Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
We dogo hamnazo kweliMbuzi wa kafarašš¤£
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We dogo hamnazo kweliMbuzi wa kafarašš¤£
Safi sana, hii pia inawahimarishia confidence yaowatoto wangu wakirudi shule huwa nawauliza maswali haya:
1. siku yako ilikuwaje
2. kitu gani kipya umejifunza leo?
3. kitu gani hujakipenda siku ya leo?
4. hapo shuleni kwenu kuna sheri ipi ambayo unaona haiko sawa?
5. kuna mtu amekukorifisha leo?
6. ulipocheka shule kwa saut kubwa nini kilikufurahisha?
7. kuna swali umemuuliza mwalim darasani ? na ulielewa kila somo ulilofundishwa?
8. njian wakat unaenda au wakati unarudi umeona kitu gani kipya ambacho hujawahi kukiona?..ulikipenda?
9. ratibaya chakula cha mbwa leo ikoje na umecheza mchezo gani leo?..
10. mmefanya homework? na ratiba ya kujisema lweo ni somo gani
11. niulize swali lolote
hayo huwa ndo maswali yangu wa wanangu na huwa tunainjoy sana mazungumzo hayo na wanaipenda session hiyo kinoma.. niwepo home au nisiwepo ntapiga simu tutaongea...
RATIBA YA ASUBUHI
- Naamka saa 11 au 12 kutegemeana na shughuli za siku.
- Nikiamka saa 11 ujue na shughuli na mama yoyo.
- Nikiamka saa 12 cha kwanza nachukua nguo za watoto( wawili wanafunzi) na zangu na kuzinyoosha.
- Muda huo wife anakuwa anapambana na kuwaogesha. Akimaliza kuwaogesha nampokea kuwapaka mafuta na kuwavalisha ( muda huo wife anakuwa anawapikia breakfast).
- Baada ya hapo naenza kujiandaa mwenyewe kwa ajili ya kwenda kwenye miangaiko. Asubuhi huwa natoka nao hadi kwenye kituo ambacho huwa wanachukuliwa na school bus.
- Wakishachukuliwa mm ndo huwa naenda kutafuta usafiri wa kwenda kwenye mihangaiko yangu.
RATIBA YA JIONI
- Huwa najitahidi by saa 11 niwe home.
- Nakuta watoto wamerudi muda si mrefu, so naoga then naanza fanya nao home work.
- Wakamimaliza homework natafuta kinywaji changu pendwa na kuanza kusip nikisubr msosi wa usiku..
- Wadau kwa ratiba yangu hii nyie mnaionaje, ratiba yako wewe ipoje?
Mzee Maisha yangu yenyewe ni mazoezi tosha. Mazoezi mnafanya nyie kula kulala ila sisi tunaoshinda mashambani maisha tu ni mazoezi.Daah nyie watu mnaishije bila kuwa na ratiba ya mazoezi?
Hahaaaaa, kimsingi hata ufanyaje watoto watakuacha tu nami nimeshajiandaa kwa hilo. Watoto hawatakaa.na Baba milele.Hiyo ratiba uzeeni itakuja kutesa, watoto nao watakuwa busy na mama yao, wewe watakuacha peke yako coz huna chemistry nao. Hiyo mifugo muda huo hutakuwa na uwezo wa kuihudumia.
Acha kupanic kirahisi hivyo kama mtoto mdogo. Naamka sa 12 nafanya mazoezi kwa nusu saa mpaka dakika 45 naenda kuwaandalia kuku vyakula na maji kwakua kila kitu kipo settled hainichukui muda sana. Nikitoka hapo najiandaa naingia ofisini sa 2.Mzee Maisha yangu yenyewe ni mazoezi tosha. Mazoezi mnafanya nyie kula kulala ila sisi tunaoshinda mashambani maisha tu ni mazoezi.
Kuna upweke wa uzeeni mzee..mke yupo busy na watoto wewe ata simu hupigiwiAcha kupanic kirahisi hivyo kama mtoto mdogo. Naamka sa 12 nafanya mazoezi kwa nusu saa mpaka dakika 45 naenda kuwaandalia kuku vyakula na maji kwakua kila kitu kipo settled hainichukui muda sana. Nikitoka hapo najiandaa naingia ofisini sa 2.
Ungeweza kunijibu vyovyote ila kuniita kula kulala umenikosea sana mdogo wangu. Kufanya mazoezi siyo lazima usiwe na majukumu. Pangilia muda wako vizuri acha excuses za kimama.
Mkuu usisubiri kupewa furaha. Do not expect anything from anyone people are selfish. Achana nao hao jijali wewe mwenyewe watakuja kushtuka badae wakati wewe ushapona majeraha yaoKuna upweke wa uzeeni mzee..mke yupo busy na watoto wewe ata simu hupigiwi
Kuogesha watoto!
Hell NO!!
Ratiba za kurudi nyumbani mchana ni za kitoto sana, wewe ni mtoto mwenzao kama sio benteni.
Huyo mkeo anarudi sangapi?
