Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nilijua kibanda cha mlinzi asee
Kwa style hii ndio unilazimishe nichangie Tozo 😂😂😂 mtaniua
Kijengo hiko nacho cha kuandaa mkandarasi? Hiko si hata wanakijiji wawili wangepewa kukijenga kwa milioni 1 za ufundi kingekamilika ( material si zaidi ya mil.2)Kuna kitu kimoja watu hawaelewi, Haya Mambo sio ya Kumlaumu Mkandarasi wala nini, Kazi hizi zinaandaliwa na wataalamu, Kisha Total Budget inakuja kisha mkandarasi anaomba Kazi, Kikubwa awe within Budget.
Kuna aina mbili za ku itemize, Kuna Lumpsum na Rate ya item moja moja.
Je kama Jengo Pesa zake zilikuwa kwa Lumpsum? utalipa tu!
Weka BoQ acha kuhemka kindezi..
Mkuu kazi za uma zina utaratibu wake, either utumie Force Account au ufanye tendering umpate mkandarasi!Kijengo hiko nacho cha kuandaa mkandarasi? Hiko si hata wanakijiji wawili wangepewa kukijenga kwa milioni 1 za ufundi kingekamilika ( material si zaidi ya mil.2)
Hii nchi basi tu.