Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,500
Sio prototype ni yenyewe na Northrop Grumman Wana nyingine 6 kwenye plants zao (kama ulisikiliza hotuba ya Yule mama Mkuu wa Northrop).Hiyo iliyoonyeshwa ni prototype, hizo kuingia front hata miaka kumi mbele,,
Cheki design ya mrussia ila hii nayo hawajatoa prototype
View attachment 2438150
Russia hawakutarajia kabisa kuwa wataingia vitani miaka ya karibuni,, kila project waliipeleka polepole wakiamini hakuna vita kubwa karibuni,, hawakujua kuwa US alikuwa anawapangia mtego ili wanase,, kiufupi marekani sasa wanataka kulipa kisasi cha vietnam na korea war,, maana bila mkono wa USSR,, marekani hangeabika vile huko vietnam,,Su-57 mpk Leo hawajaanza kumass produce,hyo PAK DA Yao nadhani tutaiona mwaka 2050
Possibility ni kuwa drone inaweza kuwa imetokea ndani ya Russia, na inaweza isiwe TU 144 droneRussia ana Rada za kila aina lkn cha ajabu drone imetoka Ukraine imesafiri mamia ya km mpk kufikia hizo base ambazo zipo 125 miles tu toka Moscow.
Nilisikia Wana s500 tayari,vp ilikua imezimwa au?!
Possibility!!!!!!Possibility ni kuwa drone inaweza kuwa imetokea ndani ya Russia, na inaweza isiwe TU 144 drone
Nakubaliana na wewe, nuclear alizonazo russia ni walakini.Hana huo ubavu tena. Ameshatepeta mazima. Hiyo milipuko kwenye viwanja 2 vya ndege T-95 ni advertisement(trailer) tu. Shida ya Mrussi ni kwamba alijisahau sana na kuendelea kujilimbikizia na kuhifadhi mazagazaga ya zana-vita za zamani sana e.g. T-95 ni ndege kubwa ya kivita ya 1952. Hata inawezekana hizo nuklia anazojigamba nazo zikawa ni mojawapo katika hayo mazagazaga. Ilipaswa intelijensia yake iwe makini sana na kumsoma Ukraine kabla hajafanya Uvamizi. Kwa maneno ya mitaani = Imekula kwake.
Urusi ni kawaida yao kuonyesha silaha halafu baadae inapotea kama upepo walikua na Su-47 Berkut sijui iliishia wapi. Vifaru vya kisasa T-14 armata walisema wameanza uzalishaji lkn hatuvioni vitani mpk wanaleta vifaru vya enzi ya mkoroni kina T-62.Russia hawakutarajia kabisa kuwa wataingia vitani miaka ya karibuni,, kila project waliipeleka polepole wakiamini hakuna vita kubwa karibuni,, hawakujua kuwa US alikuwa anawapangia mtego ili wanase,, kiufupi marekani sasa wanataka kulipa kisasi cha vietnam na korea war,, maana bila mkono wa USSR,, marekani hangeabika vile huko vietnam,,
Lililobaki sasa ni tusubiri tuone, je , Russia ata adopt na kushinda hiyo vita, au itakuaje[emoji1]
Sio kwamba hawakutarajia vita ila hawakupiga hesabu zao vizuri walidhani wangemaliza mchezo haraka kama walivyofanya Georgia 2008, Crimea 2014...walichosahau ni kwamba baada ya kuchukuliwa kwa Crimea Magharibi walianza kulifua jeshi la Ukraine na matokeo ndio haya sasa tunayoona.Russia hawakutarajia kabisa kuwa wataingia vitani miaka ya karibuni,, kila project waliipeleka polepole wakiamini hakuna vita kubwa karibuni,, hawakujua kuwa US alikuwa anawapangia mtego ili wanase,, kiufupi marekani sasa wanataka kulipa kisasi cha vietnam na korea war,, maana bila mkono wa USSR,, marekani hangeabika vile huko vietnam,,
Lililobaki sasa ni tusubiri tuone, je , Russia ata adopt na kushinda hiyo vita, au itakuaje[emoji1]
Mpaka sasa Urusi kapata aibu kubwa sana.Russia hawakutarajia kabisa kuwa wataingia vitani miaka ya karibuni,, kila project waliipeleka polepole wakiamini hakuna vita kubwa karibuni,, hawakujua kuwa US alikuwa anawapangia mtego ili wanase,, kiufupi marekani sasa wanataka kulipa kisasi cha vietnam na korea war,, maana bila mkono wa USSR,, marekani hangeabika vile huko vietnam,,
Lililobaki sasa ni tusubiri tuone, je , Russia ata adopt na kushinda hiyo vita, au itakuaje[emoji1]
Itamchukua muda mrefu sana Mrussi kuweza kurudisha tena heshima yake aliyoipoteza mbele ya mataifa kutokana na uzembe wa kuanzisha vita kimasihara.Mpaka sasa Urusi kapata aibu kubwa sana.
HahaahahhahahHawa Warussi wa hapa Rau Madukani naona wamekaa kikao na kila mmoja anaongea kwa jazba na wanamtaja-taja sana Putin. Yawezekana wamechanganyikiwa pakubwa.
@Elungata ameamua kuwa muwazi ktk vita hii, hataki kujitia moyo.Hahahaha hii comment ni ya Elungata au mwingine?! Leo hii unaiponda S400 wakati miaka yote ulikua unaisifu humu.
Huyo mchina air defenses si ananunua kwa Mrusi,mpk SS sijaona air defenses km za muIsrael.
Yes jamaa amekua real sio yule mwamba mwenye jina la Kirundi ana andikaga maessay afu pumba tupu hua hakubaligi kushindwa yule@Elungata ameamua kuwa muwazi ktk vita hii, hataki kujitia moyo.
Kumbe Russia bado hawaja weka full combat!!.Hapa panaweza kuwa na Mambo mawili.
1. Ukraine amemshambulia Russia.
2. Russia anajitafutia mandate ya Kufanya full combat bila kulaumiwa.
Mimi niliwahi wasoma hao jamaa akili ikakataa kuendelea kusoma hizo habari na pia nilijiuliza huyu super power iweje anafanya mazoezi ya pamoja na India au China mara kwa mara anaogopa nini uzuri majibu nimepata...niliwahi soma humu sijui pana vigari vya jeshi vinaingia mtaani na kufumua kama drone hapo ndio nikachoka zaidi vita inaenda kuisha hii naona Mkubwa akiomba msaada Iran na NK wa Drones...Nikikumbuka kabla ya hii vita hzo air defenses zilivyokua zinasifiwa humu kwamba ndo Bora kabisa duniani naishiwa nguvu[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha [emoji23][emoji1787]Yes jamaa amekua real sio yule mwamba mwenye jina la Kirundi ana andikaga maessay afu pumba tupu hua hakubaligi kushindwa yule
Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
Ngoja kidogo - hapo wanamlia rada(wanamsoma kwa undani zaidi) halafu watam'binya pale mahala patakatifu na ukiskia amelia kwa kilugha chake ujue kwisha habari yake. Hii hali ni wanamwandalia -wanamseti akae uzuri halafu utasikia "Ndi" sisi tunaenda tu kuweka turubali kazi imeisha parapanda imelia. Kwa sasa ni uhakika Putin hachomoi.Ukraine inapaswa kupiga sawasawa ndani ya Urusi, bila maafa makubwa sana katika ardhi ya Urusi itakuwa vigumu sana kumleta dikteta Putin katika meza ya mazungumzo.
Vifo vya maelfu ya wanajeshi wake huko Ukraine havitoshi kuugeuza moyo wa huyo Farao mpumbavu.