Mimi baba wa watoto watatu ratiba yangu ya asubuhi na jioni

Mimi baba wa watoto watatu ratiba yangu ya asubuhi na jioni

1. Naamka saa 3 ,naoga nakunywa chai by saa 4
2.Naingia online session ya digital assets ( crypto trading) kwa masaa 2
3. Napumzika kwa lisaa limoja huku napata kinywaji cha Absolute Vodka (mixer ice blocks,lemon)
4.Napata lunch saa 8
5.Nalala kidogo mpaka saa 10 ,
6. Naingia tena kwenye online session kufanya followup ya AI Stocks na ETFs trending kwa masaa mawili
7. Saa 12:30 naingia gym ipo umballi wa kutembea kwa miguu mpaka saa 2:30 usiku
8.Narudi home kuoga
9. Natoka kwenda kupata tena kinywaji mpaka saa 5 au 6
10. Narudi kulala , naamka saa 3 kesho yake
Ratiba hii ni Jtatu - Ijumaa mchana, kuanzia ijumaa jioni ,jmosi na jpili nahangaika na milupo na pombe
NB: Watoto wote wanne wapo shule za boarding
Mke nilishamfukuza nimevuta hand brake kwanza kupunguza stress, naishi na wafanyakazi wawili wa kazi za nje na kazi za ndani
 
Burudani kama mpira au muziki huna hobby nazo?, huna muda wa kushosholizi na wana kitaani?, hata club za mazoezi?...
 
Back
Top Bottom