Mimi Muislam, najiuliza, Waislam tuwaunge mkono Saudi Arabia ama Houthis?

Kwani uislam unasemaje ikiwa kuna pande 2 zinapigana?
 

Mtu akisha anza kujidani sijui, mimi Mkatoliki, au mimi Muislam au sijui mimi mpagani; Jua tu hoja anayojenga ni ya kinafiki. Watu wenye maarifa hujenga hoja bila kujinadi kuwa wao ni CHADEMA au CCM hoja yenyewe itawadefine...
Hata hivyo JAMII FORUM sio jukwaa la Waislam; hivyo ukitaka kupata mawazo ya Waislam, waulize Wenyewe huko kwenye majukwaa yao, Msikitini nk nk
 
Hii sentensi "kuwa mstari wa mbele kuupambanania Uislam" huwa inamaanisha nini?
 
Unasupport kwa maneno nenda kwenye uwanja wenyewe wa vita
 
Mahuthi hawaupambanii uislamu wanapambania ushia wala hawaitukuzi miji ya Maka wala Madina, muislam wa kweli hawezi shambulia hiyo miji + misikiti yake. Saudia kuwa upande mmoja na marekani ni kuchagua tu lesser evil. Ni ukwel usiopingika kwamba Marekani ina nguvu, ukipata namna ya kuepusha shari zake (ambayo kwa sahv ni kufanya naye madili ya mafuta na silaha) inakuwa ni bora kuliko kupigana vita visivyo vya lazima.
 
Wanapigania pia haki za Palestine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…