Mimi na kaka yangu tulipiga kura za hapana lakini matokeo yanaonesha kura ya hapana ni moja kule Dodoma

Mimi na kaka yangu tulipiga kura za hapana lakini matokeo yanaonesha kura ya hapana ni moja kule Dodoma

Haya mambo ya kura za siri yana siri sana. Hapa hata mleta mada anaweza kuwa amepiga kura ya ndio sisi anatuzuga kwamba amepiga ya hapana. Kuna kiongozi mmoja kuho nyuma alieahi kusema kuwa ukupiewa bahasha chukua ila siku ya kupiga kura piga kulingana na unavyotaka wewe mwenyewe binafsi. Baadhi ya kelele ni kufurahisha waliotoa bahasha!
Mleta mada si sehemu ya wale wajumbe maana asingeshangaa.
 
Tulikuwa tumekubaliana hivyo kabla ya vikao lakini baada ya matokeo kaka akaanza kunifokea kwanini nilifanya kinyume na makubaliano.

Hapo ndio nikaelewa kumbe kilichotokea dodoma ni upotoshaji mkubwa kwasababu mimi pia nilipiga kura ya hapana.
Mm ckufuatilia Ile issue, Kwa aliyefuatilia watakuja kusema hapa,
Kama waliohesabu Kura NI kunguru , ama walienda kuhesabia pembeni ujue maradona alifanya KAZ yake.
 
Tulikuwa tumekubaliana hivyo kabla ya vikao lakini baada ya matokeo kaka akaanza kunifokea kwanini nilifanya kinyume na makubaliano.

Hapo ndio nikaelewa kumbe kilichotokea dodoma ni upotoshaji mkubwa kwasababu mimi pia nilipiga kura ya hapana.
Fisi akishamaliza vya jirani, hugeukia vyake....
 
Ukweli ni kwamba huyu mama ndani ya chama chake ni wengi sana wasiomkubali na wasiomtaka kwani wanasema hana uwezo kabisa kabisa wa kiuongozi zaidi ya kubebwa na katiba.
Nilitaka nizungumze pia kuhusu nafasi za utendaji chamani. Nikakumbuka aliyeniambia habari hii. Let me save my neck😂😂😂😂😂. Mwenyewe atafika hapa mda si mrefu!
 
Duu! Halafu tunajinasibu tuna demokrasia. Demokrasia zetu huku nchi za madongo kuinama ni za kughushi (fake)
 
Very very interesting. Kwa hiyo kaka yako kukufokea ndio uthibitisho kwamba alipiga kura jinsi ulivyotaka? Mimi nilidhani kwamba mtaonyeshana kura zenu moments kabla hamjazitumbukiza katika boksi.
Ubongo ulipewa kwa ajili ya kazi gani?
 
Mwizi huwa hachagui wa kumwibia.

CCM na demokrasia ni maji na mafuta. Hawajawahi kuwa wanademokrasia walawatuwa haki.

Chaguzi zote,bara na visiwani huwa wanapora kura. Hiyo ni falsafa yao. Uzoefu na ushetani ule wa kuiba kura, hauwezi kuishia dhidi ya wapinzani.

Kuna rafiki yangu, miaka ya huko nyuma tukiwa vijana. Yeye alikuwa UVCCM lakini hasa ajira yake alikjwa TISS. Akawa ananiambia kuwa wakati wa chaguzi zote za ndani ya CCM, wao ndio huwa wanahesabu kura. Kabla ya upigaji kura, walikuwa wanaambiwa ni nani anatakiwa kushinda. Watafanya nini, inakuwa ni juu yao, lakini maagizo lazima yatekelezwe.

Wakati wa kura za ndiyo na hapana, Mzee Ali Hassan Mwinyi akiwa mgombea pekee yake, mkoani Kigoma alipata kura nyingi kuzidi idadi ya wapiga kura.
 
Wezi wameibiana KURA.😃😃😃😃

Karibu I huku kwetu tupambanie KATIBA mpya itokanayo na Rasimu alosimamia Judge WARIOBA.

Tukiipata hiyo tutalipata pia SANDUKU la Kura liloibwa.
 
Back
Top Bottom