Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zirudi chamani maana tulichanga sie wapenda haki ,KWA besa mdogo ya sh miaNi kiasi cha US$ 150,000 sawa na milioni 350.
- Zijenge ofisi makao makuu?
- Zisaidie kulipa faini na mawakili wa kesi zilizobaki?
- Zisaidie mchakato wa katiba mpya?
- Zinunue kiwanja cha ofisi makao makuu Dodoma au Dar es salaam.
- Zisaidie ujenzi wa ofisi za kanda?
- Zinunue vitendea kazi vya chama.
- Zigawanywe kwa viongozi waliohukumiwa.
Maoni yenu tafadhali.
Ziludi kwenye chama then, chama kitajua WAFANYE nini, yapo mengi ya chama yakufanya ,japo KWA Sasa na kuendelea Chadema ni chama tajiri ,mwafaaa ccmNi kiasi cha US$ 150,000 sawa na milioni 350.
- Zijenge ofisi makao makuu?
- Zisaidie kulipa faini na mawakili wa kesi zilizobaki?
- Zisaidie mchakato wa katiba mpya?
- Zinunue kiwanja cha ofisi makao makuu Dodoma au Dar es salaam.
- Zisaidie ujenzi wa ofisi za kanda?
- Zinunue vitendea kazi vya chama.
- Zigawanywe kwa viongozi waliohukumiwa.
Maoni yenu tafadhali.
Sio wanachama pekee,pamoja na wapenzi wa chama,hata magufuli alichangia ya kumtoa Msigwa.Zilichangwa na wanachama.
Hizo fedha haziendi chamani zinakwenda kwa individual wakili Kibatala anasema hata Mashinji atanufaika
Msigwa alilipiwa shiling ngapi vileKwahiyo zile za Msigwa vipi, maana alilipiwa na Jiwe!
Kinachoangaliwa ni kipi muhumi zaidi katika hayo muhimuKote ulikotaja ni muhimu
Ni kiasi cha US$ 150,000 sawa na milioni 350.
- Zijenge ofisi makao makuu?
- Zisaidie kulipa faini na mawakili wa kesi zilizobaki?
- Zisaidie mchakato wa katiba mpya?
- Zinunue kiwanja cha ofisi makao makuu Dodoma au Dar es salaam.
- Zisaidie ujenzi wa ofisi za kanda?
- Zinunue vitendea kazi vya chama.
- Zigawanywe kwa viongozi waliohukumiwa.
Maoni yenu tafadhali.
Pesa za watu halafu wewe wazipangia matumizi...
Naam,haki ya mtu haipotei.Kweli haki ya mtu hucheleweshwa tu ila ipo siku hupatikana.