Mimi naona dunia iachane na mfumo dume na rasmi 50/50 ishike hatamu

Watoe wazungu apa,wazungu hawana habari ya kutaka kuheshimiwa kama miungu mtu wanaume wa Tz ,wao wanaishi sawa wote wanajukumu la kuheshimiana.

Hapa anaongelewa mbongo asiyefanya majukumu yake kama mume alafu anataka aheshimiwe ni ngumu sana.
 
Hao Wanaume wasiowajibika mmewatolea wapi?

Yaani Mwanaume ambaye halipi Kodi/toa hela ya chakula/mavazi Kwa mke na Watoto wake/Asiyelipa ada ya watoto/kulipia gharama za hospitali n.k

Nawe Mwanamke unaendelea kukaa na huyo Mwanaume anakupiga mimba ya kwanza, unapigwa ya pili n.k

Basi nawe utakuwa haujitambui

Hiyo 50/50 haifanyi kazi Tanzania labda Kwa Wazungu huko
 
Nasikia wanakufanya vibaya hadi unavaa diper, huyo ni wewe na chaguzi zako, mimi nimechagua kuheshimu utu wangu.
 
Bado hujajibu swali langu je kwa wanaume hakuna ambao wanaachiwa mali na wazazi au ndugu zao na wanashindwa kuziendeleza hadi wanafirisika, hii nchi ina miaka zaidi ya 60 tangu imepata uhuru na imekuwa ikiongozwa na wanaume je wamefanya nini la maana ikiwa hadi leo mambo muhimu kama maji, umeme, afya, elimu, uchumi na teknolojia bado ni tatizo, na mbona umetolea mfano wa Tanzania tu je hakuna nchi ambazo zimeongozwa na wanawake na zinafanya vizuri au hata tukija kwenye kampuni je hakuna ambazo zimeongozwa na wanaume zikafanya vibaya na je hakuna ambazo zimeongozwa na wanawake zikafanya vizuri
 
Na mlivyojaaliwa mdomo ndefu na utunzi bora wa matusi hamtakawia kumuita mchoyo,domozege,shoga nk.Hamkosi ubatizo mpya.
Haha kama ambavyo ninyi mwanamke ambaye hajaolewa mnamuita malaya, feminist na majina mengine ya ajabu kama hayo, hivi kuna jinsia ina matusi dhidi ya nyenzie kama wanaume mkuu
 
Mkuu kama unahudumia mke wako na unasimamia huduma zote za nyumbani basi hapo mke lazima afanye majukumu yake mkuu, shida ni wale wanaume wanaotaka mke wa kusaidiana naye maisha ila yeye hataki kumsaidia mkewe majukumu, na bado anataka mke wake ampe heshima na utii kama mume wake
 
Mwanaume/mume anataka mke amsaidie majukumu ya kutunza na kuongoza familia?Afungwe kengele mbili za shule(rims za scania)na kutoswa ziwa lolote lenye moto mwingi.
 
After God the only thing I fear ni feminist

Hayo ni maneno ya Khaligraph Jones kwenye ngoma yake ya Tuma Kitu
Maneno yake si biblia wala msaafu hayo ni mawazo yake binafsi tu, nafikiri wanao make sense ni wale wanaosema "after god fear technology", otherwise kila mtu aweza amua kusema lake hata wanawake nao wanaweza kuamua kusema "after god fear men" na wakawa sahihi vile vile
 
Watoe wazungu apa,wazungu hawana habari ya kutaka kuheshimiwa kama miungu mtu wanaume wa Tz ,wao wanaishi sawa wote wanajukumu la kuheshimiana.

Hapa anaongelewa mbongo asiyefanya majukumu yake kama mume alafu anataka aheshimiwe ni ngumu sana.
Wewe umenielewa mkuu
 
Sasa ukimuacha si ndio utasikia kelele za oo wanawake hawana uvumilivu, mume akiyumba au akifirisika wanakimbia, yani hata kama mume aliyumba au alifirisika kwa ujinga wake wanataka mke avumilie
 
Mwanaume/mume anataka mke amsaidie majukumu ya kutunza na kuongoza familia?Afungwe kengele mbili za shule(rims za scania)na kutoswa ziwa lolote lenye moto mwingi.
Yeah wapo kabisa wanakuambia eti hawataki wanawake magolikipa na ombaomba, ukimuambia sawa basi kama unataka mwanamke akusaidie majukumu yako kubaliana na matokeo yake, sikilizia hayo majina utakayoitwa asee
 
Mzembe na mjinga huyo.Anayakatibisha matatizo kwa uvivu wa kutafakari habari.
 
Sasa ukimuacha si ndio utasikia kelele za oo wanawake hawana uvumilivu, mume akiyumba au akifirisika wanakimbia, yani hata kama mume aliyumba au alifirisika kwa ujinga wake wanataka mke avumilie
Hiyo ni case tofauti Mjukuu, kama ameyumba Kiuchumi Kwa kukosa ajira n.k na alikuwa anahudumia familia yake kabla hajapata hiyo shida ya ajira anastahili kuvumiliwa.

Sifa ya Mwanaume ni kuwajibika Kwa familia atakayoianzisha, hayo ni mafunzo tuliyopewa tukiwa jandoni miaka ile ya Ujana.
 
Nasikia wanakufanya vibaya hadi unavaa diper, huyo ni wewe na chaguzi zako, mimi nimechagua kuheshimu utu wangu.
Sasa wewe endelea kutaka vya wanaume vya Bure Bure ndo ukubali na kupakuliwa, usipende kitonga mtoto wa kike jitume shauri zako watakukula pande zote ka samaki.
 
Sahihi kabisa babu, ila kuna wale wanaume pia wanaojijua hawana uwezo wa kuhudumia familia ila nao wanataka waoe, na wanalalamika kwamba wanawake wa siku hizi wanapenda pesa
 
When I get a time to waste, I'll comeback to you. Stay there
 
Kama wanawake wanaweza kutukunja na kutugeuzageuza wanaume kama tunavyo wageuza sawa
 
Mtoa mada Kama vile keshapigwa na kitu kizito na marioo wa mjini[emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…