Mimi baba wa watoto watatu ratiba yangu ya asubuhi na jioni

Kwann mkuu
Biological differences zimepelekea utofauti wa majukumu na nafasi katika familia na jamii kati ya mwanaume na mwanamke.

Dunia yetu inajitahidi sana kuondoa utofauti huu. In the long run wanaume wengi watakuwa kama wanawake.

Angalia tu wanaume wengi wanaochukua majukumu ya wanawake, hata haiba yao inakuwa ya kikekike.

NB: Hii post haimhusu mleta mada.
 
Kwa mwanaume ukishapita miaka 30 hakikisha ( kama una muda) uwe na ratiba ya mazoezi kila siku. Na kama muda ni mchache basi angalau mara moja kwa week. Katika ratiba yako sijaona hilo
 
tuwekee na ratiba za mkeo

huenda umeolewa unasifiwa bure
 
Biology ipo kwenye kuzaa, kunyonyesha na sexual orientations. Vingine ni maamuzi na kucompromise tu mjuba.
 
Kuna siku utaamka asubuhi ukute tanasiko wamefanya yao, watavaa nguo kama vile zimetoka kwenye robota la mitumba... Kuwa makini
 
Hongera kwa kuwa kwenye ndoa kwa miaka 7,
Kama maisha ya kila siku yanakamilisha hitaji la moyo wako well and good
 


Wanawake ni watu wa hovyo sana, baada ya hayo yote anaweza toka nje na kuharibu furaha ya jamaa yote

Ratiba nzuri sana, ila ndugu, miaka 7 michache, hawa wanawake? Aisee sijui walizaliwa na nani?

Mimi nimeshawachoka kabisa, hawana jema, hata ufanyaje wanabaki kuwa wale wale, wasumbufu, washenzy, hovyo.
 
Ratiba yako kwa sasa ipoje mkuu
 
Hahaaaaa maisha yangu ni zoezi tosha. Kuwa na usiku mwema.
 
Huyu Prof unamfahamu ? kwenye Ratiba sijaona ukimuhusisha
 
member since 2017 na hujaoa??πŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…