Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,384
Sasa unapost humu ili usaidiwe kitu gani we mzee? Wkt unaanza hiyo dini uliomba ushauri?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko kanisa linapokwenda sio kwa ajili ya wakristo waenda kanisani kwa ajili ya wazazi, au wachungaji au kuabudu wasichokijua. Kanisa imevamiwa na mbwa mwitu wakali wenye ngozi za kondoo only wakristo ambao ni watu wazima kiroho ambao zimekula neno lisilo ghoshiwa wanaweza ku survive. Mungu atusaidie sana.Ulikua Mkristo ukiwa unamfuta nani? Mchungaji au Kristo Yesu? Kama mchungaji una haki ila kama ni Yesu mwana wa Mungu aliyehai basi mfuatr barabara. Hana makandokando
mimi si mwislamu so, siwezi kuzungumzia hayo. mimi nazungumzia dhehebu langu ambalo linapotea limeondoka kwenye misingi yake. hata gospel haina tofauti na nyimbo za club. kama huelewi lugha utahisi ni nyimbo za akina marioo. na muda mwingine unaelewa lugha ila unahisi ni bongo fleva mpaka pale mtu labda unasikia kaimba goodluck gosbert ndipo unasema basi itakuwa gospel maana goodluck ni mpendwa lakini wimbo wote umekaa kibongo fleva.Ila mkibusu jiwe na kuvaa ka kanga bila chupi (waume kwa wake pamoja) sio fiesta 😂😂
mtanziko wako wa kifikra ni jambo la kawaida,muhimu fata moyo wako unavyokuongozaNapenda sana ibada, naamini kupitia ibada mambo mengi yanaweza kuwa sawa! Napata shida kidogo na Imani yangu ya ukristo, miaka ya 1980 -1990 ibada ilikuwa nzuri sana kokote utakakoenda kusali na kanisa lolote utakaloingia Ibada zilikuwa na nguvu halisi ya Mungu.
Hapakuwa na makorombwezo Wala mbwembwe kama Sasa! Huwa navurugwa sana nikiingia kanisani mambo mengi yamebadilika! Kanisa la Sasa imekuwa sehemu ya disco,dance na mitindo ya hovyo ya mavazi, wanawake wanavaa nguo ambazo hata kwenye baadhi ya bar hawavai na wachungaji wako busy na mapato na matumizi. Mahubiri asilimia tisini ni fedha na mipasho! Nimechoka na miujiza ya zana kama uganga, kanisa la Leo mchungaji anaamini lazima abebe zana ndio apande madhabahuni ,ukristo unabadilika Kila mwaka ,sura ya kanisa sio Ile ya 1990 ,2000.
Kila mwaka kanisa linavaa sura nyingine, wachungaji wetu wanavita kubwa ya kugombea waumini kiasi hawana ushirikiano Tena ! Ni maadui na hawana maombi ya pamoja Tena kama zamani. Kila mchungaji yaonekana kama ana mbingu ya kwake. Kuna kundi wanajiita mitume na manabii na Kuna kundi la maaskofu na wachungaji ,maaskofu na wachungaji wanahisi wao nao wanambingu Yao ambayo mitume na manabii hawataenda ! Na mitume na manabii pia wanaona wachungaji na maaskofu hawana nguvu ya mungu Tena!
Hizi ni dalili mbaya sana kwa miaka 20 ijayo ya ukristo, mpaka Sasa asilimia 70 waislam wako sawa na unaweza kuwaelewa! Lakini wakristo wamefeli kabisa , naikubali sana ibada ya hija na Ile ya kuchinja waislamu wanaungana Duniani kote kwa ajili ya Allah!
Lugha Yao inakuwa Moja na kauli Yao ni thabiti kabisa ,wanavaa vizuri sana wanapokuwa kwenye ibada na hata ,huwezi kuyaona mapaja ya mwanamke msikitini yakiwa nje sijui kama nitaweza kuuvumilia ukristo kwa miaka michache ijayo mungu aturehemu !
Sidhani kama kubadili kwako dini utakuwa umevunja katiba ya nchi, ni maamuzi yako.
Mungu ni mmoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wasabato na mafunzo yenu ya yule mchungaji na mwalimu wenu mwanamama anayewafundisheni kwamba mwanaume hatakiwi kula wali?
Good thing kuhusu wasabato ni kulana kwenye Makambi tu.
