Milembe Alivyouawa Kwenye Pagale

Milembe Alivyouawa Kwenye Pagale

Bado ndo ipo kwenye mchakato ila wazee WA kuhisi wanadai jamaa alikuwa anapiga business ya madini na wapakistani akawadhurumu ndo jamaa wakaamua kumuulia mke na house gal Kisha wakammaliza na yeye ila izo ni story kabla ya kesi ngoja tusubiri wakipatikana watuhumiwa na uchunguzi ndo tutaipata vizuri true story
Duh,
Like horror movie ... Sad
 
Hivi unajua kuwa ukiwa una hadithiwa story ya kweli ubongo automatic unakuwa unajua kuwa hii ni kweli lakini kwa hii story yako ni kama una TUNGA TUNGA tu kwa vile majina ya watuhumiwa unayo basi na wewe unatambaa na CHAKI {in kashasha voice }😂😂😂😂😂😂

Stori ya kweli ila anatumia Fasihi(lugha ya Sanaa) kuipa taste.

Mdakuzi Umetisha kwèñye kutia maneno rangi(ladha) na kuweka viungo kwèñye Flow.

Tunasubiri
 
Watu tunapaswa kujua kuwa ukifanya uhalifu mkubwa kama mauwaji ni lazima ujulikane na kukamwatwa.
Hata ukifanya usiku wa manane bila kumshirikisha
mtu.
Kuna Wachawi wanakuona na kuwaambia Polisi.
Cc MshanaJR, 😎
Huwa nashangaa sana anayeshiriki deal ya kuua, kwa nini afanye hivyo wakati hakuna namna ambavyo hatajulikana na kudakwa. Sijui unakuwa umepewa kiasi gani mpaka kurisk maisha yako
 
Dah! Hukumu imemtaja Shahidi 'Noel Kaji Ndassa', mwenyekiti wa mtaa mwatulole. Huyu bwana nae aliuwawa kwa kukatwa mapanga. Za chini chini zikadai alikuwa na ushahidi nyeti dhidi ya hiyo kesi ya milembe. Wakaona wamtangulize mapema. Jalada lake yeye sijui linaendeleaje!
Inasikitisha sana yaani ameuliwa kisa uongozi wake na ushahidi daah
 
Hii ni ajabu,...hata mussa alipokuwa misri,...aliua mtu kwa siri, kesho yake akakuta watu wanapigana akaamua kuwaamulia, mmojawapo akaropoka " nani amekufanya kuwa muuamuzi kati yetu, au na sisi unataka utuue ukatufukie kwenye mchanga kama uivyomuua yule mmisri?..."...mussa akasepa kama ngiri mkia juu, V16
V16 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom