Mimi binafsi, siwezi kumsikiliza rais Samia

Mimi binafsi, siwezi kumsikiliza rais Samia

You, I and other reasonable people, the puzzle to how Samia got there it’s obvious. Mainly due to poor CCM.

Bado ujauweka wazimu wa ‘civil
services’ wanaoruhusu promotion ya huyu mama. Hawa watu wanakaa nae kwenye vikao.

Sasa unadhani hawaoni uwezo wake mdogo.

Nisamehe mkubwa, I got better things to amuse my mind for now. Nikikuta mada ipo nitashiriki.

Hila hawa watu lazima waambiwe, ukweli Samia ni zero; huo ndio ukweli wenyewe hana analolijijua.

👋👋👋
Mkuu, civil service ilikuwepo awamu ya kwanza na baadae awamu ya pili na baada ya hapo hakuna kitu.

Hatuna Civil Servants wanotambulika wala special advisers.

Mambo ya kuivugura Tanganyika yamefanywa deliberately.
 
Nakubaliana na wewe 100%

Miaka ya nyuma JF kulikuwa na watu wakiamua kutoa somo from the background and how things evolved.

JF ilikuwa shule

Kwenye hiyo shule ilikuwa unajifunza, kumbe kulikuwa na watu wazalendo (waliotokea awamu ya kwanza, au ya pili), ambao walikuwa tayari kuachia nafasi zao. Kuliko ku-promote mambo ambayo hayana maslahi kwa taifa.

Sasa hivi tuna watu kama Kafulila na machawq wao wanao-promote contracts ambazo hawajui hata madhara yake ya muda mrefu let alone price sensitivity ya walipaji

Ilimradi waonekane wamo tu.
 
Samiah sio wa kumshambulia hivi!

Samiah ni zao la mfumo wetu mbovu na katiba mbovu!

Ameonyesha uwezo wake ndio huo aliojaaliwa na Muumba!Sasa atafanyaje zaidi!!?

Unakua na likatiba la kijinga hivi unatarajia akiingia mwendawazimu ikulu utamfungaje speed gavana!!?zaidi ya kutiliana sumu na kuuana hakuna mbadala kabisa!!

Uzembe wa intelligence yetu kutumia Bongo zao ipasavyo wakibaki mifukoni mwa wanasiasa kuwalamba viatu kisa wanalipwa unono!

Mfumo ndio utakua umepatia au kukosea!
 
Nakubaliana na wewe 100%

Miaka ya nyuma JF kulikuwa na watu wakiamua kutoa somo from the background and how things evolved.

JF ilikuwa shule

Kwenye hiyo shule ilikuwa unajifunza, kumbe kulikuwa na watu wazalendo (waliotokea awamu ya kwanza, au ya pili), ambao walikuwa tayari kuachia nafasi zao. Kuliko ku-promote mambo ambayo hayana maslahi kwa taifa.

Sasa hivi tuna watu kama Kafulila na machawq wao wanao-promote contracts ambazo hawajui hata madhara yake ya muda mrefu let alone price sensitivity ya walipaji

Ilimradi waonekane wamo tu.
Kafulila na kundi lake wamepewa udalali.

Nchi haina tena state crafters ambao ni nadra kuwapata na hata tukiwapata hawaishi muda mrefu.

Tusione nchi za wenzetu zipo kama zilivyo zimeundwa na state crafters.

Sasa utaniuliza statecraft ndo nini?

Ni uwezo wa mtu au watu wanoongoza kutengeneza stratejia kwa maslahi ya nchi ili nchi hiyo isimame kiuchumi, kidiplomasia na kijeshi katika eneo lake.

Hivyo ni ufundi wa kuunda taifa la namna hiyo na hujumuisha pamoja na yote watu muhimu wa Civil Service ambao nao pia ni lazima kuwe na stream nzuri inokwenda kadi vyuo vikuu kutafuta talents kwa ajili hiyo ya kusaidia statecraft process.

