Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Kukichwa kutapambazukaMimi binafsi, siwezi kumsikiliza raisi Samia.
Bora nikalime huko, kuliko kupokea orders kutoka kwake.
Hana uwezo hata chembe.
That says a lot ueledi wa civil services,
It’s a shitty county (ndio uhalisia).
Katiba….!Kwa katiba yetu ni sawa na power struggle za Europęa monarchy. Unakuta mtoto anarithi kwa tamaduni au mtu wa mbali anautwaa ufalme kwa kanuni.
Waelevu wanaona isiwe tabu vita, kumtoa huyu mtu.
Muwe wakweli raisi Samia hana uwezo kabisa.
Sometimes it’s common sense, kiongozi.Kukichwa kutapambazuka
Katiba ni shida nakubali, lakini shida zaidi pia ni civil services.Katiba….!
Genuine ballot box will solve everythingMimi bora nisiwe msaidizi wake kwa nafasi yoyote ya uwaziri au IKULU.
Sasa naongea nini mtu ambae uwezo wake ni zero.
EEeeeeenHHEEEeeeee!Mimi binafsi, siwezi kumsikiliza raisi Samia.
Bora nikalime huko, kuliko kupokea orders kutoka kwake.
Hana uwezo hata chembe.
That says a lot ueledi wa civil services,
It’s a shitty county (ndio uhalisia).
In another situation, sio hii.Genuine ballot box will solve everything
Atakugawia tu li'Range Rover' hapo na kuhakikisha vidole vyako havigusi tena 'keyboard' kuandika chochote juu yake.Mimi bora nisiwe msaidizi wake kwa nafasi yoyote ya uwaziri au IKULU.
Sasa naongea nini mtu ambae uwezo wake ni zero.
Inasikitisha sanaEEeeeeenHHEEEeeeee!
Pole zako mkuu 'Mayor'. Sasa tufanyeje mkuu, nchi yetu hii ndivyo imekuwa;!
I can't imagine another five years under 'Chura Kiziwi'!
Hapana. Ni hivi: Ingekuwa ni swala la u'incompetence' pekee, tunge vumilia vumilia hivyo hivyo, huku miaka ikipita, na pengine wasaidizi wake wengine wange ziba huo u'incopetence' wake katika baadhi ya mambo.
Samia ni adui wa nchi; hasa Tanganyika. Anafanya kila analo weza kuhakikisha analimaliza hili li nchi; kwanza kwa kuwadharau na kuwapuuza wananchi wake, ambao yeye waziwazi haoni kuwa wanao uwezo wa kufanya chochote.
AAlikupa "order" ipi?Mimi binafsi, siwezi kumsikiliza raisi Samia.
Bora nikalime huko, kuliko kupokea orders kutoka kwake.
Hana uwezo hata chembe.
That says a lot ueledi wa civil services,
It’s a shitty county (ndio uhalisia).
I am not motivated on gaining materials which I don’t think I have worked hard to gain them.Atakugawia tu li'Range Rover' hapo na kuhakikisha vidole vyako havigusi tena 'keyboard' kuandika chochote juu yake.
Si unawaona akina Kabuti Kalamaganda huko; waliokuwa wanajipambanua kuwa wazalendo kuliki wengine wote chini ya Magufuli!
Ukitaka kujuwa unafiki wa waTanzania; watazame watu kama hawa, ambao sasa ndio wanaoshiriki katika kulihujumu taifa!
Embu tafuta handas na miraa, uniwache. Baridi bado tu huko Canada utulie.AAlikupa "order" ipi?
Safari njema ya shamba, utakutana na Bashe huko anatimiza malengo ya Rais wetu mama Samia.
Mkuu 'Mayor', wakati mwingine ni vizuri nawe uwe ni mkweli kwa nafsi yako.Raisi Samia, kafikaje kwenye radar ya ulinzi wa nchi kudhani anaweza kuwa makamu wa raisi
Wewe ndiyo una uwezo, au siyo?Kwa katiba yetu ni sawa na power struggle za Europęa monarchy. Unakuta mtoto anarithi kwa tamaduni au mtu wa mbali anautwaa ufalme kwa kanuni.
Waelevu wanaona isiwe tabu vita, kumtoa huyu mtu.
Muwe wakweli raisi Samia hana uwezo kabisa.
Understand, that was a "tongue in chick" response; which incidentally is turning into reality for the majority of leaders in government!I am not motivated on gaining materials which I don’t think I have worked hard to gain them.
Nor being given positions which I don’t, I earned on merit.
There was something na malezi ys Arusha School ya miaka yetu, alichosema Mange ndio uhalisia wa wengi wetu, hatuko comfortable na kupewa vitu ambavyo atujapigania.
Personal imefikia hatua, vigogo wakubwa wa usalama wanataka nirudi.
Siamini kwenye mafanikio ya kupewa, isipokuwa ya kuyapigania. Na tafsiri yangu ya mafanikio na mtu kama Lugumi ni tofauti sana.
And sometimes it's common nonsense.Sometimes it’s common sense, kiongozi.