Mimi baba wa watoto watatu ratiba yangu ya asubuhi na jioni

Hii ratiba yako inavutia sana Ikiandikwa JF.Ila Practically ni Ratiba ya hatari sana hasa utakapoanza tabia ya Kutokuogesha watoto,kuchelewa kurudi n.k.Ratiba Typical ya Baba iko Hivi.:

Ukiogesha watoto ni siku ukiwaona ni wachafu ili umuoneshe mama kwamba kuna shida mahali.
Ukiamka Mapema ili watoto wa wawahi ni ili umuoneshe mama kwamba analala sana.
Ukiwahi kurudi nyumbani ni kama huna hela ya BIA,au kuna mambo yanakusumbua kichwani.
Ukifanya Homework na watoto ni kama umewauliza maswali mawili matatu ya shule ukaona kama vile huwaelewi hivi basi unakagua daftari zima.

Sasa Ili UISHI kwa RAHA na familia yako kama BABA Ratiba yako inatakiwa iwe ambayo WEWE unakuwa kama Vile sio Sehemu ya Familia Ila ni sehemu ya Familia.
Kama shughuli zako ni za Mapema sana Basi wife anaamka Mapema Zaidi anaanda kila kitu mpaka watoto kisha anakuamsha wewe kwa ajili ya kuoga/kuogeshwa na kuvaa nguo ambazo zimepigwa Pasi.Hapo watoto wanakuwa wamefikishwa Kituoni na WIFE.

Muda wako wa kurudi nyumbani unatakiwa uwe Relative unpredictable.Kama shughuli zako zinaisha saa 11 basi PITA vijiwe vya kahawa/draft au hata tembea tu taratibu barabani ukitafakari kuhusu maisha.Siku ukiwa huna hela fika nyumbani kati ya saa moja na saa tatu.Na siku ukiwa na hela fika nyumbani kati ya saa 3 na Saa tano.

Kama mwanaume kuna wakati inabidi ujipe nafasi na umpe nafasi mke pamoja na watoto wako.Hii inafanya ule muda unaokaa nao na yale mambo unayofanya nao yawe na uzito mvuto na zaidi kuhakikisha FAMILY Stability.

Kwa kawaida Stability ya Familia inategema Stability ya Baba.Baba Ukifanya kwamba sasa ni ratiba na utaratibu wewe ni mke wako kukaa pamoja na kushirikiana katika kila Jambo Itafika wakati Mamlaka yako ndani ya nyumba yatakuwa challenged au wewe mwenyewe utaichoka Familia yako au familia yako itakuchoka.

So As a man.Chochote unachofanya.Usiwe Predictable,Usilete habari za Equality wala usileta Habari Kusaidiana.Issues za Gender relations ni very natural na ukijichanganya tu utaanza kuuliza sukari na chumvi inawekwa kiasi gani kwenye chakula,Utauliza bajeti ya Maji etc.Mwishowe utapata Ugonjwa wa Moyo ufe uiache familia yako ikiwa Ytima.

Illa sasa HIYO Ratiba yako uliyoandika Hapa unaweza Kuifanya Mara moja moja na kwa Nadra sana ila isizoeleke.
 
Niliandika ndefuuuu, nikaja gundua mm nipo single 😂😂😂 anyway, naamka saa 1 na nusu, nakula, naoga,
Saa mbili natoka home,
Narudi saa 6 usiku, nasali, nalala, and the days goes on 😂😂

Nikipata mke na mtoto nitakuja ku update,

Btw, nimependa unavyomsapot mama watoto kulea watoto, inakuwa nzuri sana hio
Tumetofautiana tu mda wa kuamka
 
Niliandika ndefuuuu, nikaja gundua mm nipo single [emoji23][emoji23][emoji23] anyway, naamka saa 1 na nusu, nakula, naoga,
Saa mbili natoka home,
Narudi saa 6 usiku, nasali, nalala, and the days goes on [emoji23][emoji23]

Nikipata mke na mtoto nitakuja ku update,

Btw, nimependa unavyomsapot mama watoto kulea watoto, inakuwa nzuri sana hio
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Duh kweli upinde hautaisha hivi mwanaume kweli asiekuwa shabiki wala mfuasi wa papa unapata wapi ujasiri wa kuogesha watoto? Unapata wapi ujasiri wa kunyoosha nguo za watoto?
 
Weekdays (Mon - Fri)

Kuamka saa 10.30 alfajiri, nafanya ibada mpaka 11.15.

11.15 mpaka 11.45 ni kuoga na kuvaa.

11.50 safari inaanza na wanangu 3 kati ya 4 nilionao. Nawaacha mashuleni kwao (nawapeleka inisaidie kuwahi kazini pia kusave gharama za school bus, zilipo shule zao na ofisini kwangu ni njia moja) ambapo roughly inakuwa 12.30.