Mkristo halisi ni mwanafunzi na mfuasi wa Bwana wetu YESU KRISTO na sio mfuasi wa WACHUNGAJI !!!Napenda sana ibada, naamini kupitia ibada mambo mengi yanaweza kuwa sawa! Napata shida kidogo na Imani yangu ya ukristo, miaka ya 1980 -1990 ibada ilikuwa nzuri sana kokote utakakoenda kusali na kanisa lolote utakaloingia Ibada zilikuwa na nguvu halisi ya Mungu.
Hapakuwa na makorombwezo Wala mbwembwe kama Sasa! Huwa navurugwa sana nikiingia kanisani mambo mengi yamebadilika! Kanisa la Sasa imekuwa sehemu ya disco,dance na mitindo ya hovyo ya mavazi, wanawake wanavaa nguo ambazo hata kwenye baadhi ya bar hawavai na wachungaji wako busy na mapato na matumizi. Mahubiri asilimia tisini ni fedha na mipasho! Nimechoka na miujiza ya zana kama uganga, kanisa la Leo mchungaji anaamini lazima abebe zana ndio apande madhabahuni ,ukristo unabadilika Kila mwaka ,sura ya kanisa sio Ile ya 1990 ,2000.
Kila mwaka kanisa linavaa sura nyingine, wachungaji wetu wanavita kubwa ya kugombea waumini kiasi hawana ushirikiano Tena ! Ni maadui na hawana maombi ya pamoja Tena kama zamani. Kila mchungaji yaonekana kama ana mbingu ya kwake. Kuna kundi wanajiita mitume na manabii na Kuna kundi la maaskofu na wachungaji ,maaskofu na wachungaji wanahisi wao nao wanambingu Yao ambayo mitume na manabii hawataenda ! Na mitume na manabii pia wanaona wachungaji na maaskofu hawana nguvu ya mungu Tena!
Hizi ni dalili mbaya sana kwa miaka 20 ijayo ya ukristo, mpaka Sasa asilimia 70 waislam wako sawa na unaweza kuwaelewa! Lakini wakristo wamefeli kabisa , naikubali sana ibada ya hija na Ile ya kuchinja waislamu wanaungana Duniani kote kwa ajili ya Allah!
Lugha Yao inakuwa Moja na kauli Yao ni thabiti kabisa ,wanavaa vizuri sana wanapokuwa kwenye ibada na hata ,huwezi kuyaona mapaja ya mwanamke msikitini yakiwa nje sijui kama nitaweza kuuvumilia ukristo kwa miaka michache ijayo mungu aturehemu !
Asiione Faziza Foxy.Napenda sana ibada, naamini kupitia ibada mambo mengi yanaweza kuwa sawa! Napata shida kidogo na Imani yangu ya ukristo, miaka ya 1980 -1990 ibada ilikuwa nzuri sana kokote utakakoenda kusali na kanisa lolote utakaloingia Ibada zilikuwa na nguvu halisi ya Mungu.
Hapakuwa na makorombwezo Wala mbwembwe kama Sasa! Huwa navurugwa sana nikiingia kanisani mambo mengi yamebadilika! Kanisa la Sasa imekuwa sehemu ya disco,dance na mitindo ya hovyo ya mavazi, wanawake wanavaa nguo ambazo hata kwenye baadhi ya bar hawavai na wachungaji wako busy na mapato na matumizi. Mahubiri asilimia tisini ni fedha na mipasho! Nimechoka na miujiza ya zana kama uganga, kanisa la Leo mchungaji anaamini lazima abebe zana ndio apande madhabahuni ,ukristo unabadilika Kila mwaka ,sura ya kanisa sio Ile ya 1990 ,2000.
Kila mwaka kanisa linavaa sura nyingine, wachungaji wetu wanavita kubwa ya kugombea waumini kiasi hawana ushirikiano Tena ! Ni maadui na hawana maombi ya pamoja Tena kama zamani. Kila mchungaji yaonekana kama ana mbingu ya kwake. Kuna kundi wanajiita mitume na manabii na Kuna kundi la maaskofu na wachungaji ,maaskofu na wachungaji wanahisi wao nao wanambingu Yao ambayo mitume na manabii hawataenda ! Na mitume na manabii pia wanaona wachungaji na maaskofu hawana nguvu ya mungu Tena!