Graduate wa leo katika nchi ziliondelea azungumza lugha moja na kiongozi wa nchi kuhusu mazingira na diplomasia ya uchumi akiandaliwa kuwa kiongozi wa kesho.

Ni kazi ngumu ila hakuna mkate mgumu mbele ya chai.
 
Samiah sio wa kumshambulia hivi!

Samiah ni zao la mfumo wetu mbovu na katiba mbovu!

Ameonyesha uwezo wake ndio huo aliojaaliwa na Muumba!Sasa atafanyaje zaidi!!?

Mfumo ndio utakua umepatia au kukosea!
Kuna mifumo miwili.

Civil services ambao ni ulinzi wa nchi na wa sio wa mzaha kabisa kwenye ascendency. Na sina shika wa succession planning yao.

Na kuna mifumo ya vyama vya siasa (which we shouldn’t care about their nonsense) kama civil services ni imara.

Shida inakuja kwenye vyama vya siasa (huko kwenye mifumo yao ni hovyo), na kwa katiba yetu hii Ina compromise stability ya civil services kwa madaraka ya mtu wa hovyo anaeweza pewa nchi (kama ilivyo sasa).

This is not accident (hii inaonyesha pia ni kwamba civil ni weak) kukubali kuachia raisi ateuwe watu anavyojisikia.

Kwa kifupi ni kwamba kwa upande wa siasa (ain’t nobody cares) Ila kwa upande wa civil na namna ya kuongoza nchi. Kwa jicho la watu waliokaa nje hakuna watu wenye uwezo wa kuongoza nchi. Na wengi wao hawajawahi kusoma vitabu vya siasa na kuelewa namna ya kuongoza nchi ndio uhalisia.

Kazi ya kuongoza nchi sio ya mzaha
 
Samiah sio wa kumshambulia hivi!

Samiah ni zao la mfumo wetu mbovu na katiba mbovu!

Ameonyesha uwezo wake ndio huo aliojaaliwa na Muumba!Sasa atafanyaje zaidi!!?

Mfumo ndio utakua umepatia au kukosea!
Pia hali ya Dunia kwa sasa hasa geopolitics, Great Reset na kuyumba kwa World Order kunasababisha mambo kama haya kutokea kwenye nchi kama yetu kushindwa kuchukua maamuzi sahihi.

Leo hii BRICS ina wanachama 38 NATO ina wanachama 33 na kuna kundi la G7, pamoja na UN kushindwa kuchukua hatua za dhati kumaliza migogoro kadha wa kadha duniani.

Cha kushangaza juzi katibu mkuu wa UN Guterez kahudhuria mkutano wa BRICS.

Kwa jinsi mambo yanoendelea, nchi kama Tanzania yaweza kufanya mambo yake itakavyo bila kuwa monitored na yoyote.
 
Nakupata 100%

Ndio maana kila siku kama umewahi kunisoma huko nyuma uwa nasema ‘usalama wa taifa ni mchezo, wa watu wenye akili’.

Sasa kuna watu wenye akili huko wanamuona raisi wetu ‘Samia’ hana uwezo kabisa.

Akipewa muhula mwingine sio shida yangu, lakini Samia akili hana; kafikaje hapo is beyond me.

Tukisema tumpe miaka mitano mingine sawa; Lakini akili hana (hilo lazima tukubaliane) tunampa nafasi mtu ambae hana uwezo kabisa.

Samia akili hana (hakuna ukweli, mwingine); yaani hana kabisa.
 
Huko wala usijali waziri wa mambo ya nje kwa sasa, ni mtaalamu.

Lakini Samia akili hana, lazima tukubaliane kwenye hilo watanzania.

Kafikaje hapo halipo MaCCM yanajua yenyewe succession planning. Mimi binafsi siwezi kukaa kikao ata cha mtaa kitachoongozwa na Samia.

Huyu mtu Kafikaje hapo na Generał Mabeyo kabisa aliwapinga watu apewe nchi is beyond me.

Samia akili hana, huo ni ukweli usiopingika.
 
Kuna mifumo miwili.

Civil services ambao ni ulinzi wa nchi na wa sio wa mzaha kabisa kwenye ascendency. Na sina shika wa succession planning yao.