1.00 nakuwa ofisini tayari kwa majukumu ya siku.

10.30 nafunga kazi, huwa nawasiliana na school bus kama hawajapita maeneo ya kazini kwangu nawaambia wawaache vijana wangu kituoni nawapitia na kurudi nao nyumbani. Hii inanipa wasaa wa ku interact nao pia.

12.00 nakuwa nyumbani ambapo ni kuoga ibada ya maghrib then kukaa na familia kidogo ikiwemo kula na kuzungumza ya siku nzima.

2.00 ibada ya isha na kuishia kitandani busy na simu na mama watoto.

3.30 nipo kwenye njozi.

Sijui watoto wanavaa uniform gani siku gani, sijui wanakula nini. Hayo ni majukumu ya mama na madada wa kazi. Ila ninahakikisha kila siku nakuwa na walau saa 1 ya kukaa na wanangu.

Weekends watoto wangu wote wanakuwa kama escort yangu, nilipo wapo. Kama ni nyumbani tunakuwa wote, nikitoka tupo wote.

Nahisi nimekuwa mtu mzima maana najikuta sina mizunguko ya faragha kunizuia kuwa na wanangu saa zote weekend.
 
Ulizia ratiba ya Maghayo, adriz, na nusu albino Half american lazima upige Hawa mbuzi😀🤣
😂
Kuamka saa 10:55-11:10 alfajiri
Mazoezi 11:15 to 12:05
Kupoa kidogo kama dkk 15 ivi
12:30 maandalizi ya kuelekea miangaikoni
8:00-11 jioni ni kuhangaika tu.
19:30 kula, viti virefu, kuangalia mpira na wana mpaka saa 6 ivi
Saa 7 kasoro naoga na kulala(kulala sio kitu napenda)
 
Hii ratiba yako inavutia sana Ikiandikwa JF.Ila Practically ni Ratiba ya hatari sana hasa utakapoanza tabia ya Kutokuogesha watoto,kuchelewa kurudi n.k.Ratiba Typical ya Baba iko Hivi.:

Ukiogesha watoto ni siku ukiwaona ni wachafu ili umuoneshe mama kwamba kuna shida mahali.
Ukiamka Mapema ili watoto wa wawahi ni ili umuoneshe mama kwamba analala sana.
Ukiwahi kurudi nyumbani ni kama huna hela ya BIA,au kuna mambo yanakusumbua kichwani.
Ukifanya Homework na watoto ni kama umewauliza maswali mawili matatu ya shule ukaona kama vile huwaelewi hivi basi unakagua daftari zima.

Sasa Ili UISHI kwa RAHA na familia yako kama BABA Ratiba yako inatakiwa iwe ambayo WEWE unakuwa kama Vile sio Sehemu ya Familia Ila ni sehemu ya Familia.
Kama shughuli zako ni za Mapema sana Basi wife anaamka Mapema Zaidi anaanda kila kitu mpaka watoto kisha anakuamsha wewe kwa ajili ya kuoga/kuogeshwa na kuvaa nguo ambazo zimepigwa Pasi.Hapo watoto wanakuwa wamefikishwa Kituoni na WIFE.

Muda wako wa kurudi nyumbani unatakiwa uwe Relative unpredictable.Kama shughuli zako zinaisha saa 11 basi PITA vijiwe vya kahawa/draft au hata tembea tu taratibu barabani ukitafakari kuhusu maisha.Siku ukiwa huna hela fika nyumbani kati ya saa moja na saa tatu.Na siku ukiwa na hela fika nyumbani kati ya saa 3 na Saa tano.

Kama mwanaume kuna wakati inabidi ujipe nafasi na umpe nafasi mke pamoja na watoto wako.Hii inafanya ule muda unaokaa nao na yale mambo unayofanya nao yawe na uzito mvuto na zaidi kuhakikisha FAMILY Stability.

Kwa kawaida Stability ya Familia inategema Stability ya Baba.Baba Ukifanya kwamba sasa ni ratiba na utaratibu wewe ni mke wako kukaa pamoja na kushirikiana katika kila Jambo Itafika wakati Mamlaka yako ndani ya nyumba yatakuwa challenged au wewe mwenyewe utaichoka Familia yako au familia yako itakuchoka.

So As a man.Chochote unachofanya.Usiwe Predictable,Usilete habari za Equality wala usileta Habari Kusaidiana.Issues za Gender relations ni very natural na ukijichanganya tu utaanza kuuliza sukari na chumvi inawekwa kiasi gani kwenye chakula,Utauliza bajeti ya Maji etc.Mwishowe utapata Ugonjwa wa Moyo ufe uiache familia yako ikiwa Ytima.

