Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
Kwani Jiwe alikubalika chama hata akashinda kwa 100%? Kaeni kimya tu hakuna mjumbe wa kupiga kura ya hapana ccm, wenyewe wanajua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mleta mada si sehemu ya wale wajumbe maana asingeshangaa.Haya mambo ya kura za siri yana siri sana. Hapa hata mleta mada anaweza kuwa amepiga kura ya ndio sisi anatuzuga kwamba amepiga ya hapana. Kuna kiongozi mmoja kuho nyuma alieahi kusema kuwa ukupiewa bahasha chukua ila siku ya kupiga kura piga kulingana na unavyotaka wewe mwenyewe binafsi. Baadhi ya kelele ni kufurahisha waliotoa bahasha!
Mm ckufuatilia Ile issue, Kwa aliyefuatilia watakuja kusema hapa,Tulikuwa tumekubaliana hivyo kabla ya vikao lakini baada ya matokeo kaka akaanza kunifokea kwanini nilifanya kinyume na makubaliano.
Hapo ndio nikaelewa kumbe kilichotokea dodoma ni upotoshaji mkubwa kwasababu mimi pia nilipiga kura ya hapana.
HahahahaaaaaCCM wajanja, wameweka kura moja ya Hapana ili kila mmoja aliyepiga kura ya hapana adhani kuwa huyo ni yeye😀
Kuna kiongozi gani anauwezo kwa Sasa ndani yao?hata hao wanaosema nao hawana uwezo wowote wanawaza dili tuUkweli ni kwamba huyu mama ndani ya chama chake ni wengi sana wasiomkubali na wasiomtaka kwani wanasema hana uwezo kabisa kabisa wa kiuongozi zaidi ya kubebwa na katiba.
High level of thinking[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] akili mtu wangu
Fisi akishamaliza vya jirani, hugeukia vyake....Tulikuwa tumekubaliana hivyo kabla ya vikao lakini baada ya matokeo kaka akaanza kunifokea kwanini nilifanya kinyume na makubaliano.
Hapo ndio nikaelewa kumbe kilichotokea dodoma ni upotoshaji mkubwa kwasababu mimi pia nilipiga kura ya hapana.
Jizi mamakoMtajiju, Majizi tu nyie
Nilitaka nizungumze pia kuhusu nafasi za utendaji chamani. Nikakumbuka aliyeniambia habari hii. Let me save my neck😂😂😂😂😂. Mwenyewe atafika hapa mda si mrefu!Ukweli ni kwamba huyu mama ndani ya chama chake ni wengi sana wasiomkubali na wasiomtaka kwani wanasema hana uwezo kabisa kabisa wa kiuongozi zaidi ya kubebwa na katiba.
Au ijengwe dhana kuwa huyo ni Bashiru tu aliyepiga hapana😀😀😀. NB: sina uhakika kama Bashiru bado ni mjumbe huko mkutano huo huko ccm.CCM wajanja, wameweka kura moja ya Hapana ili kila mmoja aliyepiga kura ya hapana adhani kuwa huyo ni yeye😀
Wewe matako usinizoeee, sinunui mashoga pleaseJizi mamako
MambuziMtajiju, Majizi tu nyie
Ubongo ulipewa kwa ajili ya kazi gani?Very very interesting. Kwa hiyo kaka yako kukufokea ndio uthibitisho kwamba alipiga kura jinsi ulivyotaka? Mimi nilidhani kwamba mtaonyeshana kura zenu moments kabla hamjazitumbukiza katika boksi.