Miloud alituliza mambo kwa muda mfupi sana, Nabi ndio aina ya makocha wale wale wa kutaka kupewa muda. Miloud ni kocha wa matokeo zaidiZa ndaani kabisa zinasema Nabi ndiye anayepigiwa chapuo. Ingawa katika uhalisia, ni Miloud Hamdi ndiye aliyefanikiwa msimu uliopita kuleta utulivu ndani ya timu baada ya kukumbwa na dhoruba kali wakati ligi inaendelea.
Hapanaaa!!Hapana Mkuu kocha ulie mfukuza kumfuata tena nikama mwanamke ulie shindana nae kwa tabia yake mbaya alafu unaanza kumhitaji lazima awe na nyodo
Sasa kati ya mwanamke aliyekosea na akaomba msamaha ila wee ukakataa na ukamtimua.Mfano tu lakini. Usije fanya upuuzi huu katika maisha yako yote. Mwanamke akikufanyia vituko ukamuonya inashindikana ukamfukuza usimrudie tena
Si hayo ya kutimua kocha kwasababu timu haichezi mnavyotakaMatatizo gani?
Kutimua kocha ni matatizo? Afadhari Yanga wanatimua makocha na wanachukua ubingwa sisi huku kwetu hatujui hata tumtimue nani maana kila msimu ni yale yaleSi hayo ya kutimua kocha kwasababu timu haichezi mnavyotaka
Upo sahihi mkuu. Nashangaa wanaomtaka NabiMiloud alituliza mambo kwa muda mfupi sana, Nabi ndio aina ya makocha wale wale wa kutaka kupewa muda. Miloud ni kocha wa matokeo zaidi
1. GamondiUpo sahihi mkuu. Nashangaa wanaomtaka Nabi