Hizi ni dalili mbaya sana kwa miaka 20 ijayo ya ukristo, mpaka Sasa asilimia 70 waislam wako sawa na unaweza kuwaelewa! Lakini wakristo wamefeli kabisa , naikubali sana ibada ya hija na Ile ya kuchinja waislamu wanaungana Duniani kote kwa ajili ya Allah!
Lugha Yao inakuwa Moja na kauli Yao ni thabiti kabisa ,wanavaa vizuri sana wanapokuwa kwenye ibada na hata ,huwezi kuyaona mapaja ya mwanamke msikitini yakiwa nje sijui kama nitaweza kuuvumilia ukristo kwa miaka michache ijayo mungu aturehemu !
Umeena vyema.Wewe ni mamluki wa mudi umekuja kuleta propaganda hata muandiko unaonyesha.
Kimsingi dini ya kiislam ni dini inayoamini sana katika matendo ili upate wokovu,ndio mana wanapambania sana maisha ya utu wa nje sio utu wa ndani,ndio maana wengi wao wamejaa husuda,wivu,chuki na ubaguzi baina yao na hata kwa wasio waislamu wenzao.
Wokovu unapatikana kwa neema na haki ya kristo pekee,na kama unaenda kanisani kukitegema uipate hiyo neema na haki kupitia viongozi wa dini au waumini jua wewe sio mkristo wa kweli bali ni mkristo jina.
Kuna makanisa mengi still ibada zao ni njema za za kumtukuza Mungu. Kristo awe mfano kwako kuuishi ukristo.
Ila kama umeona huko kuko sawa ukristo haumlazimishi mtu kutoka ni wewe na mawazo yako.
Kila jema.
Hoja ni kuharibika kwa maadili ndani ya ukristo hoja sio ukristo niliupata wapiUlikua mkristo wa kanisa yani wa kujiandikisha namaanisha. Uliwakuta wazazi ni wakristo tu na wewe ukaingia wala hukupata nafasi ya kumtafuta wewe binafsi niseme haukuwa wa kristo wewe. Huyu kristo ukimjua hakuna namna unayodhani unaweza kuachana nae.
Kinachozungumzwa hapa sio kristo ni ukristo kwamba ukristo unapotea kimaadili na utetezi wako hapa ni kristo Mimi nazungumzia ukristoUmeena vyema.
Kama anadhani kipimo cha Ukristo ni Mchungaji, au mwanadamu anapotea sana.
Mtume Paulo anaasa kuwa "Nifuate Mimi kama ninavyomfuata Kristo"
Kwenye Ukristo sijasikia wala kupata ushuhuda wowote unaotumia mapanga kuufuata. Ni Imani na kuamini kwako kunakokufanya mfuate Kristo.
Nu kweli mavazi Ni sehemu ya heshima na kujisitiri mahali popte. Lakini moyoni je?!
Wewe Ni miongoni mwa Mafarisayo wanafiki mnaopaka rangi makaburi kumbe ndani mmejaa mifupa.
Ila jiulize, dhamira ya moyo wako inakutuma Nini juu ya kumtafuta Mungu?
Kila la heri kwa safari yako ya upande ule. Huku mtu unahubiriwa, ukiamini unakaa, hutatishwa, hutashikiwa jamvia wala fimbo.
Hoja nadhani hujaielewi Sina tatizo na kristo ninaliona tatizo kwenye ukristoKweli umevurugwa! Maana umeshindwa hata kuweka maelezo yako kwenye aya!!
Anyway, kwa niaba ya rafiki yangu wa damu FaizaFoxy, nakushauri utembelee msikiti uliopo karibu haraka iwezekanavyo ili usilimishwe.
Kulia lia na kulalamika tu hapa jukwaani, hakutakusaidia chochote.
Warudi kanisa mama,waliambiwa mkishaanza kujitenga mtaendelea mtajitengaShida ilianzia kwenye nakanisa ya kilokole,waprotestanti walivyoona walokole wanachuma waumini wao na wenyewe ikabidi wabadilike. Shida ya pili ikaanzia tena huko huko kwa walokole, wachungaji wa kiprotestanti walivyoona wachungaji wa kilokole wanapiga hela kupitia mahubiri yao ya sadaka na wenyewe upepo umehamia huko.
Toka lini umewahi kuwa Mkristo hadi uyumbishwe imaniSio kweli ila ukristo sio baba yangu Wala mama yangu