Mimi ni Mkristo mlokole, nimeanza kukosa Imani na ukristo nahisi Uislam ndiyo dini ya kweli

Binamfsi ni msabato ila nina zaidi ya 10 yrs sijaenda knsn sababu moyo wangu ulishasilim sema tu naogopa kutengwa na familia na mke wangu. Ila moyoni mm tayari ni mwislam na jina langu ni Ally
Hivi ili uwe muislamu ni lazima ubadili na jina.? Je ukiwa muislamu halafu ukakataa kujiita jina la kiarabu na ukaitwa Masumbuko Mtoro kuna tatizo gani?
 
Napenda sana ibada, naamini kupitia ibada mambo mengi yanaweza kuwa sawa! Napata shida kidogo na Imani yangu ya ukristo, miaka ya 1980 -1990 ibada ilikuwa nzuri sana kokote utakakoenda kusali na kanisa lolote utakaloingia Ibada zilikuwa na nguvu halisi ya Mungu.

Hapakuwa na makorombwezo Wala mbwembwe kama Sasa! Huwa navurugwa sana nikiingia kanisani mambo mengi yamebadilika! Kanisa la Sasa imekuwa sehemu ya disco,dance na mitindo ya hovyo ya mavazi, wanawake wanavaa nguo ambazo hata kwenye baadhi ya bar hawavai na wachungaji wako busy na mapato na matumizi. Mahubiri asilimia tisini ni fedha na mipasho! Nimechoka na miujiza ya zana kama uganga, kanisa la Leo mchungaji anaamini lazima abebe zana ndio apande madhabahuni ,ukristo unabadilika Kila mwaka ,sura ya kanisa sio Ile ya 1990 ,2000.

Kila mwaka kanisa linavaa sura nyingine, wachungaji wetu wanavita kubwa ya kugombea waumini kiasi hawana ushirikiano Tena ! Ni maadui na hawana maombi ya pamoja Tena kama zamani. Kila mchungaji yaonekana kama ana mbingu ya kwake. Kuna kundi wanajiita mitume na manabii na Kuna kundi la maaskofu na wachungaji ,maaskofu na wachungaji wanahisi wao nao wanambingu Yao ambayo mitume na manabii hawataenda ! Na mitume na manabii pia wanaona wachungaji na maaskofu hawana nguvu ya mungu Tena!

Hizi ni dalili mbaya sana kwa miaka 20 ijayo ya ukristo, mpaka Sasa asilimia 70 waislam wako sawa na unaweza kuwaelewa! Lakini wakristo wamefeli kabisa , naikubali sana ibada ya hija na Ile ya kuchinja waislamu wanaungana Duniani kote kwa ajili ya Allah!

Lugha Yao inakuwa Moja na kauli Yao ni thabiti kabisa ,wanavaa vizuri sana wanapokuwa kwenye ibada na hata ,huwezi kuyaona mapaja ya mwanamke msikitini yakiwa nje sijui kama nitaweza kuuvumilia ukristo kwa miaka michache ijayo mungu aturehemu
fuata upepo ni pepo lisilo na uhakika wala kutabirika
 
Napenda sana ibada, naamini kupitia ibada mambo mengi yanaweza kuwa sawa! Napata shida kidogo na Imani yangu ya ukristo, miaka ya 1980 -1990 ibada ilikuwa nzuri sana kokote utakakoenda kusali na kanisa lolote utakaloingia Ibada zilikuwa na nguvu halisi ya Mungu.

Hapakuwa na makorombwezo Wala mbwembwe kama Sasa! Huwa navurugwa sana nikiingia kanisani mambo mengi yamebadilika! Kanisa la Sasa imekuwa sehemu ya disco,dance na mitindo ya hovyo ya mavazi, wanawake wanavaa nguo ambazo hata kwenye baadhi ya bar hawavai na wachungaji wako busy na mapato na matumizi. Mahubiri asilimia tisini ni fedha na mipasho! Nimechoka na miujiza ya zana kama uganga, kanisa la Leo mchungaji anaamini lazima abebe zana ndio apande madhabahuni ,ukristo unabadilika Kila mwaka ,sura ya kanisa sio Ile ya 1990 ,2000.

