Millard Ayo kapoteza maboya vijana wengi waliokuwa wanatamani kuwa kama yeye

Huyo kijana hana tofauti na b twelve hyo ndoa ni coverage tu ya mambo yake
Millard,rommy jones,b twelve na sammisago mbona wanachukuliwa negative mnoo
 

Unawajuwa mabilionea wewe? Huyo millard una uhakika gani amefikia hata umilionea au tajiri wa kawaida????


Wewe ni mchagga co!!!!!!
 

Mkuu,,,milad na delicious wana undugu?
 
Millard,rommy jones,b twelve na sammisago mbona wanachukuliwa negative mnoo
Lisemwalo lipo mkuu na duniani hamna Siri, shida sikuhizi hyo ni michezo ya wanaume wengi sema hao ni maarufu, ndio maana wanawake tumekuwa na kimsemo chetu, sikuhizi ukikuta mchepuko ni mwanamke mwenzako shukuru Mungu, waweza kuta mwanaume ni mke mwenza kwako
 
Angerikuwa ameowa angeposti kwenye accountyake mzehe. So hakuna ukweri wowote mzehe acha ku2ongopea
 

Dahhh mwenyewe nashangaa,,eti bilionea. Kuna matajiri wenye migodi hapa nchini but hawajafikia umilionea, ijekuwa bilionea!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…