spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 7,557
- 20,477
Mimi ukinipa kitabu cha kukamua mang'ompeh haraka haraka utakua umenisaidia mwanawaneHapa tutavuluga mada hii...
Kuna kitabu nitawapa kinafundisha jinsi ya kusoma kwa speed...
Elimu yetu Tanzania ni shida Sana, unamaliza chuo kikuu bado "unasoma kwa kutamka kimoyomoyo neno kwa neno"