Na kuna mifumo ya vyama vya siasa (which we shouldn’t care about their nonsense) kama civil services ni imara.

Shida inakuja kwenye vyama vya siasa (huko kwenye mifumo yao ni hovyo), na kwa katiba yetu hii Ina compromise stability ya civil services kwa madaraka ya mtu wa hovyo anaeweza pewa nchi (kama ilivyo sasa).

This is not accident (hii inaonyesha pia ni kwamba civil ni weak) kukubali kuachia raisi ateuwe watu anavyojisikia.

Kwa kifupi ni kwamba kwa upande wa siasa (ain’t nobody cares) Ila kwa upande wa civil na namna ya kuongoza nchi. Kwa jicho la watu waliokaa nje hakuna watu wenye uwezo wa kuongoza nchi. Na wengi wao hawajawahi kusoma vitabu vya siasa na kuelewa namna ya kuongoza nchi ndio uhalisia.

Kazi ya kuongoza nchi sio ya mzaha
Civil Service yahitaji reform.

Kuna namna ya kufanya reforms ambazo zitabadilisha kabisa mfumo wa kupata civil servants.

Kwa mfano kama mtu apewa nafasi ya kuangalia ni reforms zipi zafaa kuna mambo kama kuangalia resourcing, je "competency test", imekaaje, pia kuna umuhimu wa kufanya "verbal and numerical test kwa wale best candidates na kadhalika.

Mie naongelea haya kwasababu yanagusa suala la Resilience na ukitaka uwe na taasisi imara.
 
Nakupata 100%

Ndio maana kila siku kama umewahi kunisoma huko nyuma uwa nasema ‘usalama wa taifa ni mchezo, wa watu wenye akili’.

Sasa kuna watu wenye akili huko wanamuona raisi wetu ‘Samia’ hana uwezo kabisa.

Akipewa muhula mwingine sio shida yangu, lakini Samia akili hana; kafikaje hapo is beyond me.

Tukisema tumpe miaka mitano mingine sawa; Lakini akili hana (hilo lazima tukubaliane) tunampa nafasi mtu ambae hana uwezo kabisa.

Samia akili hana (hakuna ukweli, mwingine); yaani hana kabisa.
Ukisema akili hana nadhani si kauli sahihi kwani yeye ndie first citizen, hivyo heshima ni ya kulazimika nadhani labda useme mawazo yake yametekwa.

Kuna jamaa humu alileta mada inohusu state capture kaongelea namna state inavyoweza kuwa chini ya watu fulani ambao ndo wenye maamuzi.

Kisha mie pia kuna mada humu niliongelea kuhusu madhara ya nchi kuruhusu mfumo wa Kleptokrasia ambao pia ni mfumo unokuwa chini ya watu wachache na viongozi ambao huiba na kujilimbikizia mali za taifa.

Hivyo hata kama hyupoo kiongozi ambae amefumbwa na mifumo kama hiyo si kwamba hana akili ila huwaza namna ya kuchomoka lakini bado ana kuwa limited ni maamuzi yepi yatatimizwa au kuzimwa na mifumo hiyo.

Kwa bahati mbaya yaonekana nchi yetu imekumbwa na mifumo yote miwili yaani "double knock factors".
 
Mimi binafsi, siwezi kumsikiliza raisi Samia.

Bora nikalime huko, kuliko kupokea orders kutoka kwake.

Hana uwezo hata chembe.

That says a lot ueledi wa civil services,

It’s a shitty county (ndio uhalisia).
Infact,
umechukua na kufanya uamuzi muafaka wa maana na wa busara sana kwa vitendo.

Dr. Samia Suluhu Hassan amaefanya mabadiliko na mageuzi makubwa sana kwenye kilimo. Na kwakweli mazingira ni mazuri sana ya kilimo kwa sasa, na panahitajika nguvu kazi kubwa zaidi, na ni furaha iliyoje vijana kama wewe, sasa mmeamua kujikita kwenye kilimo, that is very great decision.

