Milioni 350 za faini ya kina Mbowe zinazorudishwa na mahakama unashauri zifanye kazi gani?

Milioni 350 za faini ya kina Mbowe zinazorudishwa na mahakama unashauri zifanye kazi gani?

16F46B25-2194-4E3F-979C-50E177A2824A.jpeg
 
Walichangiwa wao kama chama sio kama watu binafsi. Zikajenge ofisi kuu ya chama kwani kuna vyama vilinyakua ofisi za umma na kulazimisha ziwe zao baada ya kushindwa kujenga.
 
Ni kiasi cha US$ 150,000 sawa na milioni 350.
  1. Zijenge ofisi makao makuu?
  2. Zisaidie kulipa faini na mawakili wa kesi zilizobaki?
  3. Zisaidie mchakato wa katiba mpya?
  4. Zinunue kiwanja cha ofisi makao makuu Dodoma au Dar es salaam.
  5. Zisaidie ujenzi wa ofisi za kanda?
  6. Zinunue vitendea kazi vya chama.
  7. Zigawanywe kwa viongozi waliohukumiwa.

Maoni yenu tafadhali.

================
View attachment 1829768
Kachinjeni ng'ombe mle nyama choma ,munywe na pombe.
 
Back
Top Bottom