Mimi binafsi, siwezi kumsikiliza rais Samia

Mimi binafsi, siwezi kumsikiliza rais Samia

Kwa katiba yetu ni sawa na power struggle za Europęan monarchy. Unakuta mtoto anarithi kwa tamaduni au mtu wa mbali anautwaa ufalme kwa kanuni.

Waelevu wanaona isiwe tabu vita, kumtoa huyu mtu.

Muwe wakweli raisi Samia hana uwezo kabisa.
 
Katiba….!
Katiba ni shida nakubali, lakini shida zaidi pia ni civil services.

Nchi inayojitambua haiwezi ongozwa na mtu kama Samia.

Ni vipi huyu mama, kaweza kupenya hadi kuwa makamu wa raisi; Samia uwezo wake ni mdogo mno (akili zake ni ndogo mno), huo ndio ukweli.

Raisi Samia, kafikaje kwenye radar ya ulinzi wa nchi kudhani anaweza kuwa makamu wa raisi.

This is not OK.
 
Lazima kama taifa mna matatizo makubwa sana.

Kabisa watu wenye akili timamu mumpe Samia miaka mitano tena.

Hata mimi ambae simjui sihitaji ushawishi, ni mama mwenye uwezo mdogo sana.

Sasa sijui wale ambao wana interact nae, tuache utani kwenye shughuli ya kuongoza nchi.

Samia hana uwezo.
 
Mimi binafsi, siwezi kumsikiliza raisi Samia.

Bora nikalime huko, kuliko kupokea orders kutoka kwake.

Hana uwezo hata chembe.

That says a lot ueledi wa civil services,

It’s a shitty county (ndio uhalisia).
EEeeeeenHHEEEeeeee!

Pole zako mkuu 'Mayor'. Sasa tufanyeje mkuu, nchi yetu hii ndivyo imekuwa;!
I can't imagine another five years under 'Chura Kiziwi'!

Hapana. Ni hivi: Ingekuwa ni swala la u'incompetence' pekee, tunge vumilia vumilia hivyo hivyo, huku miaka ikipita, na pengine wasaidizi wake wengine wange ziba huo u'incopetence' wake katika baadhi ya mambo.
Samia ni adui wa nchi; hasa Tanganyika. Anafanya kila analo weza kuhakikisha analimaliza hili li nchi; kwanza kwa kuwadharau na kuwapuuza wananchi wake, ambao yeye waziwazi haoni kuwa wanao uwezo wa kufanya chochote.
 
Genuine ballot box will solve everything
In another situation, sio hii.

Ni miujiza tu Samia kafikaje hapo. Kuna watu wakwenda kuwashindanisha kwenye ballot box. Ila sio huyo mama.

Kaka, kwetu kumekucha; halafu nina mpango wa kutambika kwenye makaburi ya wazazi na Samia ana wapambe wake nuksi bila ya kuwatuma it’s food for though.

Alamsiki
 
Mimi bora nisiwe msaidizi wake kwa nafasi yoyote ya uwaziri au IKULU.

Sasa naongea nini mtu ambae uwezo wake ni zero.
Atakugawia tu li'Range Rover' hapo na kuhakikisha vidole vyako havigusi tena 'keyboard' kuandika chochote juu yake.

Si unawaona akina Kabuti Kalamaganda huko; waliokuwa wanajipambanua kuwa wazalendo kuliki wengine wote chini ya Magufuli!

Ukitaka kujuwa unafiki wa waTanzania; watazame watu kama hawa, ambao sasa ndio wanaoshiriki katika kulihujumu taifa!
 
EEeeeeenHHEEEeeeee!

Pole zako mkuu 'Mayor'. Sasa tufanyeje mkuu, nchi yetu hii ndivyo imekuwa;!
I can't imagine another five years under 'Chura Kiziwi'!

Hapana. Ni hivi: Ingekuwa ni swala la u'incompetence' pekee, tunge vumilia vumilia hivyo hivyo, huku miaka ikipita, na pengine wasaidizi wake wengine wange ziba huo u'incopetence' wake katika baadhi ya mambo.
Samia ni adui wa nchi; hasa Tanganyika. Anafanya kila analo weza kuhakikisha analimaliza hili li nchi; kwanza kwa kuwadharau na kuwapuuza wananchi wake, ambao yeye waziwazi haoni kuwa wanao uwezo wa kufanya chochote.
Inasikitisha sana

Mengine tuwaachie, Kaka.

