Mimi naona dunia iachane na mfumo dume na rasmi 50/50 ishike hatamu

Mimi naona dunia iachane na mfumo dume na rasmi 50/50 ishike hatamu

1.".......mahusiano lakini nawafahamu watu wengi tu walioko kwenye uchumba na wanaiishi hiyo 50/50 hilo halinizuii mimi kuwaongelea na kuwatumia kama mifano......."

2.".....Ndio maana nikakuambia hivi wanawake wengi wanaitaka 50/50......".

Kuwa mkweli dada hatupo humu kubishana,tuongee uhalisia...... ila hiyo moja na mbili kama wapo hawazidi hata asilimia tatu.

Hivi humu kuna mwanmke siku ya kwanza ya uchumba anapo tolewa out ,bili mwanamke analipia nusu na mwanume nusu...? na ile mitoko mingine ya kipindi cha uchumba mnalipa bili mwendo wa 50/50.

Hivi humu yupo mwanamke hela ya barua ya uchumba, mwanaume na mwanamke hutoa nusu nusu?

Hapo sija zungumzia kodi,mahali,hela ya muda wa maongezi,mavazi na vinginevyo vingi.Hivi hivi vyote kwenye ngazi ya uchumba kuna mwanamke hufanya nusu nusu na mchumba wake?. (Natamani nipate wanawake wengine wanijibu haya maswali).

Kuwa mkweli huwezi kupingana na asili utashindwa,nyie wanawake hii 50/50 hamuowezi na hamtokuja kuiweza,hizi unazo ongea ni imagination na sio reality,amka kwenye hiyo ndoto.
Duuh mkuu inaonekana una shida kidogo ya uelewa sijui unachoshindwa kuelewa hapo ni nini asee nimekuambia hivi WANAWAKE WENGI BADO WANASITA KUITUMIA 50/50 SABABU WANAUME WENGI BADO MNATAKA MFUMO DUME, hebu elewa basi hakuna mwanamke atakubali kuanza tu kushare bills na mwanaume ilihali huyo mwanaume bado anataka afanyiwe majukumu ya nyumbani na bado anataka apewe heshima na utii, siku wanaume mkiachana na hiyo mitazamo wanawake wataikubali 50/50 na kuanza kugawana bili nusu kwa nusu kama wanavyofanya wazungu sijui unanielewa hapo
 
Mfano mumeo leo akakwama kodi ya nyumba Tsh 300K akakwamba uilipe na ukailipa basi ndiyo mfumo dume umelazimishwa?sasa kwanini unaenda kazini kama hata 300K huna au unayo na hutaki kuitoa?

Main post pale juu nimekusoma ukisema kitu kama 50/50 as long as wote mnagharamika ndani ya nyumba basi asiwepo wa kumuuliza mwenzake lolote sababu kila mmoja anajiongoza;ukimuangalia huyo mumeo unaeishi nae unaweza leo usirudi nyumbani ukarudi kesho asubuhi akakuelewa utakapomwambia ulikuwa unatafuta hela kwa sababu kuna share yako ktk matumizi ya familia?na kwa sababu wote mnajiongoza hata ikitokea siku msirudi wote basi asiwepo wa kumuuliza mwenzake alikokuwa unaona pana maisha hapo?!

Nyie dada’zangu mnakuwa mmesoma lakini sijawahi kuona elimu zenu zikiwasaidia zaidi ya ku-earn hizo laki 8 au million na IST za mkopo kuuzia sura mjini ila kiukweli elimu ndiyo inazidi kuudidimisha uanamke wenu,sasa kama umesoma na ume-come up na mawazo haya huyo asiyesoma atakuwaje?
Mkuu labda nikuulize na wewe siku mkeo amebanwa na majukumu ya ofisini au labda anaumwa utaweza kumsaidia kufanya majukumu yake ya nyumbani (jibu lolote utakalotoa basi bila shaka utakuwa umeshapata jibu la swali lako la kwanza), kuhusu kuchelewa kurudi nyumbani kwanini umekimbilia kuwaza kwamba kila mmoja asimuulize mwenzie na siyo kila mmoja amuulize mwenzie sababu ya kuchelewa ni nini, mwanamke kuenda kazini siyo hoja hoja ni je wewe unamhudumia na majukumu yake ya nyumbani yeye anasaidiwa na kama humhudumii na majukumu ya nyumbani anayasimamia mwenyewe kwanini unataka yeye akusaidie majukumu yako
 
