Mimi ni Mkristo mlokole, nimeanza kukosa Imani na ukristo nahisi Uislam ndiyo dini ya kweli

Uislam unaona uko hivyo ulivyo kutokana nasheria kali ukizingua kunyongwa nje nje nahawaruhusu kubadili dini yan kuritadi ukingia umeingia yan kama ungekua muislamu halaf uje namakali kama hii yakukosoa dini saiv tungekua tunaskia takbil takbil
 
Sawa! Na vilevile ikaweka wazi kwenye hizi aya surat Luqman. Nikakuuliza; unaelewaje? Unafafanuaje?

14. Na tumemuusia mtu kwa wazazi wake wawili. Mama yake ameichukua mimba yake kwa udhaifu juu ya udhaifu, na kumwachisha ziwa baada ya miaka miwili. (Tumemuusia): Nishukuru Mimi na wazazi wako. Ni kwangu Mimi ndiyo marudio. 14

15. Na pindi wakikushikilia kunishirikisha na ambayo huna ilimu nayo, basi usiwat'ii. Lakini kaa nao kwa wema duniani, nawe ishike njia ya anaye elekea kwangu. Kisha marejeo yenu ni kwangu Mimi, na Mimi nitakuambieni mliyo kuwa mkiyatenda
Naelewa allah kasema usiwe na urafiki na mtu yeyote asie kuwa muislam
 
Majority Tanzania hii wangapi wana uwezo huo?na siyo kila mtu mwenye ndoa moja ni mzinzi nimemwambia mwenzako hapo juu wapo wenye wake zaidi ya mmoja and still ni wazinzi.

Usizungumzie mtu mmoja mmoja hata hao wenye mke mmoja kuna ambao nanga zinapaa watoto wanalala njaa elimu hawapewi etc maisha mabovu kama wengine tu.
Mkishapata hela zinaishia kwenye vilabu tu utakumbuka saa ngpi kulea watoto
 
Mzee ukitaka battle hatutafika mimi naandika fact siandiki nisiyoyajua screenshot uliyoweka hapo sijui inahusiana nini na ulichoni-quote.

Tanzania hii wengi wetu ni maskini wa kutupwa ni wangapi wenye uwezo wa kulisha wake wanne na watoto kumi na mbili?(assuming kila mke atakuwa na watoto watatu) akawapa malazi ya uhakika na elimu bora ya kueleweka?mnajifanya kufuata dini kuoa wake wengi huku mkiishia kuwapa wake zenu mitaji ya kuuza vitumbua chapatti na maandazi vibarazani kwenye nyumba za kupanga ili kulisha watoto mnaowazalisha mwisho taifa linazidi kuwa la kipopoma.

Inabidi akili zenu zirudi normal ili mjue kwamba nguvu za kiume ni zaidi ya kusimamisha uume na aliyekudanganya wenye wake wengi hawana vimada nani?usijifiche kwenye kichaka cha dini kufikiri upo smart kuliko wengine.
Nyie firraneni msharuhusiwa 'na papa,acha sisi waislamu tuoe wake wanne,

Kwani kuuza vitumbua ni kosa la jinai?acha wake zetu wauze vitumbua na mandazi ila wana amani kuliko nyie 'na migogoro ya ndoa isiyoisha mahakamani

Nilishasema ukristu ulisukwa na wajanja, Mungu wa kweli hayupo pale. Wewe wala usijiunge na uislamu, fuata imani yako ya jadi. Ulidanganywa ukaasi imani yako na kuamini imani ya kizungu. Tena ukaacha majina yako ya asili ukachukuwa yao. Kwa ujumla hizi dini ni utumwa.

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Niliokoka miaka kama 20 iliyopita. Sijawahi kujutia wokovu. Yesu ni mwema jamani. Anaponya, anampa mtu amani, furaha, na baadae UZIMA WA MILELE ambao ni yeye tu aliye nao. Mapungufu ya mtu mmoja au hata elfu wanaosema wameokoka na huku hawaendi sawasawa na injili hayawezi kunitenga na upendo wa Kristo. Maana kila mtu atavuna alichopanda.
 
