Milipuko viwanja vya ndege viwili vya Jeshi Moscow

Hatari sana,, hizi air defence ziko overated, haijalishi ziwe za Russia ama NATO,, mpaka sasa mchina na iran tu ndio hawajaniangusha kwa air defence. [emoji23]
Hahahaha hii comment ni ya Elungata au mwingine?! Leo hii unaiponda S400 wakati miaka yote ulikua unaisifu humu.

Huyo mchina air defenses si ananunua kwa Mrusi,mpk SS sijaona air defenses km za muIsrael.
 
Du hatari. Kwa hiyo imerejesha majimbo yake 4 na 5 climea?
Tukirejesha majimbo hata Leo it means vita imeisha! Hivyo lengo la kumpigisha mtu danadana litakuwa halijatimia kikamilifu..,lengo letu ni kumpigisha mtu danadana Mpaka atepete kabisa na ashike adabu..,asirudie Tena kuvamia ardhi ya majirani zake,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Zile AD za Saudia hazikutengenezwa kuzuia drone ila Urusi ana Pantasir ambapo huko Syria zilionyesha uwezo
T14 Armata
 
Halafu drones zilizotumika ni za enzi za soviet union, miaka ya 70,, nina wasiwasi israel wanasaidia kuzisuka upya, utumbo(electronics, sensors, explosive, guidence systems)
Ukraine kwenye engineering sio wa kuwadharau hata kidogo,hata drone za Turkey zinatumia engine zinazotengenezwa na Ukraine. Makombora yaliyozamisha Melivita ya Urusi Moskva yametengenezwa na Ukraine.

Walichofanya kwenye hizo drones,wamezimodify Kwa kuweka camera pamoja na jet engines ili ziweze kuruka umbali mrefu na modification nyinginezo.
Cha ajabu source zinasema drone zimeruka toka Ukraine mpk kufikia hizo base umbali karibu km 900 hazijaonekana na Rada![emoji134]
 
Hatari sana,, hizi air defence ziko overated, haijalishi ziwe za Russia ama NATO,, mpaka sasa mchina na iran tu ndio hawajaniangusha kwa air defence. [emoji23]
Ni hawajaingia kwenye vita serious tukaona hizo air defense systems zao. Angalau iron domes tuliziona zikifanya kazi nzuri.
 
Hilo ndilo hasa kusudio na lengo mahsusi ambalo ni mujarabu sana. Yan hakuna kumuacha nusu-nusu kwani anaweza kubweteka na akurudia tena ufedhuli wake wakati lengo mahsusi ni asikae akathubutu kurudia tena kuvamia ardhi ya majirani zake au hata nchi nyinginezo. Ujeuri wake uwe umeisha kabisa-kabisa Atulie kwake tuli huku akiendelea kujitibu majeraha taratiiibu.
 
Ni hawajaingia kwenye vita serious tukaona hizo air defense systems zao. Angalau iron domes tuliziona zikifanya kazi nzuri.
Tusubiri, tutajionea wenyewe mtanange huo utakavyoendelea. Yajayo yanafurahisha zaidi. Hiyo ndo vita serious inaendelea. Usihagaike kusubiri vita nyingine zaidi ya hiyo mkuu.
 
Zile AD za Saudia hazikutengenezwa kuzuia drone ila Urusi ana Pantasir ambapo huko Syria zilionyesha uwezo
T14 Armata
Anajifanya hajui kwamba air defence systems zina matumizi na kazi tofauti. Muulize kwanini Israel ina Iron Dome, Arrow 3 na David's sling kama zote ni air defence systems kwanini hawakutengeneza moja tu. Au kwanini Russia ina S-400 na ina Pantsir, Tunguska na nyinginezo
 
Sio kwamba anamuonea huruma mkuu, kina ni kirefu. NATO wametenga pesa ya kuifadhili Ukraine ktk hii vita kwa miaka mitano. Hatari sana.
 
Nitajie nuclear bomber mpya duniani ukiachana b21 sky raider.
Achana pia na zile za kichina ambazo Ni copy ya B 36 na TU 16
 
Hizo S-400 au zile pantasir zimeshindwa kuangusha hizo drone? ....
Elungata mohamedidrisa789 1954
S-400 na Pantsir2 computer software aligorthyms zake hzilikuwa design to detected fighter plane, bombers anti air aircrasts rockets na sio rockets ndogo whose RSC ni ndogo kuwa registerd/detected na radar za S-400 na, Pantsir2.
 
Nitajie nuclear bomber mpya duniani ukiachana b21 sky raider.
Achana pia na zile za kichina ambazo Ni copy ya B 36 na TU 16
Hiyo b-21 ni 6Generstion,, hata Russia wanayo kwenye pipeline, na hata mchina atakua nayo pipeline,, lakinj mwisho wa siku , mchina ndio atawapiga bao maana ana uwezo mkubwa wa ku mass produce
 
Hiyo b-21 ni 6Generstion,, hata Russia wanayo kwenye pipeline, na hata mchina atakua nayo pipeline,, lakinj mwisho wa siku , mchina ndio atawapiga bao maana ana uwezo mkubwa wa ku mass produce
Dunia Sasa Bado Haina new bombers zaidi ya b 21 Raider.
B52(1952)
TU 95(1956)
TU 160( 1983)
Nb
Kwenye production Russia na Russia lazima wawe nyuma kwa Sasa coz Hali ya uchumi ya kugharamia madege haya kwa muda mfupi Ni gharama Sana kuanzia design, research nk.
Wakati wachina wanacopy TU na kufanya modifications kwa gharama ndogo
 
Hiyo b-21 ni 6Generstion,, hata Russia wanayo kwenye pipeline, na hata mchina atakua nayo pipeline,, lakinj mwisho wa siku , mchina ndio atawapiga bao maana ana uwezo mkubwa wa ku mass produce
Su-57 mpk Leo hawajaanza kumass produce,hyo PAK DA Yao nadhani tutaiona mwaka 2050
 
Hiyo iliyoonyeshwa ni prototype, hizo kuingia front hata miaka kumi mbele,,
Cheki design ya mrussia ila hii nayo hawajatoa prototype
 
S-400 na Pantsir2 computer software aligorthyms zake hzilikuwa design to detected fighter plane, bombers anti air aircrasts rockets na sio rockets ndogo whose RSC ni ndogo kuwa registerd/detected na radar za S-400 na, Pantsir2.
Russia ana Rada za kila aina lkn cha ajabu drone imetoka Ukraine imesafiri mamia ya km mpk kufikia hizo base ambazo zipo 125 miles tu toka Moscow.
Nilisikia Wana s500 tayari,vp ilikua imezimwa au?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…