Mimi Muislam, najiuliza, Waislam tuwaunge mkono Saudi Arabia ama Houthis?

📌Dogo pambania tumbo lako.Achana na hizo dini za kuletewa.Wacha wauane wewe angalia tu kama unavyoangalia mieleka au movie.Let them fools kill each other!!!

Dini ni tamaduni za watu muafrika alidandia tu mtumbwi wa vibwengo.
 
Vita ya kwanza ya Dunia ulikua upande Gani?

Vita ya pili ya Dunia ulikua upande Gani?

Vita ya urusi na Ukraine upo upande Gani?

Maana unahoj ni kama vile waislamu hawaruhusiwi kupigana wao kwa wao lakini nyinyi makafiri mna haki hiyo
Duhh
 
Mimi sina upande mkuu
 
Umekuwa muislamu ghafla na kumkana Yesu .Tuache hayo ,ila hakuna muislamu ambaye nchini mwake kuna kambi ya USA ,au unaruhusu Waislamu wenzio washambuliwe kutoka kwenye ardhi yako.
 
Umekuwa muislamu ghafla na kumkana Yesu .Tuache hayo ,ila hakuna muislamu ambaye nchini mwake kuna kambi ya USA ,au unaruhusu Waislamu wenzio washambuliwe kutoka kwenye ardhi yako.
Wewe una ushahidi gani kuwa Mimi ni mkristu, nionyeshe post hata moja
 
Ndio watetezi wakuu wa Uislam halisi waliobaki, wanapambana na mabeberu , watetezi wa Palestina
kwanini wapambane kama sio dini ya kishetan. hawawez kuhubiri? au kwanini wautetee uislam kwani hauna hoja ya kujitetea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…