Mimi binafsi, siwezi kumsikiliza rais Samia

Mimi binafsi, siwezi kumsikiliza rais Samia

Katiba ni shida nakubali, lakini shida zaidi pia ni civil services.

Nchi inayojitambua haiwezi ongozwa na mtu kama Samia.

Ni vipi huyu mama, kaweza kupenya hadi kuwa makamu wa raisi; Samia uwezo wake ni mdogo mno (akili zake ni ndogo mno), huo ndio ukweli.

Raisi Samia, kafikaje kwenye radar ya ulinzi wa nchi kudhani anaweza kuwa makamu wa raisi.

This is not OK.
Wewe mwenye uwezo na akili kubwa, hapo ndipo ulipoishia uwezo wako wa akili?
 
Mkuu 'Mayor', wakati mwingine ni vizuri nawe uwe ni mkweli kwa nafsi yako.

Hivi kweli hujui Samia kafikaje hadi hapo alipofika? Unajuwa Tanzania kuna chama (cha siasa?), kinacho jitambulisha kuwa ni Chama Cha Mapinduzi (CCM)? Sasa anzia hapo kujuwa aliko tokea Samia na kufika hadi hapo alipo sasa. Usimlalamikie mtu mwingine kwa ujio wa Samia kwenye picha; ingawa Kikwete ndiye anaye julikana kuwa mtu wa mwanzo mwanzo kumpandisha kwenye 'pedestal.'
You, I and other reasonable people, the puzzle to how Samia got there it’s obvious. Mainly due to poor CCM.

Bado ujauweka wazimu wa ‘civil
services’ wanaoruhusu promotion ya huyu mama. Hawa watu wanakaa nae kwenye vikao.

Sasa unadhani hawaoni uwezo wake mdogo.

Nisamehe mkubwa, I got better things to amuse my mind for now. Nikikuta mada ipo nitashiriki.

Hila hawa watu lazima waambiwe, ukweli Samia ni zero; huo ndio ukweli wenyewe hana analolijijua.

👋👋👋
 
Mimi binafsi, siwezi kumsikiliza raisi Samia.

Bora nikalime huko, kuliko kupokea orders kutoka kwake.

Hana uwezo hata chembe.

That says a lot ueledi wa civil services,

It’s a shitty county (ndio uhalisia).
Hierarchy of needs: food, shelter, etc
We get those without Samia
Hii Nchi ndivyo watu wanavyoishi Rais hana impact. Maslow hakudanganya
 
Uwezo huo ni kitu gani? Fafanua unapoongea na wa kuumeni!
Kuna criteria’s za mtu ambae ni coachable kwa nafasi ya uraisi.

Samia ni un-coachable simply kwa sababu uwezo wake ni mdogo mno.

Tatizo unaliona lipo kwenye civil servants, wengi ni uwezo wao mdogo sana.

Asilimia kubwa ya senior civil servants wa TRA awaelewi hata sheria za kodi, leave alone the changes which comes with the new budget. But most don’t understand the accounting principles behind the VAT act.

Ni hivi, sasa kumuongelea huyo raisi wenu Ndio shida kabisa.

Ndio maana, sioni tatizo la Tanzania kama Samia; isipokuwa 90% ya senior civil servants hawana sifa ya nafasi walizonazo.

Na wengi hawajawahi ata kusoma vitabu vya siasa it’s obvious. I can’t waste my time to justify that kwa sababu hata kwenye hili jukwaa la siasa I can go as far as to say 99% ya wachangiaji hawajawahi kusoma kitabu cha siada at foundation level.

Ndio uhalisia
 
I am not motivated on gaining materials which I don’t think I have worked hard to gain them.

Nor being given positions which I don’t, I earned on merit.

There was something na malezi ys Arusha School ya miaka yetu, alichosema Mange ndio uhalisia wa wengi wetu, hatuko comfortable na kupewa vitu ambavyo atujapigania.

Personal imefikia hatua, vigogo wakubwa wa usalama wanataka nirudi.

Siamini kwenye mafanikio ya kupewa, isipokuwa ya kuyapigania. Na tafsiri yangu ya mafanikio na mtu kama Lugumi ni tofauti sana.
Naomba Link ya alicho sema mange
 
Katiba ni shida nakubali, lakini shida zaidi pia ni civil services.

Nchi inayojitambua haiwezi ongozwa na mtu kama Samia.

Ni vipi huyu mama, kaweza kupenya hadi kuwa makamu wa raisi; Samia uwezo wake ni mdogo mno (akili zake ni ndogo mno), huo ndio ukweli.

Raisi Samia, kafikaje kwenye radar ya ulinzi wa nchi kudhani anaweza kuwa makamu wa raisi.

This is not OK.
KATIBA MBOVU;;; yani mtu analala na mkewe huko alafu anakuja kikaoni na jina la mgombea mwenza mfukoni, na watu wenye akili zao wanabakia kupiga makofi. Huu ni uchizi wa kupitiliza Phd. ya uchizi tukuka.
 
Naomba Link ya alicho sema mange
FaizaFoxy ndio alileta humu kiongozi sikumbuki ilikuwa YouTube channel gani, yeye ndio anaweza kukupa hiyo clip.

