Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Wanatosha maofisa wangapi humo na meza zao na viti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanatosha maofisa wangapi humo na meza zao na viti
😅😅😅😅Kwa awamu hii ni kawaida.Maana wameruhusiwa kula kwa urefu wa kamba yako.kama wewe kamba yako ni fupi jitahidi uirefushe ili ufaidi kama wanavyofaidi kundi la walamba asali
Mkuu haya mambo ya LUMPSUM sijui RATE YA ITEM ndio watu wa natumia LOOPHOLE hiyo hiyo kupiga.Kuna kitu kimoja watu hawaelewi, Haya Mambo sio ya Kumlaumu Mkandarasi wala nini, Kazi hizi zinaandaliwa na wataalamu, Kisha Total Budget inakuja kisha mkandarasi anaomba Kazi, Kikubwa awe within Budget.
Kuna aina mbili za ku itemize, Kuna Lumpsum na Rate ya item moja moja.
Je kama Jengo Pesa zake zilikuwa kwa Lumpsum? utalipa tu!
Una macho lakini huoni. Hata standard ya mortar,blocks ziwe mara tano ya zile za mtaani bado hiyo gharama haiwezi kuwa hivyo. Hauhitaji BOQ kujua uhalisia wa gharama wa hako kajengo hata kama ni ka serikali.Weka BoQ acha kuhemka kindezi..
Pili huo ni mradi wa serikali usitegemee kwamba utajengwa kwa standards za mtaani kuanzia tofari za block hadi ratio ya morter..
BoQ ndio inaweza sema ukweli tuangalie rate zilizowekwa kama zinafaa au laa ila naamini hawawezi peleka maofisa wa Mwenge kwenye mradi wa upigaji..
Wewe activities za huo mradi zinaonekana kwa macho au break through ya BoQ?Una macho lakini huoni. Hata standard ya mortar,blocks ziwe mara tano ya zile za mtaani bado hiyo gharama haiwezi kuwa hivyo. Hauhitaji BOQ kujua uhalisia wa gharama wa hako kajengo hata kama ni ka serikali.
Jamaa hajielewi yuleHalafu mtu anakwambia kama hautaki hamia Burundi.
Ndo watu wanavoishi Mkuu!Mkuu haya mambo ya LUMPSUM sijui RATE YA ITEM ndio watu wa natumia LOOPHOLE hiyo hiyo kupiga.
Hivi kwa akili ya kawaida, yaani tukiite kibanda sijui nini kinaghalimu 13 million?
Kama ni hivyo tutajengewa sana vibanda kwa gharama kubwaNdo watu wanavoishi Mkuu!
Kwahio hayo ulioandika yanahalalisha hicho kibanda kugharimu 13m ?Kuna kitu kimoja watu hawaelewi, Haya Mambo sio ya Kumlaumu Mkandarasi wala nini, Kazi hizi zinaandaliwa na wataalamu, Kisha Total Budget inakuja kisha mkandarasi anaomba Kazi, Kikubwa awe within Budget.
Kuna aina mbili za ku itemize, Kuna Lumpsum na Rate ya item moja moja.
Je kama Jengo Pesa zake zilikuwa kwa Lumpsum? utalipa tu!