Napenda sana ibada, naamini kupitia ibada mambo mengi yanaweza kuwa sawa! Napata shida kidogo na Imani yangu ya ukristo, miaka ya 1980 -1990 ibada ilikuwa nzuri sana kokote utakakoenda kusali na kanisa lolote utakaloingia Ibada zilikuwa na nguvu halisi ya Mungu.

Hapakuwa na makorombwezo Wala mbwembwe kama Sasa! Huwa navurugwa sana nikiingia kanisani mambo mengi yamebadilika! Kanisa la Sasa imekuwa sehemu ya disco,dance na mitindo ya hovyo ya mavazi, wanawake wanavaa nguo ambazo hata kwenye baadhi ya bar hawavai na wachungaji wako busy na mapato na matumizi. Mahubiri asilimia tisini ni fedha na mipasho! Nimechoka na miujiza ya zana kama uganga, kanisa la Leo mchungaji anaamini lazima abebe zana ndio apande madhabahuni ,ukristo unabadilika Kila mwaka ,sura ya kanisa sio Ile ya 1990 ,2000.

Kila mwaka kanisa linavaa sura nyingine, wachungaji wetu wanavita kubwa ya kugombea waumini kiasi hawana ushirikiano Tena ! Ni maadui na hawana maombi ya pamoja Tena kama zamani. Kila mchungaji yaonekana kama ana mbingu ya kwake. Kuna kundi wanajiita mitume na manabii na Kuna kundi la maaskofu na wachungaji ,maaskofu na wachungaji wanahisi wao nao wanambingu Yao ambayo mitume na manabii hawataenda ! Na mitume na manabii pia wanaona wachungaji na maaskofu hawana nguvu ya mungu Tena!

Hizi ni dalili mbaya sana kwa miaka 20 ijayo ya ukristo, mpaka Sasa asilimia 70 waislam wako sawa na unaweza kuwaelewa! Lakini wakristo wamefeli kabisa , naikubali sana ibada ya hija na Ile ya kuchinja waislamu wanaungana Duniani kote kwa ajili ya Allah!

Lugha Yao inakuwa Moja na kauli Yao ni thabiti kabisa ,wanavaa vizuri sana wanapokuwa kwenye ibada na hata ,huwezi kuyaona mapaja ya mwanamke msikitini yakiwa nje sijui kama nitaweza kuuvumilia ukristo kwa miaka ijayo mungu aturehemu !
Swali hili likusaisldie: Wewe ni mkirsto wa Mchungaji/nabii/dini/dhehebu, au mkirsto wa Yesu Kristo?
 
Napenda sana ibada, naamini kupitia ibada mambo mengi yanaweza kuwa sawa! Napata shida kidogo na Imani yangu ya ukristo, miaka ya 1980 -1990 ibada ilikuwa nzuri sana kokote utakakoenda kusali na kanisa lolote utakaloingia Ibada zilikuwa na nguvu halisi ya Mungu.

Hapakuwa na makorombwezo Wala mbwembwe kama Sasa! Huwa navurugwa sana nikiingia kanisani mambo mengi yamebadilika! Kanisa la Sasa imekuwa sehemu ya disco,dance na mitindo ya hovyo ya mavazi, wanawake wanavaa nguo ambazo hata kwenye baadhi ya bar hawavai na wachungaji wako busy na mapato na matumizi. Mahubiri asilimia tisini ni fedha na mipasho! Nimechoka na miujiza ya zana kama uganga, kanisa la Leo mchungaji anaamini lazima abebe zana ndio apande madhabahuni ,ukristo unabadilika Kila mwaka ,sura ya kanisa sio Ile ya 1990 ,2000.

