Wewe mwenye uwezo na akili kubwa, hapo ndipo ulipoishia uwezo wako wa akili?Katiba ni shida nakubali, lakini shida zaidi pia ni civil services.
Nchi inayojitambua haiwezi ongozwa na mtu kama Samia.
Ni vipi huyu mama, kaweza kupenya hadi kuwa makamu wa raisi; Samia uwezo wake ni mdogo mno (akili zake ni ndogo mno), huo ndio ukweli.
Raisi Samia, kafikaje kwenye radar ya ulinzi wa nchi kudhani anaweza kuwa makamu wa raisi.
This is not OK.
You, I and other reasonable people, the puzzle to how Samia got there it’s obvious. Mainly due to poor CCM.Mkuu 'Mayor', wakati mwingine ni vizuri nawe uwe ni mkweli kwa nafsi yako.
Hivi kweli hujui Samia kafikaje hadi hapo alipofika? Unajuwa Tanzania kuna chama (cha siasa?), kinacho jitambulisha kuwa ni Chama Cha Mapinduzi (CCM)? Sasa anzia hapo kujuwa aliko tokea Samia na kufika hadi hapo alipo sasa. Usimlalamikie mtu mwingine kwa ujio wa Samia kwenye picha; ingawa Kikwete ndiye anaye julikana kuwa mtu wa mwanzo mwanzo kumpandisha kwenye 'pedestal.'
Hierarchy of needs: food, shelter, etcMimi binafsi, siwezi kumsikiliza raisi Samia.
Bora nikalime huko, kuliko kupokea orders kutoka kwake.
Hana uwezo hata chembe.
That says a lot ueledi wa civil services,
It’s a shitty county (ndio uhalisia).
Walilenga kutimiza takwa la muungano lakini si uwezo na Bahati mbaya ikatokea la kutokea na Hadi Sasa watz tunajutaSwali hivi nini walitizama nini hadi akawa mgombea mwenza. Au ndio yale mambo ya usawa wa kinsia?
Uwezo huo ni kitu gani? Fafanua unapoongea na wa kuumeni!Mimi binafsi, siwezi kumsikiliza raisi Samia.
Bora nikalime huko, kuliko kupokea orders kutoka kwake.
Hana uwezo hata chembe.
That says a lot ueledi wa civil services,
It’s a shitty county (ndio uhalisia).
Kuna criteria’s za mtu ambae ni coachable kwa nafasi ya uraisi.Uwezo huo ni kitu gani? Fafanua unapoongea na wa kuumeni!
Naomba Link ya alicho sema mangeI am not motivated on gaining materials which I don’t think I have worked hard to gain them.
Nor being given positions which I don’t, I earned on merit.
There was something na malezi ys Arusha School ya miaka yetu, alichosema Mange ndio uhalisia wa wengi wetu, hatuko comfortable na kupewa vitu ambavyo atujapigania.
Personal imefikia hatua, vigogo wakubwa wa usalama wanataka nirudi.
Siamini kwenye mafanikio ya kupewa, isipokuwa ya kuyapigania. Na tafsiri yangu ya mafanikio na mtu kama Lugumi ni tofauti sana.
KATIBA MBOVU;;; yani mtu analala na mkewe huko alafu anakuja kikaoni na jina la mgombea mwenza mfukoni, na watu wenye akili zao wanabakia kupiga makofi. Huu ni uchizi wa kupitiliza Phd. ya uchizi tukuka.Katiba ni shida nakubali, lakini shida zaidi pia ni civil services.
Nchi inayojitambua haiwezi ongozwa na mtu kama Samia.
Ni vipi huyu mama, kaweza kupenya hadi kuwa makamu wa raisi; Samia uwezo wake ni mdogo mno (akili zake ni ndogo mno), huo ndio ukweli.
Raisi Samia, kafikaje kwenye radar ya ulinzi wa nchi kudhani anaweza kuwa makamu wa raisi.
This is not OK.
FaizaFoxy ndio alileta humu kiongozi sikumbuki ilikuwa YouTube channel gani, yeye ndio anaweza kukupa hiyo clip.Naomba Link ya alicho sema mange
We jamaa si Ulikuwa chawa wa ccm kindani ndani? Nini kimetokea?Sometimes it’s common sense, kiongozi.
Na ndio mana wanabaki doro kumsubiri rais anaechapa viboko ili mambo yaende hiki ndicho ulichomaanisha.Kuna criteria’s za mtu ambae ni coachable kwa nafasi ya uraisi.
Samia ni un-coachable simply kwa sababu uwezo wake ni mdogo mno.
Tatizo unaliona lipo kwenye civil servants, wengi ni uwezo wao mdogo sana.
Asilimia kubwa ya senior civil servants wa TRA awaelewi hata sheria za kodi, leave alone the changes which comes with the new budget. But most don’t understand the accounting principles behind the VAT act.
Ni hivi, sasa kumuongelea huyo raisi wenu Ndio shida kabisa.
Ndio maana, sioni tatizo la Tanzania kama Samia; isipokuwa 90% ya senior civil servants hawana sifa ya nafasi walizonazo.
Na wengi hawajawahi ata kusoma vitabu vya siasa it’s obvious. I can’t waste my time to justify that kwa sababu hata kwenye hili jukwaa la siasa I can go as far as to say 99% ya wachangiaji hawajawahi kusoma kitabu cha siada at foundation level.
Ndio uhalisia
We jamaa si Ulikuwa chawa wa ccm kindani ndani? Nini kimetokea
Ndio yenye mfumo unaolalamikia....Peleka mapendekezo kwenye chama.CCM chama
Shida yako nini.
Mara mia afadhali yule kijana wa Zanzibar sasa hivi. Ukitaka kumjua mtu angalia hotuba yake, kama ni kusoma mwanzo mwisho kwa maoni yangu mmm.. mmYou, I and other reasonable people, the puzzle to how Samia got there it’s obvious. Mainly due to poor CCM.
Bado ujauweka wazimu wa ‘civil
services’ wanaoruhusu promotion ya huyu mama. Hawa watu wanakaa nae kwenye vikao.
Sasa unadhani hawaoni uwezo wake mdogo.
Nisamehe mkubwa, I got better things to amuse my mind for now. Nikikuta mada ipo nitashiriki.
Hila hawa watu lazima waambiwe, ukweli Samia ni zero; huo ndio ukweli wenyewe hana analolijijua.
👋👋👋
Bado hujaeleweka, kwa mfano ameshindwa kuongoza nini?Katiba ni shida nakubali, lakini shida zaidi pia ni civil services.
Nchi inayojitambua haiwezi ongozwa na mtu kama Samia.
Ni vipi huyu mama, kaweza kupenya hadi kuwa makamu wa raisi; Samia uwezo wake ni mdogo mno (akili zake ni ndogo mno), huo ndio ukweli.
Raisi Samia, kafikaje kwenye radar ya ulinzi wa nchi kudhani anaweza kuwa makamu wa raisi.
This is not OK.
Leadership ni science.Unavyosema hana Uwezo, unamaanisha Uwezo gani?
Uchumi unakuwa kwa ratę gani?Bado hujaeleweka, kwa mfano ameshindwa kuongoza nini?
Mbona Uchumi unakuwa, Mikopo kwa Wanafunzi wa level zote Diploma & Degree ipo, Mikopo kwa Wakulima inapatikana, Miradi mikubwa inaendelea kutekelezwa
Umeona kuna Mkwamo wapi?