Nje tu ya jiji la Cairo. Nyuma tu ya hilo sanamu kuna mapiramidi matatu likiwepo la yule Farao maarufu RamsesYeap magharibi mwa Nile, Giza Plateau
Hapana mkuu... Mfano case ya SREE PADMANA-BHA-SWAMY TEMPLE ambapo wanadai mlango B ushafunguliwa ila still hakuna tangible evidence kuwa nani aliufungua na kuna nini ndani... Same to that one of the first King of China haujaguswa etc etc...Kumbe sio kwamba hiyo milango yote haijawahi kufunguliwa kabisa.