Mimea hii inanikosesha (inaninyima) Raha kabisa

Wabongo bwana.
Hizo ni disorder za kawaida kwa binadamu. Ni kama kuna rafiki yangu na umwamba wake wote lakini ile lightining wakati wa mvua inamsumbua sana, anakosa raha. Ni phobia (repulsion) za kawaida zinaweza kumkuta mtu yoyote.


Ni kama mimi binafsi mbegu ya ubuyu sijui naionaje, naionea kinyaa sana. Na siwezi kabisa kuwa na mahusiano na mwanamke anayekula ubuyu. Au kama anakula nisiwe namuona, ale akiwa mbali na nisizione mbegu za ubuyu.
 
Daah kweli kila mtu na lake, aisee hii yako mpyaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wabongo wengi tuna negativity kuhusu Jambo au hisia za mtu flani.

Kuna watu washafikiria vibaya na kuanza kuwaza mambo ya kipuuzi mara ooh kapime mimba, wewe Sijui LGBTQ, yaani ndio mawazo yao yaliko. Akili zao zinawaza ushoga na uasherati. Sasa hali hii inahusiana nini na mambo hayo.

Nashukuru bro Kwa kuonyesha suala hili la kutopenda jambo flani halihusiani na upungufu flani bali ni individual differences tu.
 
Nilijua nipo Peke yangu.

nipo ivyo tangu mtoto. kuanzia hizo moss plant na hivyo kwenye post no: 41 ...... naweza kushindwa Kula SEHEMU yenye hivyo ama nikiviona.
Mimi mwili unasisimuka na kujisia kama nataka kupiga kelele. Nijisikia kama nataka kuviponda-ponda ili nisivione tena.
 
Pole sana mkuu. Hata mimi nikiona huwa najisikia vibaya. Huwa wanasema dawa yake ni kujaribu ku-face hivi vitufe kwa ujasiri mpaka uzoee.
Hiyo inaitwa exposure therapy. Kwa hivyo vidudu siwezi kufanyaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
pole nakuelewa me sina hiyo nina heliophobia ya kuogopa jua au nikiwa kwenye jua nahisi ngozi inaburn kabisa kumbe ni psychological tu..
Mkuu wewe una iyo heliophobia ya jua? Mimi nina diclofanus Arus naogopa oxygen hii yenu ya bure mnayo breath natumia flavoured oxygen maalum.

Azarel
 
Juzi hapa alipita jongoo niliogopa sana nilipiga kelele kuomba msaada lakini hakukua na misaada ililazimu nikimbie kuokoa maisha yangu, Jongoo alikuwa ni mkubwa kweli tena meusi sana, hakika anaogofya sana. Nashukuru baada ya masaa mawili kurudi hakika alikuwa amekwisha ondoka zake! 😁😁😁
 
Ukungu wa kijani unaoota pembeni mwa nyumba, kwenyemitaro, mawe na miti iliyooza.
 
Sasa jongoo atakufanyia nini?
 
Huu uzi najuta kuupitia hapa nasikia Kama wadudu wanapita kichwani [emoji30]
Mi kuna mmoja kaweka picha ya viduduwasha vingii,, huwezi amini mikono haina nguvu kabisa, nahisi imelegea kwa hofu
 
Siwezi kukimbuka exact time, lakini kipindi Niko darasa la sita Hadi Saba hivi
Labda jambo baya lilikupata kwenye sehemu yenye hiyo mimea. Labda uliona mdudu wa kutisha chini yake.
 
Nashukuru nimepata mwenzangu, haiwezekani niwe peke yangu mwenye hii allergy[emoji56]
Hali kama hiyo pia hunikuta mimi pale ninapopita kwenye eneo lenye mkusanyiko wa takataka zenye unyevu,huwa najisikia vibaya sana,nawwza kupata mafua na hata home ndogo wakati mwingine,kingine ni aina fulani ya sisimizi wadogo wekundu,hawa niliwaona wakishambulia mzoga wa mbwa,tokea hapo nikiwaona ile kumbukumbu inanijia na kujihisi vibaya sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…