Ryzen JF-Expert Member Joined Dec 6, 2012 Posts 7,301 Reaction score 8,706 Sep 4, 2022 #41 RRONDO said: Kwahio hayo ulioandika yanahalalisha hicho kibanda kugharimu 13m ? Click to expand... Inaweza kuwa mzee, kwenye issue za Ujenzi mkandarasi ana namna nyingi ya kufidia hasara katika kazi! Kwa mfano unakuta hakuwa na kazi ya hilo Jengo pekee, unaweza kuta kazi zingine faida haioni.. ila akaamua kuifidia kwenye hicho kibanda. Bahati mbaya mara nyingi hatuangalii pale pesa ilipopungua bali pale ambapo pesa kuonekana kuzidi
RRONDO said: Kwahio hayo ulioandika yanahalalisha hicho kibanda kugharimu 13m ? Click to expand... Inaweza kuwa mzee, kwenye issue za Ujenzi mkandarasi ana namna nyingi ya kufidia hasara katika kazi! Kwa mfano unakuta hakuwa na kazi ya hilo Jengo pekee, unaweza kuta kazi zingine faida haioni.. ila akaamua kuifidia kwenye hicho kibanda. Bahati mbaya mara nyingi hatuangalii pale pesa ilipopungua bali pale ambapo pesa kuonekana kuzidi
lyenyi JF-Expert Member Joined Mar 4, 2020 Posts 2,651 Reaction score 7,299 Sep 4, 2022 #42 mohamedidrisa789 said: Ruksa kukosolewaView attachment 2345333 Click to expand... Mchanga tripu 2=300,000/=
mohamedidrisa789 said: Ruksa kukosolewaView attachment 2345333 Click to expand... Mchanga tripu 2=300,000/=