Ameongea kimapokeo ila nadharia ya msingi au asili ilikuwa kumlisha na kumlinda mwanamke huyo naye awe mtiifu kwa mume. Maswala ya pesa hayakuwepo huko mwanzo.
Sasa dunia ya leo huwezi kuhudumia mwanamke bila kuhusisha pesa mkuu
 
Wanaitakaga hio kwenye mambo ambayo wananufaika nayo tu.
Kabisa yani

Kwenye mambo simple utaskia "Ladies first"

Sasa geti limevunjwa milio ya risasi isikike halafu mwambie mkeo "ladies first mi nitakaa nyuma we tangulia tutoke nje tukapambane na hilo jambazi"
 
Wewe huna hoja na huelewi hata unachoandika mara useme uongozi unaangalia akili hauangalii jinsia mara hapo hapo tena unasema mwanamke hana akili ya uongozi, kikawaida kwenye makampuni au mataasisi mtu kuwa boss anateuliwa na akionekana hana ufanisi anatolewa anawekwa mwingine sasa wanawake wangekuwa hawana ufanisi si wangetolewa au wanaogopwa, hebu nitajie nchi ambazo zimetawaliwa na wanawake na ni masikini kulinganisha na zilizotawaliwa na wanaume na nilikuuliza hapa Tanzania katika kipindi cha miaka 60 hao wanaume wamefanya nini la maana ikiwa mambo muhimu kama maji, umeme, afya, elimu, uchumi na teknolojia hadi leo bado ni tatizo kwenye nchi yetu hujanijibu
Kwanza mshukuru mungu wako kwa kukujalia kuzungumza na mtu mwenye akili nyingi na jiniasi ....kwa akili zako unaona hizo hoja zina pingana wakati ndiyo zuna kubaliana nimekuambia kuwa akili ya mwanamke ni finyukwa uwiano na wanaume hivyo wanawake kupewa 50 50 ni upumbavu
 
Kabisa yani

Kwenye mambo simple utaskia "Ladies first"

Sasa geti limevunjwa milio ya risasi isikike halafu mwambie mkeo "ladies first mi nitakaa nyuma we tangulia tutoke nje tukapambane na hilo jambazi"
Hehe hapo sasa ndipo yale majukumu ya kubeba ujauzito, kuzaa, na kunyonyesha yanapoingia, ukisema hayo ni majukumu ya kimaumbile basi hata kupambana na jambazi ni jukumu la kimaumbile kwa sababu men are physically stronger than women, ukizingatia majambazi wengi huwa ni wanaume na si wanawake wenzao
 
Kwanza mshukuru mungu wako kwa kukujalia kudhungumza na mtu mwenye akili nyingi na jiniasi ....kwa akili zako unaona hizo hoja zina pingana wakati ndiyo zuna kubaliana nimekuambia kuwa akili ya mwanamke ni finyukwa uwiano na wanaume hivyo wanawake kupewa 50 50 ni upumbavu
Wewe ndio huna hoja hadi sasa hujanijibu hoja yangu hata moja zaidi ya kubwabwaja tu yani kama hadi wewe ni genius basi niamini hata wale walioko kwenye wodi za vichaa nao ni magenius, nilikuuliza hivi other factors being constant mwanaume ambaye ni kibaka mitaani ana akili kuliko mwanamke ambaye ni boss wa kampuni fulani unaanza kuniletea habari za matobo sijui samia such a lame argument, yani kadiri unavyozidi kujibizana ndivyo unavyozidi kudhihirisha ujinga wako bora uache tu kuandika kwenyewe shida unanipa tabu tu yani wanaume wote mngekuwa na akili kuliko wanawake wote basi kusingekuwa na mashoga, machawa, vibaka, wapiga debe, na tabia nyingine za kipumbavu mnazoziita kazi za halali
 