Halafu moderators huyu FaizaFixy katokea wapi tena? Clearly ni mtu ambae yupo kwa ajili ya ku dilute au kupotosha misimamo ya FaizaFoxy (either unakubaliana nae, au lah; hilo ni swala jingine).

Lakini kuruhusu uwepo wa huyu FaizaFixy na kutumia avatar original ya FaizaFoxy ata kama muhusika mwenyewe ajalalama inakera kwa baadhi yetu.
 
Kuna criteria’s za mtu ambae ni coachable kwa nafasi ya uraisi.

Samia ni un-coachable simply kwa sababu uwezo wake ni mdogo mno.

Tatizo unaliona lipo kwenye civil servants, wengi ni uwezo wao mdogo sana.

Asilimia kubwa ya senior civil servants wa TRA awaelewi hata sheria za kodi, leave alone the changes which comes with the new budget. But most don’t understand the accounting principles behind the VAT act.

Ni hivi, sasa kumuongelea huyo raisi wenu Ndio shida kabisa.

Ndio maana, sioni tatizo la Tanzania kama Samia; isipokuwa 90% ya senior civil servants hawana sifa ya nafasi walizonazo.

Na wengi hawajawahi ata kusoma vitabu vya siasa it’s obvious. I can’t waste my time to justify that kwa sababu hata kwenye hili jukwaa la siasa I can go as far as to say 99% ya wachangiaji hawajawahi kusoma kitabu cha siada at foundation level.

Ndio uhalisia
Na ndio mana wanabaki doro kumsubiri rais anaechapa viboko ili mambo yaende hiki ndicho ulichomaanisha.
Kuna kitu umesahau kuwa endapo wakiweka weledi wao wa kazi kesho yake wanajikuta nje ya ofisi kwa agizo toka ikulu. Hasa kwa kwenda muelekeo ambao kiongozi wa ikulu hautaki, wanachofanya sasa ni kusifia ili mradi wapate ujira wao, ukisikia umaskini wa nchi Tz ndio huu. Mfano halisi ni Ndungai pamoja na chep kikuu cha mhimili wa bunge, uspika wake ulikoma pale alipoingiza wazo mbadala kinyume na matakwa ya mkuu wa ikulu, leo yupo nje ya ofisi ya uspika kama mbunge wa kawaida
 
You, I and other reasonable people, the puzzle to how Samia got there it’s obvious. Mainly due to poor CCM.

Bado ujauweka wazimu wa ‘civil
services’ wanaoruhusu promotion ya huyu mama. Hawa watu wanakaa nae kwenye vikao.

Sasa unadhani hawaoni uwezo wake mdogo.

Nisamehe mkubwa, I got better things to amuse my mind for now. Nikikuta mada ipo nitashiriki.

Hila hawa watu lazima waambiwe, ukweli Samia ni zero; huo ndio ukweli wenyewe hana analolijijua.

👋👋👋
Mara mia afadhali yule kijana wa Zanzibar sasa hivi. Ukitaka kumjua mtu angalia hotuba yake, kama ni kusoma mwanzo mwisho kwa maoni yangu mmm.. mm
 
Katiba ni shida nakubali, lakini shida zaidi pia ni civil services.

Nchi inayojitambua haiwezi ongozwa na mtu kama Samia.

Ni vipi huyu mama, kaweza kupenya hadi kuwa makamu wa raisi; Samia uwezo wake ni mdogo mno (akili zake ni ndogo mno), huo ndio ukweli.

Raisi Samia, kafikaje kwenye radar ya ulinzi wa nchi kudhani anaweza kuwa makamu wa raisi.

This is not OK.
Bado hujaeleweka, kwa mfano ameshindwa kuongoza nini?

Mbona Uchumi unakuwa, Mikopo kwa Wanafunzi wa level zote Diploma & Degree ipo, Mikopo kwa Wakulima inapatikana, Miradi mikubwa inaendelea kutekelezwa

Umeona kuna Mkwamo wapi?
 
Unavyosema hana Uwezo, unamaanisha Uwezo gani?
Leadership ni science.

Unachotamka kinauzito sana. matokeo chanya either yanataka ukali kwa ya hovyo (kama Magufuli) au mambo yawe legę na mtu asiejua anaongea nini (kama Samia).

Lugha ya Samia kwenye hotuba zake when she free flows (euphemism) zake on emphasising a point ndio hizo za ‘chura kiziwi’ , ‘vifo ni mambo ya kawaida’ and her nonsense.

Let alone the policies za hovyo za mawaziri wake anazo promote udhani kama anajua ‘nitty gritty’ impact ya madhara yake.

Mfano foreign exchange kwa sasa, sikia tu.
 
Bado hujaeleweka, kwa mfano ameshindwa kuongoza nini?

Mbona Uchumi unakuwa, Mikopo kwa Wanafunzi wa level zote Diploma & Degree ipo, Mikopo kwa Wakulima inapatikana, Miradi mikubwa inaendelea kutekelezwa

Umeona kuna Mkwamo wapi?
Uchumi unakuwa kwa ratę gani?

Zama za Magufuli uchumi ulikuwa kwa rate ya 7% na national debt ilikuwa inashuka.

Unaweza kusema sasa hivi uchumi unakuwa kwa Kasi gani na control ya national debt ikoje.

Mambo mengine kaongee, kwenye mikutano ya CCM Lakini ya sio kutuletea majibizano ya JF.
 
Back
Top Bottom