Kila mwaka kanisa linavaa sura nyingine, wachungaji wetu wanavita kubwa ya kugombea waumini kiasi hawana ushirikiano Tena ! Ni maadui na hawana maombi ya pamoja Tena kama zamani. Kila mchungaji yaonekana kama ana mbingu ya kwake. Kuna kundi wanajiita mitume na manabii na Kuna kundi la maaskofu na wachungaji ,maaskofu na wachungaji wanahisi wao nao wanambingu Yao ambayo mitume na manabii hawataenda ! Na mitume na manabii pia wanaona wachungaji na maaskofu hawana nguvu ya mungu Tena!

Hizi ni dalili mbaya sana kwa miaka 20 ijayo ya ukristo, mpaka Sasa asilimia 70 waislam wako sawa na unaweza kuwaelewa! Lakini wakristo wamefeli kabisa , naikubali sana ibada ya hija na Ile ya kuchinja waislamu wanaungana Duniani kote kwa ajili ya Allah!

Lugha Yao inakuwa Moja na kauli Yao ni thabiti kabisa ,wanavaa vizuri sana wanapokuwa kwenye ibada na hata ,huwezi kuyaona mapaja ya mwanamke msikitini yakiwa nje sijui kama nitaweza kuuvumilia ukristo kwa miaka michache ijayo mungu aturehemu !
Brother Allah amekuonyesha njia ya Haki na hujasherewa na maamuzi ni yako kama unamtaka Yesu katika Uislamu amejaa tele kazi kwako .Kumbuka kama ni mtu wa Ibada tunasali mara tano kwa siku karibu katika UONGOFU.
 
Mkishapata hela zinaishia kwenye vilabu tu utakumbuka saa ngpi kulea watoto
Twende na fact kashfa hazifunzi hapa tunawekana sawa kwa yale tunayoweza tukawa hatuyajui,pale juu nimekuuliza Tanzania hii waislam wangapi unaowajua wewe wanaweza kuoa wake zaidi ya mmoja wakawazalisha wakaa-afford kufanya aliyofanya baba yako kama ulivyojinasibu hapa?

Naishi Dar naishi na jamii yenu hunidanganyi kitu,baadhi ya mahitaji ya familia yangu huwa naenda mwenyewe kuchukua sokoni kuna siku nimekuta aliyenitangulia kwa muuzaji wanapigishana makelele kwamba mteja anataka nyanya zake chungu ziwekwe kwenye vifuko zaidi ya kimoja kwa kipimo sawa muuzaji anaona ni hasara yeye anamuelewesha kwamba ana familia zaidi ya moja na lazima wapate sawa.

Unadhani baba yako angekuwa na maisha haya ungekuwa ulivyo leo eti!
 
Nyie firraneni msharuhusiwa 'na papa,acha sisi waislamu tuoe wake wanne,

Kwani kuuza vitumbua ni kosa la jinai?acha wake zetu wauze vitumbua na mandazi ila wana amani kuliko nyie 'na migogoro ya ndoa isiyoisha mahakamani
Mpaka hapa sihitaji kuendeleza mjadala na wewe nimeshaujua uelewa wako ni kupoteza muda wangu tu.

🤝🏾
 
Attachments

  • Screenshot_20231003-230402.png
    Screenshot_20231003-230402.png
    52.5 KB · Views: 4
Napenda sana ibada, naamini kupitia ibada mambo mengi yanaweza kuwa sawa! Napata shida kidogo na Imani yangu ya ukristo, miaka ya 1980 -1990 ibada ilikuwa nzuri sana kokote utakakoenda kusali na kanisa lolote utakaloingia Ibada zilikuwa na nguvu halisi ya Mungu.

Hapakuwa na makorombwezo Wala mbwembwe kama Sasa! Huwa navurugwa sana nikiingia kanisani mambo mengi yamebadilika! Kanisa la Sasa imekuwa sehemu ya disco,dance na mitindo ya hovyo ya mavazi, wanawake wanavaa nguo ambazo hata kwenye baadhi ya bar hawavai na wachungaji wako busy na mapato na matumizi. Mahubiri asilimia tisini ni fedha na mipasho! Nimechoka na miujiza ya zana kama uganga, kanisa la Leo mchungaji anaamini lazima abebe zana ndio apande madhabahuni ,ukristo unabadilika Kila mwaka ,sura ya kanisa sio Ile ya 1990 ,2000.