Hehe hapo sasa ndipo yale majukumu ya kubeba ujauzito, kuzaa, na kunyonyesha yanapoingia, ukisema hayo ni majukumu ya kimaumbile basi hata kupambana na jambazi ni jukumu la kimaumbile kwa sababu men are physically stronger than women, ukizingatia majambazi wengi huwa ni wanaume na si wanawake wenzao
"Jambazi ni mwanaume inabidi apambane na mwanaume mwenzake"

Hapana mi nasema huo ni ubaguzi wa kijinsia.

Mali mbona ni za mwanaume lakini tukiachana share inakatwa 50/50?

Mwanamke kupambana na jambazi wa kiume sio mwiko unaohusiana na jukumu la kimaumbile.

Hata feminism huwa haiwataji nyinyi kama watu dhaifu. Unawaangusha wenzio wanaokuangalia wewe kama mfano.

Feminism inasisitiza ujasiri kwa mwanamke dhidi ya mwanaume, feminism inasisitiza kuondoa mfumo dume.

Mfumo dume ni pamoja na dhana ya mume kama kichwa cha familia, kichwa cha familia ni pamoja na kuwa mlinzi kuhakikisha usalama wa familia

Kwenye mfumo dume ni wajibu wa mwanaume kumuacha mke ndani kisha yeye kutoka nje kwenda kupambana na jambazi.

Feminism imekuja kuondoa hiyo kingdom ya mwanaume na kumpa miliki mwanamke.

Maana yake wewe ndio unatakiwa utoke mbele u prove kwamba ni kweli mnao uwezo wa kusimamia majukumu ya mwaume.

Sasa wewe unaogopa

Halafu unabidi ujue kuwa matokeo ya mwisho (kufeli) sio jambo la msingi.

Yani kupigwa au kuzidiwa nguvu na jambazi sio kitu kinacho matter, kinacho matter ni ule uthubutu (ujasiri)

Maana yake hata mwanaume pia anaweza akapigwa na huyo jambazi kwa hiyo hoja ya kusema kwamba hutaki kutangulia mbele kwasababu maumbile sioni kama ni utetezi wenye mashiko.

Maana.

Hata nyinyi wanawake mbona huwa tunawaoma mkiwa mnapigana?

Kwenye huo ugomvi kwani ni mara zote umekuwa ukishinda?

Sometimes mnapigana wenyewe kwa wenyewe na sometimes mnajitutumua kupigana hadi na waume zenu kisa hiyo spirit ya feminism kuona kuwa ndani ya nyumba wote mna haki sawa.

Sasa linapokuja swala la kukabiliana na jambazi kwanini usitangulie mbele na kuithibitishia dunia kuwa mwanamke sio kiumbe dhaifu bali ni mkakamavu?
 
Nisengeelewa ningechangia? au na wewe ushakua wa kiwaki kama huyo demu mwenzako anaependa Kila kitu free nahisi walishampakua yule, hata na wewe ushapakuliwa ndo maana akili zenu zipo sawa watu mnaopakuliwa sijui huwa mkoje
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aseeeh poleeee. Mada iko nje ya uwezo wako.
 
Halafu mi naona kuna kitu hamkielewi hamna mwanaume yoyote anayemwita mke wake ombaomba labda kama hana akili timamu tunachokataa ni mpenzi hata hamjaoana alafu unataka upewe hela na uhudumiwe as if ni mke kwa kigezo tu ni wapenzi hiki ndicho wengi tunakikataa na ombaomba ndo wanaitwa Hivo yani inakua kama anakufanyia favour then unamlipa

HAMNA MWANAUME MWENYE AKILI TIMAMU ANAWEZA KUMUITA MKE WAKE OMBA OMBA NA HAYUPO KWASABABU KUMUHUDUMIA MKE NI WAJIBU NA SI HIARI
Na wee mwanaume ukiwa kwenye mahusiano usiombe sex had umuoe.

