Mimi naona dunia iachane na mfumo dume na rasmi 50/50 ishike hatamu

Kwani kuolewa ni lazima? Mimi nadhani mwanamke ambaye hataki kutawaliwa na mwanaume, akomae maisha yake mwenyewe asiolewe
Yeah na pia mwanaume ambaye hataki kumhudumia mwanamke asioe akomae na maisha yake mwenyewe tu
 
Mkuu tatizo hivyo vidada ambavyo havijaolewa na vyenyewe huwa mnataka viwe na sifa zote kama wake na mnataka viwatreat ninyi kama waume zao, sasa kama mwanamke anafanya majukumu yake ya nyumbani na bado unataka akusaidie majukumu yako wewe utakuwa unafanya nini hebu nieleweshe hapo kidogo, kuhusu mwanamke wa mithali 31 nimeshaandika kwenye uzi pale juu kuwa hayo yalikuwa mawazo binafsi ya mfalme Suleiman na si maagizo ya muumba
 
Mkuu ndio maana nikasema wanawake hawawezi kuikubali hiyo 50/50 ikiwa wanaume bado mnataka kupewa heshima na utii na bado kuna majukumu ambayo mnayaona ni ya wanawake tu, ofcourse na mimi sijalazimisha watu wachague huo mfumo wa 50/50 bali nimesema mwanaume anapochagua mfumo fulani ahakikishe anakubaliana na sifa zote zinazokuja na mwanamke wa huo mfumo, sasa wewe hutaki 50/50 lakini hapo hapo hutaki kumhudumia mwanamke wako unataka ajitafutie pesa zake ajihudumie mwenyewe na pia akusaidie kuhudumia familia ambalo ni jukumu lako mwanaume
 
Tuna mamlaka ya kuamua nini kifanyike na nini kisifanyike kwa wakati wowote na mahala popote na tutaendelea kua na hayo mamlaka hadi mwisho wa dunia na hakuna atakae weza kubadilisha hilo, huo ndio ukweli
Huku sasa ni kujifariji, kwa sababu kwa mambo yanavyoenda sasa hali haiko kama unavyoandika hapa, hasira hazisaidii lazima ifike pahala tukubaliana na ukweli hatuwezi kuyazuia mafuriko kwa mikono
 
Hahaha mkuu mimi nafahamu bado wapo wanawake wengi sana, ambao wakiolewa wako tayari kuwa wamama wa nyumbani, hawa wanaendana na wale wanaume ambao hawataki wake zao wafanye kazi

Na pia kuna wanawake wengi ambao hawako tayari kuwa wamama wa nyumbani, hawa wanaendana na wale wanaume ambao wanataka wanawake wa kusaidiana nao maisha, na wanakubaliana na consequences zote za kuwa na wanawake wa aina hiyo

Tatizo kinachofanya wanawake wengi wa ulimwengu wa leo waanze kugoma kuwa wamama wa nyumbani, ni zile dharau na manyanyaso wanayopata toka kwa waume zao kwa kigezo cha kwamba wanawahudumia, hivyo wanawake wakaona cha kufia nini heri nao waanze tu kujitafutia vya kwao ili wasiteseke
 
Always malaya ndiye ana demand kuhudumiwa na anaendekeza tamaa.

Mwanamke mwema hana tamaa na anaridhika na anachopewa.

