Milioni 350 za faini ya kina Mbowe zinazorudishwa na mahakama unashauri zifanye kazi gani?

Milioni 350 za faini ya kina Mbowe zinazorudishwa na mahakama unashauri zifanye kazi gani?

Ni kiasi cha US$ 150,000 sawa na milioni 350.
  1. Zijenge ofisi makao makuu?
  2. Zisaidie kulipa faini na mawakili wa kesi zilizobaki?
  3. Zisaidie mchakato wa katiba mpya?
  4. Zinunue kiwanja cha ofisi makao makuu Dodoma au Dar es salaam.
  5. Zisaidie ujenzi wa ofisi za kanda?
  6. Zinunue vitendea kazi vya chama.
  7. Zigawanywe kwa viongozi waliohukumiwa.

Maoni yenu tafadhali.
Nataka kujua nafasi yako katika maamuzi ya hizi pesa kwanza, pia kujua nini vipau mbele vyenu kama chama kwa sasa?
 
Ni kiasi cha US$ 150,000 sawa na milioni 350.
  1. Zijenge ofisi makao makuu?
  2. Zisaidie kulipa faini na mawakili wa kesi zilizobaki?
  3. Zisaidie mchakato wa katiba mpya?
  4. Zinunue kiwanja cha ofisi makao makuu Dodoma au Dar es salaam.
  5. Zisaidie ujenzi wa ofisi za kanda?
  6. Zinunue vitendea kazi vya chama.
  7. Zigawanywe kwa viongozi waliohukumiwa.

Maoni yenu tafadhali.
Zijenge makao makuu ya Chama.
 
Zijengee majengo ya offisi ya chama kama tu sehemu na alama za wanaharakati waliochangia fedha hizo, pia hata kumbi za mikutano ambazo zitaingizia chama mapato
 
Ni kiasi cha US$ 150,000 sawa na milioni 350.
  1. Zijenge ofisi makao makuu?
  2. Zisaidie kulipa faini na mawakili wa kesi zilizobaki?
  3. Zisaidie mchakato wa katiba mpya?
  4. Zinunue kiwanja cha ofisi makao makuu Dodoma au Dar es salaam.
  5. Zisaidie ujenzi wa ofisi za kanda?
  6. Zinunue vitendea kazi vya chama.
  7. Zigawanywe kwa viongozi waliohukumiwa.

Maoni yenu tafadhali.
Hizo fedha haziendi chamani zinakwenda kwa individual wakili Kibatala anasema hata Mashinji atanufaika
 
Kwahiyo zile za Msigwa vipi, maana alilipiwa na Jiwe!
 
Basi tulia kwanza hela wazipate halafu ushauri baadaye.
Kukusaidia tu katika maisha hasa yanayohusu pesa usisubiri upate pesa ndipo uanze kuwaza utazipangia kazi gani zitaisha kabla ya wazo lako kuanza kulitekeza.
 
Kama sijajosea wapo wanachama waliojitoa kwa hali na Mali kuchangia hiyo faini so ijenge makao makuu Dar
 
"Kunyweni bia"......In Chalamila's Voice
 
Zililipwa na cdm hivyo ni Mali yao!! Warufishiweeeee!!!!!
Ni kiasi cha US$ 150,000 sawa na milioni 350.
  1. Zijenge ofisi makao makuu?
  2. Zisaidie kulipa faini na mawakili wa kesi zilizobaki?
  3. Zisaidie mchakato wa katiba mpya?
  4. Zinunue kiwanja cha ofisi makao makuu Dodoma au Dar es salaam.
  5. Zisaidie ujenzi wa ofisi za kanda?
  6. Zinunue vitendea kazi vya chama.
  7. Zigawanywe kwa viongozi waliohukumiwa.

Maoni yenu tafadhali.
 
Office tunazo sema pesa ile kwakua tulizichanga wenyewe zitumike kubolesha makao makuu ya chama ufipa Kinondoni
 
Ni kiasi cha US$ 150,000 sawa na milioni 350.
  1. Zijenge ofisi makao makuu?
  2. Zisaidie kulipa faini na mawakili wa kesi zilizobaki?
  3. Zisaidie mchakato wa katiba mpya?
  4. Zinunue kiwanja cha ofisi makao makuu Dodoma au Dar es salaam.
  5. Zisaidie ujenzi wa ofisi za kanda?
  6. Zinunue vitendea kazi vya chama.
  7. Zigawanywe kwa viongozi waliohukumiwa.

Maoni yenu tafadhali.
Kote ulikotaja ni muhimu
 
Tuliochangia dhamana ya mwenyekiti na wenziwe utaratibu ukoje kurudishiwa pesa zetu?

Nauliza wakuu wangu
 
Kwani hizo hela wameshakabidhiwa tayari na Serikali? Kama bado basi unatakiwa kuvuta subira, na Viongozi wa chama chako bila shaka watatolea ufafanuzi.

Mimi pamoja na baadhi ya wapenda mabadiliko wenzangu, tulitamani sana kuona zikitumika kujengea jengo zuri na kisasa, la makao makuu ya chama ili kupunguza zile kejeli za CCM ambao wamejimilikisha majengo na maeneo yetu lukuki kwa kutumia mbinu za kiharamia.
 
Back
Top Bottom