Ukiomba sex na yeye atakuomba hela.
 
Mwanamke ameumbwa kutombwer

Ukikitafakari hicho kitendo kwa Makini kabisa, utajua pasi na shaka kuwa Kutombwer Ni kutawaliwa

Mwanamke aanze kukataa kutendewa hicho kitendo kwanza!
Hapo atakuwa amefanikiwa kwa 100% kujikomboa kutoka kwenye makucha ya utawala wa mwanaume
Hili Furushi wallah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kabisa yani

Kwenye mambo simple utaskia "Ladies first"

Sasa geti limevunjwa milio ya risasi isikike halafu mwambie mkeo "ladies first mi nitakaa nyuma we tangulia tutoke nje tukapambane na hilo jambazi"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe ndio huna hoja hadi sasa hujanijibu hoja yangu hata moja zaidi ya kubwabwaja tu yani kama hadi wewe ni genius basi niamini hata wale walioko kwenye wodi za vichaa nao ni magenius, nilikuuliza hivi other factors being constant mwanaume ambaye ni kibaka mitaani ana akili kuliko mwanamke ambaye ni boss wa kampuni fulani unaanza kuniletea habari za matobo sijui samia such a lame argument, yani kadiri unavyozidi kujibizana ndivyo unavyozidi kudhihirisha ujinga wako bora uache tu kuandika kwenyewe shida unanipa tabu tu yani wanaume wote mngekuwa na akili kuliko wanawake wote basi kusingekuwa na mashoga, machawa, vibaka, wapiga debe, na tabia nyingine za kipumbavu mnazoziita kazi za halali
Toa mashoga hapo, ushoga hauhusiani na matatizo au kutokua na akili, sijuagi kwann huwa mnahusisha nalo hili.

Mbona mashoga ndo wanao ongoza ku run dunia kwa sasa, wakiwa wana deliver vitu mbali mbali vinavyorahisisha maisha ktk nyanja zote.
 
Iko hivi mwanamke mwenye pesa kukuzidi au mkalingana huyo kidume mwenzio, hapo ndani kuna njemba mbili, hapakaliki tena.

Mwanamke hapaswi kukuzidi kipato.

Mwanamke hapaswi kukuzidi elimu.

Mwanamke hapaswi kukuzidi umri.

Mwanaume ameumbwa kutii na sio kuheshimu, kuheshimu tunaheshimu mzazi tu labda, ila siwezi heshimu mwanaume mwenzangu. Ndio jeshini ukiona mwanaume anapewa adhabu na anafanya huo ni utii si heshima.

Mwanamke kaumbwa kuheshimu na kutii, amheshimu mumewe na kumtii.

Kwenye ndoa mwanamke apendwe, mwanaume aheshimiwe, hio ni asili huwezi badilisha.

Unachozungumza ni kama kusema wanaume na wanawake wote tufanane maumbile, wote tuwe na misambwanda, wote tubebe mimba, wote tuvae shimizi..

Wanawake hamuwezi haki sawa, mtaongea tu, lakini majukumu usawa kwa usawa na mwanaume yupo hamuwezi, mtaanza kutegea tu.

Mfumo dume uendelee, tena sasa hivi msiajiriwe kabisa mkae nyumbani.
Great
 
........Kwanza hapo huyo mke anakuwa siyo msaidizi tena bali ni kama business partner tu hivyo ondoa kichwani suala la kumlazimisha akutii, hivi mnadhani mwanamke aliambiwa amtii mwanaume kwa misingi gani kama siyo kuhudumiwa maana huwezi kukitawala kiumbe usichokihudumia, hakuna binadamu mwenye akili timamu anayefurahia kutawaliwa na binadamu mwenzie asiyewajibika kwa lolote juu yake na kiuhalisia ukitoa huduma zinazohusisha pesa hakuna wajibu mwingine mwanaume alionao juu ya mwanamke.......
Mtaendelea na cngle mama had mfeee
 
Back
Top Bottom