Kila mwaka kanisa linavaa sura nyingine, wachungaji wetu wanavita kubwa ya kugombea waumini kiasi hawana ushirikiano Tena ! Ni maadui na hawana maombi ya pamoja Tena kama zamani. Kila mchungaji yaonekana kama ana mbingu ya kwake. Kuna kundi wanajiita mitume na manabii na Kuna kundi la maaskofu na wachungaji ,maaskofu na wachungaji wanahisi wao nao wanambingu Yao ambayo mitume na manabii hawataenda ! Na mitume na manabii pia wanaona wachungaji na maaskofu hawana nguvu ya mungu Tena!

Hizi ni dalili mbaya sana kwa miaka 20 ijayo ya ukristo, mpaka Sasa asilimia 70 waislam wako sawa na unaweza kuwaelewa! Lakini wakristo wamefeli kabisa , naikubali sana ibada ya hija na Ile ya kuchinja waislamu wanaungana Duniani kote kwa ajili ya Allah!

Lugha Yao inakuwa Moja na kauli Yao ni thabiti kabisa ,wanavaa vizuri sana wanapokuwa kwenye ibada na hata ,huwezi kuyaona mapaja ya mwanamke msikitini yakiwa nje sijui kama nitaweza kuuvumilia ukristo kwa miaka michache ijayo mungu aturehemu !
Kuna mambo mawili nayaona kwako.
Mosi, huenda wewe ni muislam mwenye mbinu ya kuwanasa wakristo wachanga.
Pili, au kama ni mkristo, basi ni yule asiyejua ABC yake.

Kama ni huyo wa kwanza sawasawa; wee endelea na kazi ya kumtumikia shetani.
Lakini kama ni kweli ni mfuasi wa Yesu; ujue una jina la kuwa hai, nawe umekufa kiroho.
Kulikoni hivyo? Huwa iko hivi; huwezi kumwacha Yesu aliyekukomboa kwa damu ya thamani, eti kwa sababu wakristo wenzako wamemuasi Mungu.
Kama ni msomaji wa Neno; kumbuka wakati wa gharika watu wote walimwasi Mungu isipokuwa Nuhu na familia yake.
Sodoma na Gomora vivyo hivyo, isipokuwa Lutu na bintize wawili.
Pamoja na mifano mingine iliyomo ndani ya Neno la Mungu.

Eti leo wewe unamwacha Yesu wakati kuna wakristo wenzako kibao wasiofurahishwa na hayo yanayokukwaza ndiposa wanamtaza Kristo! Hukumbuki Mungu alivyomjibu nabii Elia pale alipolaumu kwamba kasalia peke yake mwaminifu. Bwana akamwambia; nimejisazia watu elfu saba.wasiyompigia Baali magoti

Nikirudi katika uelewa wako, ujapoenda mwenye uislam, bado utakwazwa na wale wanaowachinja wanadamu wenzao, au kuwabaka, huku wakishangiria takbiriiiiii.
Je, siku ukigundua majini nayo ni maislamu, utahamia kwa wabudha?
Na utakapogundua wabudha nao wanamwabudu ng'ombe utafanyaje?
 
Dini ni mpango wa Mwanadamu kumtafuta Mungu. So kila la kheri katika kumtafuta Mungu wako
Hivi hii definition mnaitoa wapi? naomba reference please!