Kila mwaka kanisa linavaa sura nyingine, wachungaji wetu wanavita kubwa ya kugombea waumini kiasi hawana ushirikiano Tena ! Ni maadui na hawana maombi ya pamoja Tena kama zamani. Kila mchungaji yaonekana kama ana mbingu ya kwake. Kuna kundi wanajiita mitume na manabii na Kuna kundi la maaskofu na wachungaji ,maaskofu na wachungaji wanahisi wao nao wanambingu Yao ambayo mitume na manabii hawataenda ! Na mitume na manabii pia wanaona wachungaji na maaskofu hawana nguvu ya mungu Tena!

Hizi ni dalili mbaya sana kwa miaka 20 ijayo ya ukristo, mpaka Sasa asilimia 70 waislam wako sawa na unaweza kuwaelewa! Lakini wakristo wamefeli kabisa , naikubali sana ibada ya hija na Ile ya kuchinja waislamu wanaungana Duniani kote kwa ajili ya Allah!

Lugha Yao inakuwa Moja na kauli Yao ni thabiti kabisa ,wanavaa vizuri sana wanapokuwa kwenye ibada na hata ,huwezi kuyaona mapaja ya mwanamke msikitini yakiwa nje sijui kama nitaweza kuuvumilia ukristo kwa miaka michache ijayo mungu aturehemu !
Kwan mapaja ya mwanamke jana shida gani,me nikajua tumeshayazoea km zamani ilivyokua ni kuziba sehem za siri tu, sijui ulikuaje mpk mapaja takawa ni jambo la kuficha
 
Pale unapokuta Mkristo ni Mwanaccm anashabikia Utekaji, ubambikiaji watu kesi, utasaji na huku anashinda kanisani kila jumapili utajua kabisa Ukristo wa siku hizi hauna Impact yoyote kwenye maisha ya Waumini.
Ni kama maigizo tu
 
Napenda sana ibada, naamini kupitia ibada mambo mengi yanaweza kuwa sawa! Napata shida kidogo na Imani yangu ya ukristo, miaka ya 1980 -1990 ibada ilikuwa nzuri sana kokote utakakoenda kusali na kanisa lolote utakaloingia Ibada zilikuwa na nguvu halisi ya Mungu.

Hapakuwa na makorombwezo Wala mbwembwe kama Sasa! Huwa navurugwa sana nikiingia kanisani mambo mengi yamebadilika! Kanisa la Sasa imekuwa sehemu ya disco,dance na mitindo ya hovyo ya mavazi, wanawake wanavaa nguo ambazo hata kwenye baadhi ya bar hawavai na wachungaji wako busy na mapato na matumizi. Mahubiri asilimia tisini ni fedha na mipasho! Nimechoka na miujiza ya zana kama uganga, kanisa la Leo mchungaji anaamini lazima abebe zana ndio apande madhabahuni ,ukristo unabadilika Kila mwaka ,sura ya kanisa sio Ile ya 1990 ,2000.

Kila mwaka kanisa linavaa sura nyingine, wachungaji wetu wanavita kubwa ya kugombea waumini kiasi hawana ushirikiano Tena ! Ni maadui na hawana maombi ya pamoja Tena kama zamani. Kila mchungaji yaonekana kama ana mbingu ya kwake. Kuna kundi wanajiita mitume na manabii na Kuna kundi la maaskofu na wachungaji ,maaskofu na wachungaji wanahisi wao nao wanambingu Yao ambayo mitume na manabii hawataenda ! Na mitume na manabii pia wanaona wachungaji na maaskofu hawana nguvu ya mungu Tena!

Hizi ni dalili mbaya sana kwa miaka 20 ijayo ya ukristo, mpaka Sasa asilimia 70 waislam wako sawa na unaweza kuwaelewa! Lakini wakristo wamefeli kabisa , naikubali sana ibada ya hija na Ile ya kuchinja waislamu wanaungana Duniani kote kwa ajili ya Allah!

