Mimi Muislam, najiuliza, Waislam tuwaunge mkono Saudi Arabia ama Houthis?

Hapo ndio ujue Kuna tofauti Kati ya kuwa muislamu Kwa kufuata misingi ya Uislamu, na kudai wewe ni muislamu Kwa kuwa umevaa kanzu na kilemba.
 
Kwa mafundisho ya dini yetu ya Uislamu, pindi makundi mawili ya waislamu yanapopigana, wengine hawatakiwi kuchagua upande bali wawasuluhishe.
Usuhishi kwa sasa nadhani ni ngumu
 
Swali la kipumbafu kabisa ..ukikuta jambazi la CCM lina mchinja SAMIA wewe utamuunga mkono yupi ‽ hapo hakuna wa kumuunga mkono ni kuua wote hao.
 
Swali la kipumbafu kabisa ..ukikuta jambazi la CCM lina mchinja SAMIA wewe utamuunga mkono yupi ‽ hapo hakuna wa kumuunga mkono ni kuua wote hao.
 
Mara ya mwisho umeswali lini?
 
Ni muhimu sana kuziombea Amani pande zote zinazohasimiana.

Allah awajaalie ustahimilivu, subra na awafanyie wepesi katika kupata suluhu ya kudumu ya amani katika eneo hilo 🐒
 
Ww kama muislam uchague upande gani kwani aliye kwambia wanapigana Kwa ajili ya dini ni nani?
Hao wanacho pigania ni madaraka ,Mali na masilahi na hawapogani Kwa masilahi ya kidini.
Kwa hiyo suala la uchague upande upi lipo katika itikadi za kisiasa na sio kidini.
 
Dunia inapiga sarakasi, leo Saudia pamoja na Sharia Law ni kibaraka wa makafiri
 
Kwa muislam nadhani itakua sahihi zaidi kua upande wa Houthi. Saudi wanaonekana kua kimaslai zaidi. Miji ya Mecca na Madina ilitakiwa kua Iran
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…