Hehe hapo sasa ndipo yale majukumu ya kubeba ujauzito, kuzaa, na kunyonyesha yanapoingia, ukisema hayo ni majukumu ya kimaumbile basi hata kupambana na jambazi ni jukumu la kimaumbile kwa sababu men are physically stronger than women, ukizingatia majambazi wengi huwa ni wanaume na si wanawake wenzao
"Jambazi ni mwanaume inabidi apambane na mwanaume mwenzake"
Hapana mi nasema huo ni ubaguzi wa kijinsia.
Mali mbona ni za mwanaume lakini tukiachana share inakatwa 50/50?
Mwanamke kupambana na jambazi wa kiume sio mwiko unaohusiana na jukumu la kimaumbile.
Hata feminism huwa haiwataji nyinyi kama watu dhaifu. Unawaangusha wenzio wanaokuangalia wewe kama mfano.
Feminism inasisitiza ujasiri kwa mwanamke dhidi ya mwanaume, feminism inasisitiza kuondoa mfumo dume.
Mfumo dume ni pamoja na dhana ya mume kama kichwa cha familia, kichwa cha familia ni pamoja na kuwa mlinzi kuhakikisha usalama wa familia
Kwenye mfumo dume ni wajibu wa mwanaume kumuacha mke ndani kisha yeye kutoka nje kwenda kupambana na jambazi.
Feminism imekuja kuondoa hiyo kingdom ya mwanaume na kumpa miliki mwanamke.
Maana yake wewe ndio unatakiwa utoke mbele u prove kwamba ni kweli mnao uwezo wa kusimamia majukumu ya mwaume.
Sasa wewe unaogopa
Halafu unabidi ujue kuwa matokeo ya mwisho (kufeli) sio jambo la msingi.
Yani kupigwa au kuzidiwa nguvu na jambazi sio kitu kinacho matter, kinacho matter ni ule uthubutu (ujasiri)
Maana yake hata mwanaume pia anaweza akapigwa na huyo jambazi kwa hiyo hoja ya kusema kwamba hutaki kutangulia mbele kwasababu maumbile sioni kama ni utetezi wenye mashiko.
Maana.
Hata nyinyi wanawake mbona huwa tunawaoma mkiwa mnapigana?
Kwenye huo ugomvi kwani ni mara zote umekuwa ukishinda?
Sometimes mnapigana wenyewe kwa wenyewe na sometimes mnajitutumua kupigana hadi na waume zenu kisa hiyo spirit ya feminism kuona kuwa ndani ya nyumba wote mna haki sawa.
Sasa linapokuja swala la kukabiliana na jambazi kwanini usitangulie mbele na kuithibitishia dunia kuwa mwanamke sio kiumbe dhaifu bali ni mkakamavu?