Mimi na Mchumba wangu tumeamua kumchuna huyu Mbunge. Atakoma safari hii kaingia choo cha kike

Hiyo laki 4 hakikisha Vaseline au wese la nazi unaninia
Mchumia kivulini hulia juani mda wa malipo soon utafika
 
Siku atakapotaka umpe vitu sijui utasemaje. Wote watatu mnachezeana. Mpaka wanachati hujui wameishapeana nini na kwa muda gani. Kama unaweza kumfanyia biashara your wife to be it is too bad. Watafanya kweli halafu unaanza kuja hapa unalialia. Kama naye anapenda pesa ya dezo kama wewe, lazima atanunuliwa hata kukuuza wewe kama unavyomuuza mwanangu
 
Heri ya siku ya wanawake. Mkamua mnaweza
 
Kama humtaki mtu si umwambie ukweli . Unafikiri unamkomoa unaweza kukomolewa usisahau maisha. Kama unajua ni mchumba wako si umwambie waachane. Unitumie ndio fursa ya kutatua matatixo yako.
 
Hivi hawa ni wazazi kweli au umeamua kumtania tu?? Ule uzi wao niliishia katikati kuufuatilia sikuumalizaga πŸ˜‚.

JF inavituko sana aise. πŸ˜‚πŸ˜‚
Yule manzi kichefuchefu. Hajielewi. Ukimgonga anakutangazia JF nzima na kashfa juu...
 
Kama humtaki mtu si umwambie ukweli . Unafikiri unamkomoa unaweza kukomolewa usisahau maisha. Kama unajua ni mchumba wako si umwambie waachane. Unitumie ndio fursa ya kutatua matatixo yako.
Huyu Mbunge Fala sana anambembeleza mchumba wa mtu kwa maneno ya namna hiii... Na kodi zetu anatumia vibaya. Ngoja tuzirudishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…