Wajenge ofisi kuu ya chama na ya kisasa kabisa ya Makao Makuu Dar es Salaam. Waachane kabisa na mawazo ya kuzitumia hizo hela kwenye zile oparesheni zao.
Walichangiwa wao kama chama sio kama watu binafsi. Zikajenge ofisi kuu ya chama kwani kuna vyama vilinyakua ofisi za umma na kulazimisha ziwe zao baada ya kushindwa kujenga.