Mimi naona dunia iachane na mfumo dume na rasmi 50/50 ishike hatamu

Duuh mkuu inaonekana una shida kidogo ya uelewa sijui unachoshindwa kuelewa hapo ni nini asee nimekuambia hivi WANAWAKE WENGI BADO WANASITA KUITUMIA 50/50 SABABU WANAUME WENGI BADO MNATAKA MFUMO DUME, hebu elewa basi hakuna mwanamke atakubali kuanza tu kushare bills na mwanaume ilihali huyo mwanaume bado anataka afanyiwe majukumu ya nyumbani na bado anataka apewe heshima na utii, siku wanaume mkiachana na hiyo mitazamo wanawake wataikubali 50/50 na kuanza kugawana bili nusu kwa nusu kama wanavyofanya wazungu sijui unanielewa hapo
 
Mkuu labda nikuulize na wewe siku mkeo amebanwa na majukumu ya ofisini au labda anaumwa utaweza kumsaidia kufanya majukumu yake ya nyumbani (jibu lolote utakalotoa basi bila shaka utakuwa umeshapata jibu la swali lako la kwanza), kuhusu kuchelewa kurudi nyumbani kwanini umekimbilia kuwaza kwamba kila mmoja asimuulize mwenzie na siyo kila mmoja amuulize mwenzie sababu ya kuchelewa ni nini, mwanamke kuenda kazini siyo hoja hoja ni je wewe unamhudumia na majukumu yake ya nyumbani yeye anasaidiwa na kama humhudumii na majukumu ya nyumbani anayasimamia mwenyewe kwanini unataka yeye akusaidie majukumu yako
 
Ameongea kimapokeo ila nadharia ya msingi au asili ilikuwa kumlisha na kumlinda mwanamke huyo naye awe mtiifu kwa mume. Maswala ya pesa hayakuwepo huko mwanzo.
Sasa dunia ya leo huwezi kuhudumia mwanamke bila kuhusisha pesa mkuu
 
Wanaitakaga hio kwenye mambo ambayo wananufaika nayo tu.
Kabisa yani

Kwenye mambo simple utaskia "Ladies first"

Sasa geti limevunjwa milio ya risasi isikike halafu mwambie mkeo "ladies first mi nitakaa nyuma we tangulia tutoke nje tukapambane na hilo jambazi"
 
Kwanza mshukuru mungu wako kwa kukujalia kuzungumza na mtu mwenye akili nyingi na jiniasi ....kwa akili zako unaona hizo hoja zina pingana wakati ndiyo zuna kubaliana nimekuambia kuwa akili ya mwanamke ni finyukwa uwiano na wanaume hivyo wanawake kupewa 50 50 ni upumbavu
 
Kabisa yani

Kwenye mambo simple utaskia "Ladies first"

Sasa geti limevunjwa milio ya risasi isikike halafu mwambie mkeo "ladies first mi nitakaa nyuma we tangulia tutoke nje tukapambane na hilo jambazi"
Hehe hapo sasa ndipo yale majukumu ya kubeba ujauzito, kuzaa, na kunyonyesha yanapoingia, ukisema hayo ni majukumu ya kimaumbile basi hata kupambana na jambazi ni jukumu la kimaumbile kwa sababu men are physically stronger than women, ukizingatia majambazi wengi huwa ni wanaume na si wanawake wenzao
 
Wewe ndio huna hoja hadi sasa hujanijibu hoja yangu hata moja zaidi ya kubwabwaja tu yani kama hadi wewe ni genius basi niamini hata wale walioko kwenye wodi za vichaa nao ni magenius, nilikuuliza hivi other factors being constant mwanaume ambaye ni kibaka mitaani ana akili kuliko mwanamke ambaye ni boss wa kampuni fulani unaanza kuniletea habari za matobo sijui samia such a lame argument, yani kadiri unavyozidi kujibizana ndivyo unavyozidi kudhihirisha ujinga wako bora uache tu kuandika kwenyewe shida unanipa tabu tu yani wanaume wote mngekuwa na akili kuliko wanawake wote basi kusingekuwa na mashoga, machawa, vibaka, wapiga debe, na tabia nyingine za kipumbavu mnazoziita kazi za halali
 
"Jambazi ni mwanaume inabidi apambane na mwanaume mwenzake"

Hapana mi nasema huo ni ubaguzi wa kijinsia.

