princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
sasa si mpaka wakusanye hela ipatikane ya kushonea vitenge vya bei mbaya pamoja na hela ya wale madansa wa maiti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Huwa ni sherehe na kuna mgeni rasmi wakati wa mazishi. Kwa kawaida hapo ndipo inaonesha mtu aliyekuja alikuwa na utajiri kiasi gani. Waghana unaambiwa huwa anakula kwa shida na anatunza fedha itakayotumika katika kuomboleza Kifo chake
Utakuwa MamumaMlikutana wapi akakufundisha?
Ni kweli waluo kutoka Kenya na Tanzania wanautamaduni unaoshabihiana na hawa watu wa west Africa. Naupenda maana haizuii watu kufanya kazi mpk siku ya kuchukua mwili na kuzika.Umewahi kuona kwa wajaluo?
Nao pia wanahifadhi kwa mda mrefu
Wengi wapi ww ka slay qeen hiyo ni kama wazaramo Ghana hakunaga hiyoNinao wengi huko. That's how they do it.
Usipende ku dramatise kila kitu. Bye
DuhHuwa ni sherehe na kuna mgeni rasmi wakati wa mazishi. Kwa kawaida hapo ndipo inaonesha mtu aliyekuja alikuwa na utajiri kiasi gani. Waghana unaambiwa huwa anakula kwa shida na anatunza fedha itakayotumika katika kuomboleza Kifo chake
Nafikiri ni mwanzaWaghana ndio watu wa wapi
Mkuu wa west afrika ni kawaida kwao. Rafiki yangu mkameruni aliniambia sisi hatuwapendi ndugu zetu wakifa tunakimbilia kuwazika.Heri ya mwaka mpya wadau maana mwaka bado mpya huu ndo kwanzaaaa January.
Turudi kwenye mada ya msingi, nina rafiki yangu Mghana alifiwa na mama yake tarehe 17 mwezi wa 10 mwaka jana. Sasa me nlijua msiba ulishaisha ila naona anasambaza...
Rafikiyo ni mghana??Hii mila ya Waghana ya ajabu sana.
Pi skwea nao ni Ghana?Wanaendelea na ratiba zako za Kila siku mfano p square walivyofiwa na mama Yao waliendelea kupiga show zao
Inasikitisha sanaGhana nchi au waghana kitu gani
Ok Kama Ni nchi kwa hio huyo rafiki ako mmoja umefanya tayari nchi nzima ya Ghana Ni kawaida yao? Hukuuliza asili yake kabila no na sababu zilizofanya hayo...
Huko mochwari wanalipa sh ngapi?sasa si mpaka wakusanye hela ipatikane ya kushonea vitenge vya bei mbaya pamoja na hela ya wale madansa wa maiti
Ghana mbali, hapa tu kwa wajaluo wanatunza maiti hadi miezi 6.Hii nimeshuhudiaHeri ya mwaka mpya wadau maana mwaka bado mpya huu ndo kwanzaaaa January.
Turudi kwenye mada ya msingi, nina rafiki yangu Mghana alifiwa na mama yake tarehe 17 mwezi wa 10 mwaka jana. Sasa me nlijua msiba ulishaisha ila naona anasambaza tangazo kwamba bi mkubwa atazikwa tarehe 28 mwezi huu...
Baba yako alikuwa chifu wa kijiji. Ila hizi mila hiziGhana nchi au waghana kitu gani
Ok Kama Ni nchi kwa hio huyo rafiki ako mmoja umefanya tayari nchi nzima ya Ghana Ni kawaida yao? Hukuuliza asili yake kabila no na sababu zilizofanya hayo...
Kwa hiyo huyo rafiki yako si ajabu alikuwa akihakikisha sherehe ya mwisho ya mama yake ifane. Unajua huwa hata wanahakikisha kuwe na live band etc.Mamake mzazi alikuwa wa kawaida tu
West Africa ndo kawaida Yao dear misiba inakaa mwezi na kitu hivi nadhani wanaangalia nyota pia kutoka kwenye Mila zao hata yule katibu WA UN Koffi Annan alikaa karibu mwezi sijuii ndo akazikwa na wanaheshimu mnoo mila zaoNinao wengi huko. That's how they do it.
Usipende ku dramatise kila kitu. Bye