Hakuna mwanamme asiyependa kumuhudumia mwanamke wake.
Kwenye mfumo dume mwanamke kuhudumiwa ni haki yake, kwahiyo pale mwanamke anapodai haki yake msianze kumuita majina ya ajabu sijui malaya sijui ombaomba, kama unaona kuhudumia mwanamke ni mzigo then try 50 50
 
Huku sasa ni kujifariji, kwa sababu kwa mambo yanavyoenda sasa hali haiko kama unavyoandika hapa, hasira hazisaidii lazima ifike pahala tukubaliana na ukweli hatuwezi kuyazuia mafuriko kwa mikono
Endelea kusubiria muujiza wa kuokota nazi chini ya mwembe nilicho andika ndio ukweli halisi haijalishi unataka au hutaki, hakuna anaeweza kubadilisha hatma endelea kujifariji "miss feminist" 🚮🚮🚮🚮
 
Hio sio personal ni general maana hueleweki unasimamia wapi
Mkuu lugha ya wenyewe inakupiga chenga au, kwamba hujui tofauti kati ya personal na general, kiasi cha kushindwa kuona kwamba hilo swali uliloniuliza ni personal
 
Kwenye mfumo dume mwanamke kuhudumiwa ni haki yake, kwahiyo pale mwanamke anapodai haki yake msianze kumuita majina ya ajabu sijui malaya sijui ombaomba, kama unaona kuhudumia mwanamke ni mzigo then try 50 50
Huwa tunahudumia mwanamke automatically, huna haja ya kuomba huduma.

Ukiona hupewi huduma au mpaka uombe, jitafakali mara mbili mbili, lazima kuna sehemu unakosea.
 
Endelea kusubiria muujiza wa kuokota nazi chini ya mwembe nilicho andika ndio ukweli halisi haijalishi unataka au hutaki, hakuna anaeweza kubadilisha hatma endelea kujifariji "miss feminist" [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Hapa suala siyo mimi kutaka au kutotaka suala ni uhalisia uliopo kwenye ulimwengu wa sasa, malalamiko ya wanaume wengi siku hizi kuhusu wanawake yanatoa picha halisi ya wapi tulipo, hatuwezi kujadili mawazo binafsi ya watu wanaojifariji na kuleta mihemko kwenye uhalisia
 
Huwa tunahudumia mwanamke automatically, huna haja ya kuomba huduma.

Ukiona hupewi huduma au mpaka uombe, jitafakali mara mbili mbili, lazima kuna sehemu unakosea.
Oohh so mwanaume naye anapokosea basi anakuwa hastahili tena heshima na utii toka kwa mke wake pamoja na kutimiziwa majukumu ya nyumbani
 
Tumia hesabu ya uwiano kila tajiri mwanaume ana mke kaoa na wengi ufa na kuwaachia mabilioni ila baada ya hapo ni chini ya asilimia 1 ya hao wanawake ndiyo wanaweza japo kulinda huo utajiri kidogo tu wote walio salia utajiri unapukutika usijulikane ulipo tokomea ...tutizame kwa samia na jpm tu ...jpm ameacha mambo yapo kwenye mstari chanya ila kwa sasa samia katutoa na kutudumbukiza kwenye giza kila kitu kinasambaratika...huwezo wa akili wa mwanamke ni robo tu ya mwaname kwa wastani
 
"Mwanaume ni mtafutaji/mtoaji na kiongizi.Mwanamke ni mpokeaji na mtumiaji wa alichotafuta mwanaume.Sasa,wanawake wanataka kuwa watoaji.Kitu ambacho hakiwezekani!Hata ukifikiria,mwanaume mzima umekaa nyumbani unalea watoto,utajisikiaje?Haiingii akilini kabisa.Kizazi hiki bwana!🤣🤣🤣".
 
Kama cha shangazi yako wa kisiju, mjusi weee
Nyie ndo mnaopendaga mserereko/kitonga hamtakagi kujituma, Dunia ya Sasa ukipenda mserereko au kitonga utaishia kupakuliwa kwenye sahani, utafirwa wewe shauri zako watakuingilia njia zote marinda yatatuliwe uanze kujinyea ovyo na ndo skuiz wanavofanyiwa wanawake kama wewe wapenda vitonga.
 
Asante mkalimani🤣🤣
 
After God the only thing I fear ni feminist

Hayo ni maneno ya Khaligraph Jones kwenye ngoma yake ya Tuma Kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…