Mali mbona ni za mwanaume lakini tukiachana share inakatwa 50/50?

Mwanamke kupambana na jambazi wa kiume sio mwiko unaohusiana na jukumu la kimaumbile.

Hata feminism huwa haiwataji nyinyi kama watu dhaifu. Unawaangusha wenzio wanaokuangalia wewe kama mfano.

Feminism inasisitiza ujasiri kwa mwanamke dhidi ya mwanaume, feminism inasisitiza kuondoa mfumo dume.

Mfumo dume ni pamoja na dhana ya mume kama kichwa cha familia, kichwa cha familia ni pamoja na kuwa mlinzi kuhakikisha usalama wa familia

Kwenye mfumo dume ni wajibu wa mwanaume kumuacha mke ndani kisha yeye kutoka nje kwenda kupambana na jambazi.

Feminism imekuja kuondoa hiyo kingdom ya mwanaume na kumpa miliki mwanamke.

Maana yake wewe ndio unatakiwa utoke mbele u prove kwamba ni kweli mnao uwezo wa kusimamia majukumu ya mwaume.

Sasa wewe unaogopa

Halafu unabidi ujue kuwa matokeo ya mwisho (kufeli) sio jambo la msingi.

Yani kupigwa au kuzidiwa nguvu na jambazi sio kitu kinacho matter, kinacho matter ni ule uthubutu (ujasiri)

Maana yake hata mwanaume pia anaweza akapigwa na huyo jambazi kwa hiyo hoja ya kusema kwamba hutaki kutangulia mbele kwasababu maumbile sioni kama ni utetezi wenye mashiko.

Maana.

Hata nyinyi wanawake mbona huwa tunawaoma mkiwa mnapigana?

Kwenye huo ugomvi kwani ni mara zote umekuwa ukishinda?

Sometimes mnapigana wenyewe kwa wenyewe na sometimes mnajitutumua kupigana hadi na waume zenu kisa hiyo spirit ya feminism kuona kuwa ndani ya nyumba wote mna haki sawa.

Sasa linapokuja swala la kukabiliana na jambazi kwanini usitangulie mbele na kuithibitishia dunia kuwa mwanamke sio kiumbe dhaifu bali ni mkakamavu?
 
Nisengeelewa ningechangia? au na wewe ushakua wa kiwaki kama huyo demu mwenzako anaependa Kila kitu free nahisi walishampakua yule, hata na wewe ushapakuliwa ndo maana akili zenu zipo sawa watu mnaopakuliwa sijui huwa mkoje
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aseeeh poleeee. Mada iko nje ya uwezo wako.
 
Na wee mwanaume ukiwa kwenye mahusiano usiombe sex had umuoe.

Ukiomba sex na yeye atakuomba hela.
 
Hili Furushi wallah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kabisa yani

Kwenye mambo simple utaskia "Ladies first"

Sasa geti limevunjwa milio ya risasi isikike halafu mwambie mkeo "ladies first mi nitakaa nyuma we tangulia tutoke nje tukapambane na hilo jambazi"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Toa mashoga hapo, ushoga hauhusiani na matatizo au kutokua na akili, sijuagi kwann huwa mnahusisha nalo hili.

Mbona mashoga ndo wanao ongoza ku run dunia kwa sasa, wakiwa wana deliver vitu mbali mbali vinavyorahisisha maisha ktk nyanja zote.
 
Great
 
Mtaendelea na cngle mama had mfeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…