda mara kadhaa, Ila kinachonishangaza na kuntia mashaka ni namna huyu kaka yke wa damu anayeishi nae jinsi alivyo na wivu dhidi ya mwanaume yyte atakaesemekana kujihusisha kimahusiano na huyu mdogo wake wa kike,

yn huyu bro wake imefikia mpk hatua amedivert simu ya huyu mdg wake wa kike ili kila simu anayopigiwa bc imfikie na yeye.
 
Hii ni kweli nakubali
 
Hivi Pangawe iko wapi maana nimekuwa nawasikia wakiwasifia wanawake wa maeneo hayo kuwa ndiyo wazuri wenye kueleweka kuliko wengine wote kabisa
 
Mfano mimi ni mpare na ukoo wangu ni mshana nikioa mwanamke wa kiluguru wale watoto ni wa nani? Je wataitwa KWA ubini wa waluguru (banzi mloka kobelo mkude) au ataitwa KWA koo za kipare (mshana mbaga msuya mdee mkwizu nk)nk?
Tena ukoo wa mshana huko upareni sijui nn kilitokea wayback,ni koo wanayosema hata upambanaje hutoboi,wanasema eti imelaaniwa,ukiioa au ukiolewa naye maendeleo makubwa sahau.

Hapo unasemaje mleta mada?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…