Mimi na Mchumba wangu tumeamua kumchuna huyu Mbunge. Atakoma safari hii kaingia choo cha kike

Never Trust a woman
Happy women's Day
 
Hivi hawa ni wazazi kweli au umeamua kumtania tu?? Ule uzi wao niliishia katikati kuufuatilia sikuumalizaga [emoji23].

JF inavituko sana aise. [emoji23][emoji23]
Hawezi kuwa na mama mtoto kama mimi sema anajitahidi kukeep umaarufu kwa kutunga stories. Alinianzishia mpaka uzi so na mimi nimeona kuliko kumkana chizi bora nimsapoti ajisikie furaha. In real world hatujuani
 
La huyu manzi ndo linayumba. Akigongwa anatangaza JF nzima na kashfa juu...mi huwa simwelewi kabisa. Alishaniponda sana humu. Na kuna jamaa nahisi nashare naye
Sasa unashare na nani wakati unasema ulishaniacha....au mbunge kashakuagizia mabaunsa na mafuta ya vaseline nini baba mtoto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
trudie njoo ujitetee hapa mpendwa
Amechanganyikiwa maana nyuzi zake ndio anatangaza aliowatumia nauli na aliowagonga. Mkuu naanza kupata mashaka wazee wa Vaseline na parachute weshamtembelea masikini maana amerudi ana hasira kweli.

Akome ameacha kuuza matunda kahamia kudanga matokeo yake wanatindua nanhii[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa unashare na nani wakati unasema ulishaniacha....au mbunge kashakuagizia mabaunsa na mafuta ya vaseline nini baba mtoto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna maneno akiandika mwanamke nashindwa cha kujibu kabisa. Ni maneno ambayo for a decent lady haifai hata kuyafikiria. Ni ya aibu. But kwa wewe nakuelewa.
 
Mwambie mkeo ampee vizuri hawanaga hawasara hao wanatoa adi nyumba mpaka utashangaa kuna watu wanajua kuhonga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…