Lugha Yao inakuwa Moja na kauli Yao ni thabiti kabisa ,wanavaa vizuri sana wanapokuwa kwenye ibada na hata ,huwezi kuyaona mapaja ya mwanamke msikitini yakiwa nje sijui kama nitaweza kuuvumilia ukristo kwa miaka michache ijayo mungu aturehemu !
Utajuta uamuzi huu milele one day.
 
Wenzenu walishatoka kwenye vi propaganda vya kijinga vya kueneza dini ninyi Wala tende ndio kumekucha. Dini yenu Haina mvuto labda mnapate mataahora. Halafu dunia nzima akili yenu ndio hiyo hiyo Moja. Cheki mwarabu anavyohangaika kununua timu za ulaya na kununua mastaa wa soka kuwapeleka kwao eti wanaweza kuiona dini na Mila zao ni nzuri wajiunge na wanaowafuatilia wawafuate . Fululuuuui! Watawslia fedha zenu habadili kitu mtu
 
Duuh kumbe ndio Mpango?

Wanaeneza dini kwa njia ya Kambumbu?

Jihadi imeshindwa?
 
Umenena vema sana
Ilinenwa na kristo kwamba watakuja manabii wa uwongo na sasa mwaona yametimia maneno ya messiah ila bado watu hawaelewi tu.

Dini iliyothabiti na iliyokamilika isiyo na upotofu wowote na inayomuelekea Mwenyezi Mungu moja kwa moja ni uislamu,

Kwanza maana yake tu Islam yaani aliyesilimu, yaani aliyejisalimisha na kumuelekea Mungu.

Hii inatosha kutuonesha kwamba uislamu unatufaa na tunapaswa kusilimu mbele za Mungu mmoja tu ambaye hajazaa wala hajazaliwa na jana mshirika yeye hachoki wala halali.
 
Duuh kumbe ndio Mpango?

Wanaeneza dini kwa njia ya Kambumbu?

Jihadi imeshindwa?
Wana mbinu kama nne

1. Kushinikiza sheria za nchi zibadilishwe na kuingizwa mambo ya dini Yao

2. Kumshawishi kwa kutoa Mali au fedha kwa watu maarufu wa zamani

3. Kutumia wanawake kuwaoza na anayeozwa kulazimishwa kubadili dini

4. Nyia ya mahubiri ya kukandya dini zingine

5.Active violence ( oumn jihad)
 
Wenzenu walishatoka kwenye vi propaganda vya kijinga vya kueneza dini ninyi Wala tende ndio kumekucha. Dini yenu Haina mvuto labda mnapate mataahora. Halafu dunia nzima akili yenu ndio hiyo hiyo Moja. Cheki mwarabu anavyohangaika kununua timu za ulaya na kununua mastaa wa soka kuwapeleka kwao eti wanaweza kuiona dini na Mila zao ni nzuri wajiunge na wanaowafuatilia wawafuate . Fululuuuui! Watawslia fedha zenu habadili kitu mtu
Sio kila mwarabu ni muislamu.
Af dini haiingiliani na hicho unachokiongelea mbona.
We hnaonekana unapenda ushabiki sana.
 
Wana mbinu kama nne

1. Kushinikiza sheria za nchi zibadilishwe na kuingizwa mambo ya dini Yao

2. Kumshawishi kwa kutoa Mali au fedha kwa watu maarufu wa zamani

3. Kutumia wanawake kuwaoza na anayeozwa kulazimishwa kubadili dini

4. Nyia ya mahubiri ya kukandya dini zingine

5.Active violence ( oumn jihad)
Dah upo na fikra potofu sana..

Kuishi chini ya sheria za dini ni jukumu la kila mmoja anaeamini dini, ukijua maana ya dini hautobabaika hivi
 
Mbinguni hakuna dini.

Yupo Mungu ambaye ndiye muasisi wa dini zote.