. Mimi huwa nawaogesha but mara moja moja. Wakati mwingine watoto huwa wanagoma kuogeshwa na mama wanamtaka baba. So nachip in. Mke huwa anarudi mapema zaidi. Saa tisa au kumi huwa yupo home.
Acha uchonganishi...Kuogesha watoto!
Hell NO!!
Ratiba za kurudi nyumbani mchana ni za kitoto sana, wewe ni mtoto mwenzao kama sio benteni.
Huyo mkeo anarudi sangapi?
Namna hii, unashindwa kuweka bond na watoto... bond na familia yako inapotea.Kidume unarudije jioni saa 11.unazidiwa mpaka na watoto ambazo wengine hurudi mida ya dinner aisee.
By the way mm saa kumi na moja kasoro nishasepaa narudi saa 2 kasoro nabana chemba namkula vyombooo mpaka saa 6 au Saba ndo narudi home. Kiufupi hata wanangu Huwa wananisahau Mimi Kama ni baba yao maana hata siku ya off Huwa simalizi masaa 4 nkiwa home
Nakuunga mkono kwa asilimia zote. Endelea hivyo hivyo...RATIBA YA ASUBUHI
- Naamka saa 11 au 12 kutegemeana na shughuli za siku.
- Nikiamka saa 11 ujue na shughuli na mama yoyo.
- Nikiamka saa 12 cha kwanza nachukua nguo za watoto( wawili wanafunzi) na zangu na kuzinyoosha.
- Muda huo wife anakuwa anapambana na kuwaogesha. Akimaliza kuwaogesha nampokea kuwapaka mafuta na kuwavalisha ( muda huo wife anakuwa anawapikia breakfast).
- Baada ya hapo naenza kujiandaa mwenyewe kwa ajili ya kwenda kwenye miangaiko. Asubuhi huwa natoka nao hadi kwenye kituo ambacho huwa wanachukuliwa na school bus.
- Wakishachukuliwa mm ndo huwa naenda kutafuta usafiri wa kwenda kwenye mihangaiko yangu.
RATIBA YA JIONI
- Huwa najitahidi by saa 11 niwe home.
- Nakuta watoto wamerudi muda si mrefu, so naoga then naanza fanya nao home work.
- Wakamimaliza homework natafuta kinywaji changu pendwa na kuanza kusip nikisubr msosi wa usiku..
- Wadau kwa ratiba yangu hii nyie mnaionaje, ratiba yako wewe ipoje?
Naendelea kajifunza kwenu wazaziwatoto wangu wakirudi shule huwa nawauliza maswali haya:
1. siku yako ilikuwaje
2. kitu gani kipya umejifunza leo?
3. kitu gani hujakipenda siku ya leo?
4. hapo shuleni kwenu kuna sheri ipi ambayo unaona haiko sawa?
5. kuna mtu amekukorifisha leo?
6. ulipocheka shule kwa saut kubwa nini kilikufurahisha?
7. kuna swali umemuuliza mwalim darasani ? na ulielewa kila somo ulilofundishwa?
8. njian wakat unaenda au wakati unarudi umeona kitu gani kipya ambacho hujawahi kukiona?..ulikipenda?
9. ratibaya chakula cha mbwa leo ikoje na umecheza mchezo gani leo?..
10. mmefanya homework? na ratiba ya kujisema lweo ni somo gani
11. niulize swali lolote
hayo huwa ndo maswali yangu wa wanangu na huwa tunainjoy sana mazungumzo hayo na wanaipenda session hiyo kinoma.. niwepo home au nisiwepo ntapiga simu tutaongea...
Haya maisha hakuna namna baba utaweza kubondi na watoto hadi uzeeni, labda uwe na mali na utapendewa mali..... ukiwa na maisha ya kuunga watoto ni rafiki wa mama yao tu.Hiyo ratiba uzeeni itakuja kutesa, watoto nao watakuwa busy na mama yao, wewe watakuacha peke yako coz huna chemistry nao. Hiyo mifugo muda huo hutakuwa na uwezo wa kuihudumia.
Wewe ni mkufunzi bila shaka.Mimi:
Naamka saa 9 au 10 alfajiri. Nasali hadi saa 11 au 11:30. Naanza fanya kazi zangu kwenye Laptop kuanzia saa 11:30 alfajiri hadi saa 1:30 Alfajiri.
Saa 1:30 hadi 1:45 ni kuoga na kujiandaa kwenda Kazini. Saa 9:30 alasiri narudi toka Kazini. Naenda Shambani au kuangalia mifugo hadi saa 12:45 au saa 1:00 Usiku.
Hiyo saa 1:00 nitaoga na kufanya kazi kidogo kwenye laptop huku naingia mtandaoni na saa 2:00-3:00 usiku nakula Msosi huku naangalia taarifa ya habari. Saa 3:00 naingia kusali then saa 3:30 au 4:00 Nalala.
Ni Baba wa watoto 4, siwaogeshi wala wafulia wala shughulika nao. Mama yao na dada yao wanafanya hayo.