Ryzen
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 7,301
- 8,706
Inaweza kuwa mzee, kwenye issue za Ujenzi mkandarasi ana namna nyingi ya kufidia hasara katika kazi!Kwahio hayo ulioandika yanahalalisha hicho kibanda kugharimu 13m ?
Kwa mfano unakuta hakuwa na kazi ya hilo Jengo pekee, unaweza kuta kazi zingine faida haioni.. ila akaamua kuifidia kwenye hicho kibanda.
Bahati mbaya mara nyingi hatuangalii pale pesa ilipopungua bali pale ambapo pesa kuonekana kuzidi