Tulia tu hapo ulipo, je ukienda kwingine isipopapenda itakuwaje ?
Duniani dini ni moja tu ambayo ilianza tangu enzi na mitume wake kama kina Ibrahim, Mussa, na kufikia kwa Yesu ambaye aliileta injili ili kulivunja agano la kale na kuketa agano jipya ambapo amepata upinzani mkubwa kwa wayahudi hata kufikia hali ya kutoaminiwa na wayahudi waliowengi kisha Muhammad akaja kuimalizia jazi ya Yesu katika kuwafunza watu kuhusu Mungu na mwongozo wa maisha ya binadamu.

Issue I nakuja pale ambapo watu wanajua ukisilimu basi unakuwa Chini ya waarabu, ukweli ni kwamba kusilimu ni kujisilimisha mbele za Mungu mmoja tu.

Neno uislamu ni kiarabu lenye maana kusilimu yaani kujisalimisha kwa Mungu.
Asa sijui why some people are not able to understand the truth of that religion.
 
Nikushukuru kwanza kwa kulitambua Hilo. Ila nikushauru kitu kimoja kabla hujaamua kuhamia kwa waislamu. Chunguza vizuri dhehebu la waadventista wasabato utagundua kitu
Miluzi mbona mingi ,
Mmbwa lazima apotee
 
Napenda sana ibada, naamini kupitia ibada mambo mengi yanaweza kuwa sawa! Napata shida kidogo na Imani yangu ya ukristo, miaka ya 1980 -1990 ibada ilikuwa nzuri sana kokote utakakoenda kusali na kanisa lolote utakaloingia Ibada zilikuwa na nguvu halisi ya Mungu.

Hapakuwa na makorombwezo Wala mbwembwe kama Sasa! Huwa navurugwa sana nikiingia kanisani mambo mengi yamebadilika! Kanisa la Sasa imekuwa sehemu ya disco,dance na mitindo ya hovyo ya mavazi, wanawake wanavaa nguo ambazo hata kwenye baadhi ya bar hawavai na wachungaji wako busy na mapato na matumizi. Mahubiri asilimia tisini ni fedha na mipasho! Nimechoka na miujiza ya zana kama uganga, kanisa la Leo mchungaji anaamini lazima abebe zana ndio apande madhabahuni ,ukristo unabadilika Kila mwaka ,sura ya kanisa sio Ile ya 1990 ,2000.

Kila mwaka kanisa linavaa sura nyingine, wachungaji wetu wanavita kubwa ya kugombea waumini kiasi hawana ushirikiano Tena ! Ni maadui na hawana maombi ya pamoja Tena kama zamani. Kila mchungaji yaonekana kama ana mbingu ya kwake. Kuna kundi wanajiita mitume na manabii na Kuna kundi la maaskofu na wachungaji ,maaskofu na wachungaji wanahisi wao nao wanambingu Yao ambayo mitume na manabii hawataenda ! Na mitume na manabii pia wanaona wachungaji na maaskofu hawana nguvu ya mungu Tena!

Hizi ni dalili mbaya sana kwa miaka 20 ijayo ya ukristo, mpaka Sasa asilimia 70 waislam wako sawa na unaweza kuwaelewa! Lakini wakristo wamefeli kabisa , naikubali sana ibada ya hija na Ile ya kuchinja waislamu wanaungana Duniani kote kwa ajili ya Allah!

Lugha Yao inakuwa Moja na kauli Yao ni thabiti kabisa ,wanavaa vizuri sana wanapokuwa kwenye ibada na hata ,huwezi kuyaona mapaja ya mwanamke msikitini yakiwa nje sijui kama nitaweza kuuvumilia ukristo kwa miaka michache ijayo mungu aturehemu !
Ashahadualaila hailalaa wahashaduanna Muhammadarassululaa..
 
Chunga sana roho yako, dini za sasa ni business as usual, hivyo kaa chonjo, issue ni hela tu, hakuna cha Mungu wala nini, hivyo fanya maamuzi sahihi, fedha zimetawala dini, hivyo unajua kumuomba Mungu wako, sio lazima uende kanisani au msikitini, kaa kwako omba, Mungu atakujibu
 
Back
Top Bottom