Asanti kwa uamuzi huo wa kizalendo wa kumuunga mkono Rais na kipenzi cha waTanzani wote Dr Samia Suluhu Hassan. Mengi mazuri yanakuja kwenye kilimo gentleman, work hard.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
Samiah sio wa kumshambulia hivi!

Samiah ni zao la mfumo wetu mbovu na katiba mbovu!

Ameonyesha uwezo wake ndio huo aliojaaliwa na Muumba!Sasa atafanyaje zaidi!!?

Mfumo ndio utakua umepatia au kukosea!
Sasa huoni anataka tena 2025? Angekuwa anajijua angemaliza hii de facto presidency time awaachie wenye uwezo
 
Katiba ni shida nakubali, lakini shida zaidi pia ni civil services.

Nchi inayojitambua haiwezi ongozwa na mtu kama Samia.

Ni vipi huyu mama, kaweza kupenya hadi kuwa makamu wa raisi; Samia uwezo wake ni mdogo mno (akili zake ni ndogo mno), huo ndio ukweli.

Raisi Samia, kafikaje kwenye radar ya ulinzi wa nchi kudhani anaweza kuwa makamu wa raisi.

This is not OK.
Mkuu leo imekuwaje??? Nakuunga mkono kwa asilimia zote.

Kila mtanzania angekuwa anawaza kwa kina namna hii Magufuli na huyu mama wasinge ruhusiwa kufika huko.

Tafakuri za namna ndizo za kutunasua hapa tulipogota.
 
EEeeeeenHHEEEeeeee!

Pole zako mkuu 'Mayor'. Sasa tufanyeje mkuu, nchi yetu hii ndivyo imekuwa;!
I can't imagine another five years under 'Chura Kiziwi'!

Hapana. Ni hivi: Ingekuwa ni swala la u'incompetence' pekee, tunge vumilia vumilia hivyo hivyo, huku miaka ikipita, na pengine wasaidizi wake wengine wange ziba huo u'incopetence' wake katika baadhi ya mambo.
Samia ni adui wa nchi; hasa Tanganyika. Anafanya kila analo weza kuhakikisha analimaliza hili li nchi; kwanza kwa kuwadharau na kuwapuuza wananchi wake, ambao yeye waziwazi haoni kuwa wanao uwezo wa kufanya chochote.
🤔🤔🤔
 
Inasikitisha sana

Mengine tuwaachie, Kaka.

Msingi ni kuwapa ukweli, uhalisia ni kwamba Samia hana uwezo.

Mengine ni kujifurahisha tu, wao wenyewe Plus exposure ya weakness ya civil servants.

Lakini Samia akili ya kuongoza nchi hana ata kidogo hizo akili hana; mengine watajijua wenyewe kiongozi.

Tukutane kwenye majibizano ya maana. Haya mengine ni kuwapasha tu wahusika. Wakimeza wakitema, shauri zao.
🤣 🤣 🤣
 
I am not motivated on gaining materials which I don’t think I have worked hard to gain them.

Nor being given positions which I don’t, I earned on merit.

Probably there was something na malezi yetu ya Arusha School ya miaka yetu, alichosema Mange ndio uhalisia wa wengi wetu, hatuko comfortable na kupewa vitu ambavyo atujapigania.

Personal imefikia hatua, vigogo wakubwa wa usalama wanataka nirudi naona kama vile sistahili.

Siamini kwenye mafanikio ya kupewa, isipokuwa ya kuyapigania. Na tafsiri yangu ya mafanikio na mtu kama Lugumi ni tofauti sana.
💯%🤝🙏
 
Mimi binafsi, siwezi kumsikiliza raisi Samia.

Bora nikalime huko, kuliko kupokea orders kutoka kwake.

Hana uwezo hata chembe.

That says a lot ueledi wa civil services,

It’s a shitty county (ndio uhalisia).
Kumbe tuko wengi, mimi niliacha kusikiliza radio one sababu ya ujinga wanaorusha mara kwa mara eti nukuu ya rais!
 
Back
Top Bottom