Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yuko vizuri tu mbona na ndio maana unamsoma🤣🤣🤣.huyu naye anakatisha katisha kama hadithi za shigongo
Bado unatembea sana.Ule wa ngiri aliuleta Nikifa MkeWangu Asiolewe 🤣🤣🤣
Mimi nilikuwa ni jirani wa huyo marehemu milembe, sote tulikuwa tunaishi Geita mjini mtaa wa general tires (nyakalembo) barabara inayoelekea mgodi wa GGM, nilisikia story vijiweni wakimsema kuwa ni mbabe japo pia alikuwa Na mpunga wa kula bata za hapa Na pale, alitembelea gari nyeusi Aina ya hariel old model, alikuwa akiingia kwenye kumbi za starehe akiwa Na wapambe nyuma yake, alikuwa akimpenda mwanamke wako wewe sema unataka shilingi ngapi ili akulipe Na wewe upite hivi, mara nyingi kwenye kumbi za starehe alizokuwa akifika milembe siku hiyo lazima fujo zitokee Na chupa zitapasuliwa haswaaa....sehemu alipokuwa akiweka kambi marehemu milembe hasa kwenye kumbi za starehe usisogee kama wewe ni dhaifu kwa sababu muda wowote kinanuka, alipenda kuwaita wanaume "washkaji zake" akikukubali salaam yake kwa wanaume alikuwa anawapa" tano" .................. Alimiliki grossari yake pale maeneo ya shilabela.Kwenye vijiwe vya gahawa walikuwa wanasemaje
Mwenye picha tuone wa huku maporini!
mwenye picha ya huyu dayfath tuione
Mnaweza kumhukumu bure, jf kuna watu huchangia lolote tu kufurabisha genge.
Ruksa, take your time b… iishe hii, hatutaki lawama.Nashukuru, sasa umeniachia. Naandika. Lol
Ova
NAKAZIAHata hivyo simtetei lolote linawezekana dunia hii
😭😭😭😭😭😭😭😭😭Msaada wa Mauti
WANAUME hao watatu hawakuwa na hamu ya kumsaidia tena Milembe kwa "dua". Kwani Genja alitoa panga lake, lenye makali yaliyokuwa tayari kwa kazi ya kinyama.
Iliogopesha sana. Bila kusema neno, Milembe aliinyanyua mikono yake juu kwa hali ya kama kujisalimisha, na kutii amri zao zote tangu wakati huo.
Kwani aligundua kuwa amezungukwa na watu katili. Kwa wakati huo, mwanga wa mwezi uliangazia kwa mbali, ukiwa unampa Milembe kivuli cha kifo.
Pigo la Kwanza
Pigo la kwanza lilimfanya Milembe atazame kwa mshangao. Macho yake yalifumba kwa sekunde chache.
Kabla hajapata nafasi ya kutambua kilichotokea, damu nyingi ilianza kuchuruzika kwa kasi toka kwenye jeraha la kichwa.
Milembe alijaribu kupaza sauti ya kuomba msaada, lakini pigo la pili lililopiga shingoni mwake lilikatiza yowe kabla hazijafika mbali.
Pigo hilo lililokuwa na nguvu zaidi, lilimuondoa uhai wake kwa haraka sana.
Mkono wake wa kulia ukakatwa, ukining'inia pembeni kama ishara ya mwisho ya upinzani wake wa kiutu, mwili ukapoteza nguvu.
Milembe hakuweza tena kupumua. Kilichobaki kilikuwa mwili uliojeruhiwa vibaya, ukiteleza chini kwenye sakafu ya nyumba isiyomalizika.
Mara baada ya kumuua, Genja na wenzake walitoweka haraka, wakijua wameacha alama kubwa ya kifo nyuma yao. Hakukuwa na kurudi nyuma.
Walikuwa wamepanga kila kitu kwa ustadi—kutoweka kwa simu za Milembe, kutupa ushahidi kwenye choo cha shimo, na kuficha kila ushahidi wa mauaji hayo.
Lakini, walisahau kama waliacha chupa ya Fanta kando ya mwili wa Milembe. Walifanya kosa kubwa la kiufundi.
Itaendele...
Ova
Sorry, una mahusiano na aliyeweka hii post? 🙄Mdakuzi ni hadi nimuachie ndio aandike, poleni.
Sioni sana tatizo kwa lesbians, acha wakoboane hakuna chochote watapata/kupoteza. Bado akimisi dudu anapata mimba kama kawaidaSasa hivi hawa watu wanashika kasi sana na kuchukulia ni life style ya kawaida tu
Umeandika hii story vizuri sana, lakini bado hujui tena yaliyokuwa yanatokea?Kwenye vijiwe vya gahawa walikuwa wanasemaje
Inasikitisha sana,jamaa kauliwa,na bado kasingiziwa yeye ndiye alieua,amekufa kifo kibaya cha masikitiko ma nyanyaso.Wapumzike kwa amani,yeye,mke wake,na dada wa kazi,hawa watu watatu yaonyesha,walikuwa wakipendana sana,wamekufa kwa siku moja,bila ajali ya gari,pikipiki,moto,sumu au yoyote ile,ni kwa kuuliwa.Ndo maana tukio lolote mtu hautakiwi kukurupuka kuliongelea bila investigation,watu uwa wanakurupuka sana kuzungumzia matukio bila investigation ata lile tukio la Tanga Bara Bara ya 4,la mama mwenye nyumba na house gal wake kuuwawa watu walikurupuka kuwa mume ndo kawauwa ila baada ya siku kadhaa wakashangaa kuukuta mwili WA jamaa kauwawa .
Mauaji ya Namba hii yanaashiria kwamba kuna mkasa mzito Sana nyuma ya tukio hili. Thoroughly Crime Investigation is required here in order to uncover the story behind.Inasikitisha sana,jamaa kauliwa,na bado kasingiziwa yeye ndiye aliteua,amekufa kifo kibaya,masikitiko ma nyanyaso.Wapumzike kwa amani,yeye,mke wake,na dada wa kazi,hawa watu watatu yaonyesha,walikuwa wakipendana sana,wamekufa kwa siku moja,bila ajali ya fari,pikipiki,moto,sumu au youote ile,ni kwa kuuliwa.