Illa sasa HIYO Ratiba yako uliyoandika Hapa unaweza Kuifanya Mara moja moja na kwa Nadra sana ila isizoeleke.
Nakubaliana na wewe ,Mwanaume lazima ujitengenezee ka uhuru , ukizoeleka siku ukibadikika inakuwa kasheshe ...kukaa nako nyumbani muda mrefu kunasababisha ugomvi na kuzoeleka
 
Ratiba yangu tangu nikiwa 21 years. Kama shughuri zingine labda kwenda kwenye mishe zangu inaanza saa 12 asubuhi basi lazima niwe na saa 1.30 nyuma ya mazoezi. Hata kama nina safari ya kuanzia saa 11 basi lazima nipige tize kwanza. Yaani tize ndio kitu pendwa kwangu,ni lazima dairy kwenye ratiba. Mpaka sasa nina 40+,iko hivyo.
Ili mambo yasiwe mengi. Hizo zingine za kucheck na watoto nilishazivuka. Imebaki tu kujumuika nao pamoja msosi wa usiku. Mambo yasiwe mengi
 
😂
Kuamka saa 10:55-11:10 alfajiri
Mazoezi 11:15 to 12:05
Kupoa kidogo kama dkk 15 ivi
12:30 maandalizi ya kuelekea miangaikoni
8:00-11 jioni ni kuhangaika tu.
19:30 kula, viti virefu, kuangalia mpira na wana mpaka saa 6 ivi
Saa 7 kasoro naoga na kulala(kulala sio kitu napenda)
Dah ratiba ya kitajiri hi, nipe deal mkubwa.
 
Duh kweli upinde hautaisha hivi mwanaume kweli asiekuwa shabiki wala mfuasi wa papa unapata wapi ujasiri wa kuogesha watoto? Unapata wapi ujasiri wa kunyoosha nguo za watoto?
Tupe ratiba yako mkuu nasi tujifunze
 
Ratiba yangu tangu nikiwa 21 years. Kama shughuri zingine labda kwenda kwenye mishe zangu inaanza saa 12 asubuhi basi lazima niwe na saa 1.30 nyuma ya mazoezi. Hata kama nina safari ya kuanzia saa 11 basi lazima nipige tize kwanza. Yaani tize ndio kitu pendwa kwangu,ni lazima dairy kwenye ratiba. Mpaka sasa nina 40+,iko hivyo.
Ili mambo yasiwe mengi. Hizo zingine za kucheck na watoto nilishazivuka. Imebaki tu kujumuika nao pamoja msosi wa usiku. Mambo yasiwe mengi
Hongera sana, sisi wenye watoto wadogo bado tunapambana
 
Kwanza nakupongeza kwa kuoa mama yoyo Ni watu poa sna na wakarimu

Nikupongeze sna

Kwa upande wangu

Naamka saa 1:19 kila wakt Kisha najibarakugaza kwenda kwenye udalali wangu Ni hatua 30 kisha narudi saa moja au mbili napika Kisha nalala

Watoto wako mbali
 
Weekdays (Mon - Fri)

Kuamka saa 10.30 alfajiri, nafanya ibada mpaka 11.15.

11.15 mpaka 11.45 ni kuoga na kuvaa.

11.50 safari inaanza na wanangu 3 kati ya 4 nilionao. Nawaacha mashuleni kwao (nawapeleka inisaidie kuwahi kazini pia kusave gharama za school bus, zilipo shule zao na ofisini kwangu ni njia moja) ambapo roughly inakuwa 12.30.

1.00 nakuwa ofisini tayari kwa majukumu ya siku.

10.30 nafunga kazi, huwa nawasiliana na school bus kama hawajapita maeneo ya kazini kwangu nawaambia wawaache vijana wangu kituoni nawapitia na kurudi nao nyumbani. Hii inanipa wasaa wa ku interact nao pia.

12.00 nakuwa nyumbani ambapo ni kuoga ibada ya maghrib then kukaa na familia kidogo ikiwemo kula na kuzungumza ya siku nzima.

2.00 ibada ya isha na kuishia kitandani busy na simu na mama watoto.

3.30 nipo kwenye njozi.

Sijui watoto wanavaa uniform gani siku gani, sijui wanakula nini. Hayo ni majukumu ya mama na madada wa kazi. Ila ninahakikisha kila siku nakuwa na walau saa 1 ya kukaa na wanangu.

Weekends watoto wangu wote wanakuwa kama escort yangu, nilipo wapo. Kama ni nyumbani tunakuwa wote, nikitoka tupo wote.

Nahisi nimekuwa mtu mzima maana najikuta sina mizunguko ya faragha kunizuia kuwa na wanangu saa zote weekend.
Ratiba yako haitofautiani sana na yangu. Safi sana
 
Back
Top Bottom