Huko kwenu huu si ndio utaratibu wa kawaida?Ni vizuri kuboresha hilo,unapiga pasi nguo zao zote za Shule mara moja hasa weekend,hapo unakua umepunguza kazi ya kupia Pasi kila siku asubuhi,
Uko vizuri kwenye Parenting Mkuu.
Kwahio ukituona kijiweni unatuona wazee wa hovyo? Binti umenisikitisha sana.Uko vizuri mkuu hongera sana, wewe ni baba Bora ambao mnapigwa vita sana katika jamii ya kiafrika.
Naomba chagua siku moja ya kurudi walau tatu au saa mbili usiku nyumbani, siku hii iwe maalumu kwa kupita kijiweni, kijiwe kilicho karibu na mtaani kwako wanakoshinda vijana na wazee wa hovyo. Just to keep up na mambo ya mtaani. Au kupita baa na rafiki yako mwanaume, mkaongee ya kiume. It's healthy!
Kwetu ni wapi kwani?Huko kwenu huu si ndio utaratibu wa kawaida?
Huku kwetu maisha yanahitaji ujanja janja sana especially kama hujawekeza kiulinzi nyumbani kwako, akikaa kijiweni lisaa once a week ataelewa mengi sana yanayoendelea mtaani kwake. Unless yuko vizuri huku kwetu tunaita βkujipataβ. Hata kama umejipata kuna namna unahitaji machawa kama bodaboda guys, good for ulinzi shirikishi.Naona umeamua kumpoteza Baba bora sasa,huko kijiweni anaweza akanogewa na akabadilika,kijiweni ni majungu tu wala hakuna la maana,
Acha niendelee kukomaa na box na hili baridi.
π
Unapoishi.Kwetu ni wapi kwani?
Hahah nimetania βutani wa ngumi thoβKwahio ukituona kijiweni unatuona wazee wa hovyo? Binti umenisikitisha sana.
Unajua Binadamu tunatofautiana,kuna wengine wanafikiri kusaidia kazi za Nyumbani au kumsaidia mkeo kazi basi hupunguza uanaume wako! kuna aina za kazi za home unaenjoy kuzifanya na inakua ni kama burudani kwako,mfano ukipiga Pasi nguo za Shule za wanao,kuna feeling fulani unaipata.Unapoishi.
mwanaume hana ratiba mkuuRATIBA YA ASUBUHI
- Naamka saa 11 au 12 kutegemeana na shughuli za siku.
- Nikiamka saa 11 ujue na shughuli na mama yoyo.
- Nikiamka saa 12 cha kwanza nachukua nguo za watoto( wawili wanafunzi) na zangu na kuzinyoosha.
- Muda huo wife anakuwa anapambana na kuwaogesha. Akimaliza kuwaogesha nampokea kuwapaka mafuta na kuwavalisha ( muda huo wife anakuwa anawapikia breakfast).
- Baada ya hapo naenza kujiandaa mwenyewe kwa ajili ya kwenda kwenye miangaiko. Asubuhi huwa natoka nao hadi kwenye kituo ambacho huwa wanachukuliwa na school bus.
- Wakishachukuliwa mm ndo huwa naenda kutafuta usafiri wa kwenda kwenye mihangaiko yangu.
RATIBA YA JIONI
- Huwa najitahidi by saa 11 niwe home.
- Nakuta watoto wamerudi muda si mrefu, so naoga then naanza fanya nao home work.
- Wakamimaliza homework natafuta kinywaji changu pendwa na kuanza kusip nikisubr msosi wa usiku..
- Wadau kwa ratiba yangu hii nyie mnaionaje, ratiba yako wewe ipoje?
Wapi huko Singida sio?Hahah nimetania βutani wa ngumi thoβ
Si kuna usalama wa Taifa pia vijiweni? Growing up huku sweken kwetu tumekuwa tukiambiwa hilo π€£
Itigi π€¦π»ββοΈπWapi huko Singida sio?
π
Safi sana masai dada mleta mada ataeleweka na wakubwa tu,hawa vijana ndio watakao mponda tena bila hata ya wao kuweka ratiba zao ili na wao tuwasome.Hongera,hakika hizo memory wanao watadumu nazo mpaka wakikua.
Hawatakusahau
Mungu mwenyewe alimpenda Adam na matunda ya bure bustanini lakin wapi, jamaa wakamsalitiSafi kabisa ni mfano mzuri wa baba bora.Mm nilikua mzee wa kuamka sijali hata wanangu wameamka poa ama vip Jioni narudi mida mibovu mara nyingi nakuta wamelala.Kuna siku niliamua kukaa nyumbani kucheza na watoto nilikuja kugundua kuna kitu sifanyi sawa kama mzazi.Nikabadili ratiba sio siri watoto wako ukiwa nao karibu ni best friend wazuri sana yaaan sio siri nainjoi sana kuwahudumia ama kukaa nao mda mwingi.
This is masculinity toxic notion. Kuna watoto hapo, kwanini unaona anajikomba kwa mkewe?mwanaume hana ratiba mkuu
halafu mbona unaonekana kama unajikomba kwa wife,si bure
Unaweza kukuta unahangaika na kitoto cha Shule hapo,unafikiri kitakuelewa?This is masculinity toxic notion. Kuna watoto hapo, kwanini unaona anajikomba kwa mkewe?
Hatari sana hii πUnaweza kukuta unahangaika na kitoto cha Shule hapo,unafikiri kitakuelewa?
π