Nimetaka reference kwasababu hii definition haiwi suported na misingi inayojenga dini.
1) "Mpango wa Mwanadamu..." - Hii inaleta maana ya kwamba dini hutungwa tu na wanadamu kwa kadri ya akili yetu inavyotuambia juu ya Mungu. Lakini uhalisia haupo hivo! dini zote zimejengwa katika misingi ambayo tunaamini ni mafundisho kutoka kwake Mungu kuja kwetu. Hili linathibitika kwa uwepo wa mitume na vitabu vya dini, vyote hivi tunaamini vinatoka kwa Mungu kuja kwetu. Ingekuwa ni mpango wa Mwannadamu basi Mitume na vitabu vingekuwa vinatoka kwetu wanadamu kwenda kwa Mungu kumuonyesha jitihada zetu juu yake (hopping to get his approval from our efforts).

2)
"... kumtafuta Mungu" -
Mungu tunamtafutaje? mwenye kutafuta huenda popote akili yake inapomtuma kwamba kuna uwezekano wa kupata anachokitafuta, sasa ikiwa Mungu pia anatafutwa basi tunasema kwamba hakuna dini sahihi na dini isiyo sahihi. Ukikubaliana na mimi hapa basi pia ukubali dhana hii pia inamaanisha hakuna ukombozi kupitia kwa fulani i.e. Yesu, Muhammad ama Krishna. Hii ni kwakuwa ukishaanza kuamini ukombozi upo kwa fulani tayari wewe unafuata kanuni tulizoletewa na Mungu kupitia mapokeo maalumu kulingana na hiyo imani husika. So huwezi kusema umepokea maelekezo ya namna ya kukomboka halafu bado useme unamtafuta Mungu.

Kama huna reference please jibu kwa hoja sio emotions!
 
Napenda sana ibada, naamini kupitia ibada mambo mengi yanaweza kuwa sawa! Napata shida kidogo na Imani yangu ya ukristo, miaka ya 1980 -1990 ibada ilikuwa nzuri sana kokote utakakoenda kusali na kanisa lolote utakaloingia Ibada zilikuwa na nguvu halisi ya Mungu.

Hapakuwa na makorombwezo Wala mbwembwe kama Sasa! Huwa navurugwa sana nikiingia kanisani mambo mengi yamebadilika! Kanisa la Sasa imekuwa sehemu ya disco,dance na mitindo ya hovyo ya mavazi, wanawake wanavaa nguo ambazo hata kwenye baadhi ya bar hawavai na wachungaji wako busy na mapato na matumizi. Mahubiri asilimia tisini ni fedha na mipasho! Nimechoka na miujiza ya zana kama uganga, kanisa la Leo mchungaji anaamini lazima abebe zana ndio apande madhabahuni ,ukristo unabadilika Kila mwaka ,sura ya kanisa sio Ile ya 1990 ,2000.

Kila mwaka kanisa linavaa sura nyingine, wachungaji wetu wanavita kubwa ya kugombea waumini kiasi hawana ushirikiano Tena ! Ni maadui na hawana maombi ya pamoja Tena kama zamani. Kila mchungaji yaonekana kama ana mbingu ya kwake. Kuna kundi wanajiita mitume na manabii na Kuna kundi la maaskofu na wachungaji ,maaskofu na wachungaji wanahisi wao nao wanambingu Yao ambayo mitume na manabii hawataenda ! Na mitume na manabii pia wanaona wachungaji na maaskofu hawana nguvu ya mungu Tena!

Hizi ni dalili mbaya sana kwa miaka 20 ijayo ya ukristo, mpaka Sasa asilimia 70 waislam wako sawa na unaweza kuwaelewa! Lakini wakristo wamefeli kabisa , naikubali sana ibada ya hija na Ile ya kuchinja waislamu wanaungana Duniani kote kwa ajili ya Allah!

Lugha Yao inakuwa Moja na kauli Yao ni thabiti kabisa ,wanavaa vizuri sana wanapokuwa kwenye ibada na hata ,huwezi kuyaona mapaja ya mwanamke msikitini yakiwa nje sijui kama nitaweza kuuvumilia ukristo kwa miaka michache ijayo mungu aturehemu !
Usijumuishe Ukristo wote, sema Walokole. Kwetu hatuna Ibada bali tuna Misa! Mtajijua wakimbilia miujiza!
 
Back
Top Bottom