Msingi ni kuwapa ukweli, uhalisia ni kwamba Samia hana uwezo.

Mengine ni kujifurahisha tu, wao wenyewe Plus exposure ya weakness ya civil servants.

Lakini Samia akili ya kuongoza nchi hana ata kidogo hizo akili hana; mengine watajijua wenyewe kiongozi.

Tukutane kwenye majibizano ya maana. Haya mengine ni kuwapasha tu wahusika. Wakimeza wakitema, shauri zao.
 
Mimi binafsi, siwezi kumsikiliza raisi Samia.

Bora nikalime huko, kuliko kupokea orders kutoka kwake.

Hana uwezo hata chembe.

That says a lot ueledi wa civil services,

It’s a shitty county (ndio uhalisia).
AAlikupa "order" ipi?

Safari njema ya shamba, utakutana na Bashe huko anatimiza malengo ya Rais wetu mama Samia.
 
Atakugawia tu li'Range Rover' hapo na kuhakikisha vidole vyako havigusi tena 'keyboard' kuandika chochote juu yake.

Si unawaona akina Kabuti Kalamaganda huko; waliokuwa wanajipambanua kuwa wazalendo kuliki wengine wote chini ya Magufuli!

Ukitaka kujuwa unafiki wa waTanzania; watazame watu kama hawa, ambao sasa ndio wanaoshiriki katika kulihujumu taifa!
I am not motivated on gaining materials which I don’t think I have worked hard to gain them.

Nor being comfortable to gain positions which I don’t think, I earned them on merit.

Probably there was something na malezi yetu ya ‘Arusha School’ kwa miaka yetu, alichosema Mange ndio uhalisia wa wengi wetu, hatuko comfortable na kupewa vitu ambavyo atujavipagia.

Personal imefikia hatua, vigogo wakubwa wa usalama wanataka nirudi naona kama vile sistahili.

Siamini kwenye mafanikio ya kupewa, isipokuwa ya kuyapigania. Na tafsiri yangu ya mafanikio na mtu kama Lugumi ni tofauti sana.
 
Raisi Samia, kafikaje kwenye radar ya ulinzi wa nchi kudhani anaweza kuwa makamu wa raisi
Mkuu 'Mayor', wakati mwingine ni vizuri nawe uwe ni mkweli kwa nafsi yako.

Hivi kweli hujui Samia kafikaje hadi hapo alipofika? Unajuwa Tanzania kuna chama (cha siasa?), kinacho jitambulisha kuwa ni Chama Cha Mapinduzi (CCM)? Sasa anzia hapo kujuwa aliko tokea Samia na kufika hadi hapo alipo sasa. Usimlalamikie mtu mwingine kwa ujio wa Samia kwenye picha; ingawa Kikwete ndiye anaye julikana kuwa mtu wa mwanzo mwanzo kumpandisha kwenye 'pedestal.'
 
I am not motivated on gaining materials which I don’t think I have worked hard to gain them.

Nor being given positions which I don’t, I earned on merit.

There was something na malezi ys Arusha School ya miaka yetu, alichosema Mange ndio uhalisia wa wengi wetu, hatuko comfortable na kupewa vitu ambavyo atujapigania.

Personal imefikia hatua, vigogo wakubwa wa usalama wanataka nirudi.

Siamini kwenye mafanikio ya kupewa, isipokuwa ya kuyapigania. Na tafsiri yangu ya mafanikio na mtu kama Lugumi ni tofauti sana.
Understand, that was a "tongue in chick" response; which incidentally is turning into reality for the majority of leaders in government!

Leo hii ukimwamsha usingizini kiongozi yeyote, hasa wa kuteuliwa; mawaziri wote; wakuu wote wa vitengo; mwambie akutajie maneno kumi tu kwa haraka haraka. Hukosi kusikia Samia, pochi la mama; Samia kajenga, n.k.,

Hii imekuwa kama nchi ya laana. Watu wazima akili zime waruka kichwani.
 
Back
Top Bottom