Mkuu wewe!!!!!!!
Ku print pesa kinyume na utaratibu ni kosa kubwa sana linalogharimu uhai was mtu!
Benki ya Dunia ikijua tu Rip in advance!!!
Nilisikia eti naye Kato wa chato name alipitia njia hii!
Sad!
Kuchapisha hela kwa nchi maskini hiyo ni last resort (too desperate) maana yake umehelemewa na hakuna wa kukusaidia.
Madhara yake ni currency devaluation, sasa kama umekopa kwa dollar expect rise deni lako kukuwa through inflation and all sorts of downtown spiral za kiuchumi.
Usishangae wakishadadia PPP huko serikalini hakuna hela ya kufanya miradi, na kwenye most likely wanatengeneza matatizo mengine. Eventually tutafikia hatua tu ya ‘chasing the dragon’.
Uwezi kuchapisha hela currency ikawa stable, hata huko US; lazima kuwe na inflation (kwa sababu luluki). Kipindi cha Magufuli exchange rate ilikuwa stable na alikuwa anakopesheka mpaka na private banks without intervention ya IMF/WB.
Vinginevyo uwezi kukopeshwa na private banks or gain access to money market nchi ya third bila ya kelele za donors kama uchumi wako sio stable na cashflow yako sio nzuri.
Uongozi wa huyu mama anapoipeleka nchi liko wazi, mambo yanayotokea sasa wengine tuliyasema miezi mitatu au minne baada ya kuapishwa.
Sasa watu wenye akili zao timamu huko serikalini, waendelee kusikiliza huu utoto wa Magufuli aliharibu uchumi na sasa hivi wanarekebisha.
Siasa ni science na uchumi ni science; ni rahisi kutabili nchi inapoelekea kwa uongozi uliopo; the worst is yet to come.